Suala la elimu na kipato cha mwanamke na machungu kwa wanaume.

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
145
Reaction score
80
Habari
Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.??

Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili?

Naona idadi ya wanaume inazidi kupungua. Tabia sehemu kubwa inatokana na malezi na namna ya kuishi ya mtu utavyomchukulia. maoni yangu wewe je?
 
Habari nzuri.

Wanaogopa wasomi = wasiwasi ndiyo akili. (Ogopa sana; Mkeo awe amekuzidi kisomo)

Wazazi waliowaandaa mabinti zao = wako wengi na ndiyo wazazi wenye furaha wakizifurahia ndoa za mabinti zao. (Wanaume wengi waliofanikiwa, huwa wanajua wanachokitaka... Hivyo, yanini kwenda kuhangaika na Mwanamke mwenye Masters huku familia kilasiku misosi inatoka KFC, SUBWAY, PIZZAHUT and etc.) Darasa la saba au wasio na kisomo they're so submissive.

Mimi je? Maoni yangu kuhusu Wanaume kupungua ni Msongamano wa Shughuli mbalimbali na changamoto za Kimaisha kwa ujumla wake hivyo kupelekea kufa mapema kwa stress, depression and other miscellaneous unavoidable diseases & circumstances. (Mwanaume ni Kichwa cha Familia) uliwahi kuskia wapi Otherwise!?

Malezi na namna na jinsi ya kuishi na mtu, nakubaliana na wewe. Hivyo naunga mkono hoja.

Naomba kuwasilisha.
 
Hofu ni kugeuzwa zoba na mwanamke, usomi ni mzuri kwa mwanamke endapo hatamnyanyasa mume wake kwa namna yeyote ndani ya maisha ya ndoa kwa mujibu wa mila, desturi, tamaduni na dini. Hakuna mwanaume anayependa kuishi na mwanamke mbabe, jeuri, asiyeambilika na kisirani ndani ya ndoa
 
Nenda mahakamani kesi nyingi za migogoro ya ndoa ni za hao wasomi kwa wasomi tena angenda zao ooh tuachane baba furani kazaa nje au majukumu yote kaniachia miye au nimemfumania tuachane

Ndoa za msomi na asiye msomi au baba ana kipato mama hana hayo mambo yanaisha kwenye vikao vya familia, na ndoa ambazo migogoro inachukua nafasi ndogo sana ikipita imepita haiachi makovu

Na asilimia kubwa hizi ndoa si za kanisani Wala msikitini ni kisheria na zimedumu sana
 
Habari
Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.??

Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili?

Naona idadi ya wanaume inazidi kupungua. Tabia sehemu kubwa inatokana na malezi na namna ya kuishi ya mtu utavyomchukulia. maoni yangu wewe je?
Siwezi kuwekeza nguvu na akili yangu kumjibu mwanamke mtovu wa adabu asiyejua utukufu wa wanaume.
 
Jengeni kujiamini kwa watoto wenu wa kiume!!!!!!!!!

Mwanaume akijiamini akajua nafasi yake elimu na cheo vya mkewe havitamsumbua.
 
Ni kama useme watu wanaogopa kufa. Si kweli ila wanahofu ya namna watakufa na wakifa watakwenda wapi ila sio kufa. Sababu kufa ni process ya maisha.

Tukirudi kwenye mada yako. Si kweli kuwa wanaume wanaogopa au tutumie neno hawapo intimidated na wanawake waliokwenda shule. Hiyo si kweli.

Wanaume huwa wanachukua tahadhari dhidi ya matokeo ya kuwa na mwanamke aliyekwenda shule sababu wengi wao ni uhakika wakishaingia kimahusiano huwa na mushkeli wa kimaadili au tabia.

Yaani mwanamke ambaye amekwenda shule tayari anakuwa hana ukamilifu wa tabia za kike ambazo mwanaume anahitaji na hii itapelekea uhakika wa uhusiano kuwa wa mashaka au kufeli siku za baadae huko mbeleni.

Mwanamke aliyesoma huwa ametumia miaka mingi darasani na mashuleni kuandaliwa kuwa mtaalamu au mweledi wa taaluma na kazi fulani ila anakuwa na muda mchache sana wa kujifunza majukumu ya mke na pia kujiandaa kumtumikia, kuishi, kushirikiana, kumsapiti na kujitoa kwa mwanaume wake wa ndoa.

Pia katika hizi safari za kitaaluma mazingira anayopitia hayamruhusu kuwa mwaminifu kwasababu anakuwa hana tena ile female Innocence sababu ya kukaa na jinsia ya kiume na kuzoeana nayo so ni ngumu kumheshimu mume wake kama mwanaume pekee.

Mwanamke aliyesoma akimaliza shule akili yake inakuwa programmed kutafuta ajira na kuwa chini ya kampuni au taasisi na kutii amri na sheria anazopangiwa jambo ambalo litamuwia vigumu kumudu kutii maelekezo, ushauri, maagizo na amri kutoka kwa mume wake wa ndoa. Ni ngumu kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati m'moja lazima m'moja atadharauliwa na mwingine kuwekwa juu.

Though wapo mabinti wa kike ambao ni wasomi, wameajiriwa, na wameolewa na kuweza kumudu ndoa, kutii mume na kutekeleza majukumu na kumuweka mume mbele kabla ya ajira na kujua kubalance attention. Hawa wapo ila very rare. Majority hawawezi kujigawa hata kidogo akiweka akili kazini ni kazini tu mume wake akilalamika anaona kama anaonewa au kulazimishwa mambo ambayo yapo nje ya iwezo wake.

So kama mwanaume unajua cha kufanya na kama mtoto wa kike chagua lililobora kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Define kujiamini. Simba amesimama mbele yako anajiandaa kukurukia akurarue utajiamini au utatafuta namna ya kuiepuka hatari ya shambulio la simba?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari nzuri.

Wanaogopa wasomi = wasiwasi ndiyo akili. (Ogopa sana; Mkeo awe amekuzidi kisomo)

Wazazi waliowaandaa mabinti zao = wako wengi na ndiyo wazazi wenye furaha wakizifurahia ndoa za mabinti zao. (Wanaume wengi waliofanikiwa, huwa wanajua wanachokitaka... Hivyo, yanini kwenda kuhangaika na Mwanamke mwenye Masters huku familia kilasiku misosi inatoka KFC, SUBWAY, PIZZAHUT and etc.) Darasa la saba au wasio na kisomo they're so submissive.

Mimi je? Maoni yangu kuhusu Wanaume kupungua ni Msongamano wa Shughuli mbalimbali na changamoto za Kimaisha kwa ujumla wake hivyo kupelekea kufa mapema kwa stress, depression and other miscellaneous unavoidable diseases & circumstances. (Mwanaume ni Kichwa cha Familia) uliwahi kuskia wapi Otherwise!?

Malezi na namna na jinsi ya kuishi na mtu, nakubaliana na wewe. Hivyo naunga mkono hoja.

Naomba kuwasilisha.
Wewe umeongea kila kitu Happ kwenye elim hapo yamenikuta mwanamke anayekuzidi ELIMU na kipato dah jiamdae kuishi Kama CHAWA
 
Habari
Ikiwa kutafuta elimu ni lazima kwa kila mwenye akili, hawa wanaume wasiojiamini wanapata wapi ujasiri na hofu wa kuogopa wasomi.??

Ni wazazi wangapi wenye mabinti wamewaandaa mabinti zao kuwa mama wa nyumbani kwa kuishia darasa la saba na kidato cha pili?

Naona idadi ya wanaume inazidi kupungua. Tabia sehemu kubwa inatokana na malezi na namna ya kuishi ya mtu utavyomchukulia. maoni yangu wewe je?
Hakuna mwanaume anamuogopa mwanamke mpaka useme tujiamini, ipo hivi hatuvutiwi na nyie wanawake madume jike ngangari ngangari 50/50. Hamna haiba ya uanamke, mwanamke apaswa kua soft kimwili, kiakili na kitabia sasa nyie madume jike mnaojitutumua kushindana na wanaume tuwatakie nini ebo ?!

Yani mi mwanaume ati nikuogope na likinembe lako kisa umesoma na unakiajira mavi shenziii hatuvutiwi na nyie ndio sentensi sahihi na swali lako lilipaswa kua
" kwanini wanaume hatuvutiwi na wanawake wasomi ni wenye ajira ?!"
 
Jengeni kujiamini kwa watoto wenu wa kiume!!!!!!!!!

Mwanaume akijiamini akajua nafasi yake elimu na cheo vya mkewe havitamsumbua.
Kwamba watoto wa kiume wajengwe kujiamini ila watoto wakiki wasijengwe kua na heshima na adabu kwa waume zao ?!

Wewe ni mfano wa mijianamke iliyolelewa ovyo kua mshindani wa wanaume, yani kwa akili yako wewe na mbunye lako unaondoa kujiamini kwa mwanaume au mwanaume ndio havutiwi na udume jike wako ?
 
Usomi mzuri tu ila ujitambue na kujua nafasi yake wapo kibao wasomi wanaishi vizuri

Tambua hakuna mwanaume anaogopa msomi kama umedqnganywa ila unaangalia na mke mwenyewe na akili zake ndoa sio saw na kuishi na demu ndo ni taasisi ambayo mkuu wake lazima awe mwanaume

Mi siogopi mke kasoma sijui kabila gani hainihusu naplay part yangu kama kidume kikubwa dharau sipendi na ujinga hata utoke sijui wapi ntakuletea noma na utaenda kwenu ujinga sijui feminist huko mbele ya wazazi wako

Nn kinawasumbua sababu hata mkiajiriwa mkifika mda wa kujifungua mnakaa nje karibia mwaka kama likizo ya maternity Sasa bado mnataka kujifananisha na mwanaume

Imani na jamii yangu hakuna mwanamke anayeweza kunizidi kiakili hata awe geneous Dunia na hata awe ni kipato kama bill gates nikioa gharama zake ni juu yangu kama mwanaume hii kutokana na dini na jamii yangu so kuwa sijui mpambanaji hainisaidii ,sijui msomi hainihusu nikioa hata chupo yake nanunua mimi

Ndo maana huwezi kukuta sijui nafuatilua surungi , sijui fatuma karume ,mange kimavi siwezi pelekeshwa zaidi ya madam president Sina page niliomfollow mwanamke hata mmoja kuanzia hao masuperstar hata wasanii wa like sifuatilii
 
Ni kama useme watu wanaogopa kufa. Si kweli ila wanahofu ya namna watakufa na wakifa watakwenda wapi ila sio kufa. Sababu kufa ni process ya maisha.

Tukirudi kwenye mada yako. Si kweli kuwa wanaume wanaogopa au tutumie neno hawapo intimidated na wanawake waliokwenda shule. Hiyo si kweli.

Wanaume huwa wanachukua tahadhari dhidi ya matokeo ya kuwa na mwanamke aliyekwenda shule sababu wengi wao ni uhakika wakishaingia kimahusiano huwa na mushkeli wa kimaadili au tabia.

Yaani mwanamke ambaye amekwenda shule tayari anakuwa hana ukamilifu wa tabia za kike ambazo mwanaume anahitaji na hii itapelekea uhakika wa uhusiano kuwa wa mashaka au kufeli siku za baadae huko mbeleni.

Mwanamke aliyesoma huwa ametumia miaka mingi darasani na mashuleni kuandaliwa kuwa mtaalamu au mweledi wa taaluma na kazi fulani ila anakuwa na muda mchache sana wa kujifunza majukumu ya mke na pia kujiandaa kumtumikia, kuishi, kushirikiana, kumsapiti na kujitoa kwa mwanaume wake wa ndoa.

Pia katika hizi safari za kitaaluma mazingira anayopitia hayamruhusu kuwa mwaminifu kwasababu anakuwa hana tena ile female Innocence sababu ya kukaa na jinsia ya kiume na kuzoeana nayo so ni ngumu kumheshimu mume wake kama mwanaume pekee.

Mwanamke aliyesoma akimaliza shule akili yake inakuwa programmed kutafuta ajira na kuwa chini ya kampuni au taasisi na kutii amri na sheria anazopangiwa jambo ambalo litamuwia vigumu kumudu kutii maelekezo, ushauri, maagizo na amri kutoka kwa mume wake wa ndoa. Ni ngumu kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati m'moja lazima m'moja atadharauliwa na mwingine kuwekwa juu.

Though wapo mabinti wa kike ambao ni wasomi, wameajiriwa, na wameolewa na kuweza kumudu ndoa, kutii mume na kutekeleza majukumu na kumuweka mume mbele kabla ya ajira na kujua kubalance attention. Hawa wapo ila very rare. Majority hawawezi kujigawa hata kidogo akiweka akili kazini ni kazini tu mume wake akilalamika anaona kama anaonewa au kulazimishwa mambo ambayo yapo nje ya iwezo wake.

So kama mwanaume unajua cha kufanya na kama mtoto wa kike chagua lililobora kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh comment yako nimeielewa sana,ipo kifilosofia zaidi.Haya ndio mawazo tunayoyataka humu JF
 
MWANAMKE MSOMI AMEANDALIWA KUHUDUMIA WENGINE HUKO MAKAZINI,HANA MUDA NA FAMILIAMUME NA WATOTO
BINTI WA KAZI NI KWA AJILI YA KUHUDUMIA FAMILIA-MUME, MKE NA WATOTO. USAFI, UPISHI, ADABU, UTII, UNYENYEKEVU NI WA VIWANGO KULIKO MKE.
NA ANAUME NI WATU WA VIWANGO!
 
Back
Top Bottom