Suala la dini litanikosesha ndoa. Naombeni ushauri

 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwanin uamuliwe na wazazi kuhusu mipango yako
 
funga ndoa kwa dini mtakayikubalina na huyo mchumba wako,hiyo ndoa ni yako sio ya mama yako

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Sio vibaya kusikiliza ushauri, hiyo dini ni ya wazazi, unaweza kusilimu au popote panapokufaa, ila suala la ndoa ni la kwako, linahitaji umwekee kila mtu mipaka.Fanya kile unachokipenda, sikiliza ushauri kwa kiasi kidogo sana kwenye ndoa, asilimia kubwa jisikilize, zingatia hili mkuu.
 
Sawa mwanaCCM,
Umejaribu kumshirikisha hata katibu wa chama upate maoni yake kwanza?
 
Sasa Mkuu Umeshindwa Kuamua Hilo, Jipange Amua Chap
 
Wewe una mahangaiko sana na ni mgumu kushaurika. Hata hapa huenda ukata ushauriwe utakavyo wewe. Angalia hapa jinsi unavyoshupaza shingo wakati watu wana kushauri vizuri tu.


 
Anzeni kuishi tu wazaz wakizingua bariki ndoa kimila 🧐
 
Bibi Faiza Foxy nipe nafasi kwenye moyo wako kama upo Single.... sitajali umri wako nitajitolea kuwa mumeo.
Ety kijana mdogo tukushauri kwa yupi sasa kati ya Faiza foxy au huyo unaeombea ushauri 😀😀
 
Kijana mdogo fuata kitu moyo wako unapenda na kuridhia mengne mtakutana nayo mbele huko kama ni kukosa baraka kuna baraka zingne inabd uzikose kwanza ndo ufanye jambo huyo aliyekunyia aone sababu ya kukupa kiroho safi kila lakheri kijana wetu mdogo [emoji3]
 
Pole sana mkuu kwa vikwazo hivyo.

Ila 37yrs sio kijana mdogo mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wengine wa umri wako, first born wao wako la saba B la Musukuma
 
Hakuna laana ya namna hiyo we oa kijana wa miaka 37
 
Mimi nina Imani dini zilizoletwa na wazungu ni biashara. Piga chini zote Ila ufuate Imani yako ya jadi kwani Mungu wa kweli anapatikana hapo. Ushauri "ndoa ya serikali" na mtulie na maisha yenu.
 
Kwahiyo kwa CCM ukiwa 37 unaonekana kama kijana mdogo??[emoji2]

Umesahau waziri masauni alifoji umri ili agombee uwenyekiti uvccm.

Kimsingi mtu akiwa mwanaccm hata akili yao huwa haitoshi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…