Siwezi kuwekeza nguvu na akili yangu kumjibu mwanamke mtovu wa adabu asiyejua utukufu wa wanaume.Habari
Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.??
Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili?
Naona idadi ya wanaume inazidi kupungua. Tabia sehemu kubwa inatokana na malezi na namna ya kuishi ya mtu utavyomchukulia. maoni yangu wewe je?
Define kujiamini. Simba amesimama mbele yako anajiandaa kukurukia akurarue utajiamini au utatafuta namna ya kuiepuka hatari ya shambulio la simba?!Jengeni kujiamini kwa watoto wenu wa kiume!!!!!!!!!
Mwanaume akijiamini akajua nafasi yake elimu na cheo vya mkewe havitamsumbua.
Wewe umeongea kila kitu Happ kwenye elim hapo yamenikuta mwanamke anayekuzidi ELIMU na kipato dah jiamdae kuishi Kama CHAWAHabari nzuri.
Wanaogopa wasomi = wasiwasi ndiyo akili. (Ogopa sana; Mkeo awe amekuzidi kisomo)
Wazazi waliowaandaa mabinti zao = wako wengi na ndiyo wazazi wenye furaha wakizifurahia ndoa za mabinti zao. (Wanaume wengi waliofanikiwa, huwa wanajua wanachokitaka... Hivyo, yanini kwenda kuhangaika na Mwanamke mwenye Masters huku familia kilasiku misosi inatoka KFC, SUBWAY, PIZZAHUT and etc.) Darasa la saba au wasio na kisomo they're so submissive.
Mimi je? Maoni yangu kuhusu Wanaume kupungua ni Msongamano wa Shughuli mbalimbali na changamoto za Kimaisha kwa ujumla wake hivyo kupelekea kufa mapema kwa stress, depression and other miscellaneous unavoidable diseases & circumstances. (Mwanaume ni Kichwa cha Familia) uliwahi kuskia wapi Otherwise!?
Malezi na namna na jinsi ya kuishi na mtu, nakubaliana na wewe. Hivyo naunga mkono hoja.
Naomba kuwasilisha.
Hakuna mwanaume anamuogopa mwanamke mpaka useme tujiamini, ipo hivi hatuvutiwi na nyie wanawake madume jike ngangari ngangari 50/50. Hamna haiba ya uanamke, mwanamke apaswa kua soft kimwili, kiakili na kitabia sasa nyie madume jike mnaojitutumua kushindana na wanaume tuwatakie nini ebo ?!Habari
Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.??
Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili?
Naona idadi ya wanaume inazidi kupungua. Tabia sehemu kubwa inatokana na malezi na namna ya kuishi ya mtu utavyomchukulia. maoni yangu wewe je?
Niachie nimjibu mimi mkuu, haya mafeminist hua nayatamani sana kuyapa red pill.Siwezi kuwekeza nguvu na akili yangu kumjibu mwanamke mtovu wa adabu asiyejua utukufu wa wanaume.
Kwamba watoto wa kiume wajengwe kujiamini ila watoto wakiki wasijengwe kua na heshima na adabu kwa waume zao ?!Jengeni kujiamini kwa watoto wenu wa kiume!!!!!!!!!
Mwanaume akijiamini akajua nafasi yake elimu na cheo vya mkewe havitamsumbua.
Duuh comment yako nimeielewa sana,ipo kifilosofia zaidi.Haya ndio mawazo tunayoyataka humu JFNi kama useme watu wanaogopa kufa. Si kweli ila wanahofu ya namna watakufa na wakifa watakwenda wapi ila sio kufa. Sababu kufa ni process ya maisha.
Tukirudi kwenye mada yako. Si kweli kuwa wanaume wanaogopa au tutumie neno hawapo intimidated na wanawake waliokwenda shule. Hiyo si kweli.
Wanaume huwa wanachukua tahadhari dhidi ya matokeo ya kuwa na mwanamke aliyekwenda shule sababu wengi wao ni uhakika wakishaingia kimahusiano huwa na mushkeli wa kimaadili au tabia.
Yaani mwanamke ambaye amekwenda shule tayari anakuwa hana ukamilifu wa tabia za kike ambazo mwanaume anahitaji na hii itapelekea uhakika wa uhusiano kuwa wa mashaka au kufeli siku za baadae huko mbeleni.
Mwanamke aliyesoma huwa ametumia miaka mingi darasani na mashuleni kuandaliwa kuwa mtaalamu au mweledi wa taaluma na kazi fulani ila anakuwa na muda mchache sana wa kujifunza majukumu ya mke na pia kujiandaa kumtumikia, kuishi, kushirikiana, kumsapiti na kujitoa kwa mwanaume wake wa ndoa.
Pia katika hizi safari za kitaaluma mazingira anayopitia hayamruhusu kuwa mwaminifu kwasababu anakuwa hana tena ile female Innocence sababu ya kukaa na jinsia ya kiume na kuzoeana nayo so ni ngumu kumheshimu mume wake kama mwanaume pekee.
Mwanamke aliyesoma akimaliza shule akili yake inakuwa programmed kutafuta ajira na kuwa chini ya kampuni au taasisi na kutii amri na sheria anazopangiwa jambo ambalo litamuwia vigumu kumudu kutii maelekezo, ushauri, maagizo na amri kutoka kwa mume wake wa ndoa. Ni ngumu kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati m'moja lazima m'moja atadharauliwa na mwingine kuwekwa juu.
Though wapo mabinti wa kike ambao ni wasomi, wameajiriwa, na wameolewa na kuweza kumudu ndoa, kutii mume na kutekeleza majukumu na kumuweka mume mbele kabla ya ajira na kujua kubalance attention. Hawa wapo ila very rare. Majority hawawezi kujigawa hata kidogo akiweka akili kazini ni kazini tu mume wake akilalamika anaona kama anaonewa au kulazimishwa mambo ambayo yapo nje ya iwezo wake.
So kama mwanaume unajua cha kufanya na kama mtoto wa kike chagua lililobora kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app