MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Ninachokiona, watu wengi wanachukulia mapenzi seriously
Wasalaam Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa wanawake. Hadithi ni nyingi sana, na heka heka ni nyingi sana pia. Kimsingi, watu wamevurugwa...