Nakumbuka kwenye ripoti moja ya CAG Mussa Asad ilisema hilo bwawa linajengwa kwa uholela mkubwa, na kuna hatari kubwa huko mbeleni. Haukupita muda kingo za hilo bwawa zilipasuka na kupelekea mafuriko makubwa mikoa ya Lindi. Lakini chini ya Magufuli ilikuwa ni hatari kubwa vyombo vya habari kuripoti janve hilo. Ripoti hii ni sehemu iliyosababisha chuki kubwa sana ya Magufuli kwa CAG Assad, na kazi hiyo ya kumnyoosha Assad alipewa Ndugai.
Kinachomtesa Makamba Sasa ni kuficha ukweli wa changamoto za hilo bwawa. Hakuna chochote Makamba ataongea aeleweke, maana kuna uongo mkubwa sana wananchi walilishwa enzi za Magufuli kuhusu hilo bwawa. Na akina Januari nao inabidi waongee uongo wao mwingine kwa sababu ya sifa za kisiasa. Hakuna anayethubutu kusema ukweli kuhusu huo mradi maana utakuwa na madhara makubwa kwa chama Chao na serikali. Magufuli alivuruga uchaguzi na kujaza wanaccm kwenye chaguzi zote, ili kuficha ukweli wa mambo haya aliyokuwa ameyafanya.y