Suala la Juma Mgunda, TFF wamezidisha maswali zaidi kuliko majibu au ufafanuzi walioutowa

Na ww tumia akili mtu anahoji ishu ya vyeti vya makocha na ufafanuzi wa TFF, unaleta ngonjera za simba na Yanga, kweli hiz clubs zimeharibu akili za watu
Na alivyo na akili ndogo haoni kuna hoja inafuata hapo, Kwa nini Taifa ka watu million 60 tuwe na makocha 42 tu wanaotambulika na CAF?
 
Hivi kwann TFF inatumia nguvu nyingi Sana inapokuja kuwasafisha Simba?

Hivi nguvu TFF wangezitumia kwenye timu ya Taifa tungekuwa mbali sana
Ulitaka wakae kimya hata kwa tuisila walitoa ufafanuzi fasta.serikali ijifunze kwa tff
 
Wana mechi kesho ambayo wanacheza kimataifa hapo kwa Mkapa dhidi ya timu mbovu ya Zalan

Na mechi ya marudiano wanacheza hapo hapo kwa mkapa wakiwa wenyeji, hili wamelikalia kimya wala hawalizungumzi.

Ila trust me favour hii ingemkuta Simba saizi kila mtu angekuwa anahubiri kuwa Simba inapendelewa

Watu sheria za mpira tu hawazijui, ajabu wanataka kujadili level ambayo hawajawahi hata kujua ina operate kwa sheria zipi

Mtu anatumia vigezo vya udereva na ukondakta kutafuta justification kwenye ishu ya Mgunda.

Nyinyi madereva wa Uber na Bolt, zile sheria mlizokutana nazo pale Chang'ombe ni tofauti na CAF

Kule Chang'ombe ni cause ya siku mbili, siku ya tatu upo road unabeba abiria na ndio maana ajili zimekuwa nyingi.

Cheti cha Veta kinapatikana hata kwa connection ya 50k, kule CAF ni mpaka uingine darasani ufaulu viwango walivyoweka.

Mmeelewa?
Mnafungwa kule nyasa,kaa kimya
 
Na alivyo na akili ndogo haoni kuna hoja inafuata hapo, Kwa nini Taifa ka watu million 60 tuwe na makocha 42 tu wanaotambulika na CAF?
Hii nayo ni hoja?

Unauliza kwanini kwenye darasa la wanafunzi 100 kuna one moja?

Kama hao 99 ndo wale wenye akili kama zako utamlaumu mwalimu au board ya shule?
 
Yanga bana sijui mkoje yani vitu vidogo tu lakini mnaviundia bunge

Halafu unatumia kanuni za Veta kwenye soka kuonesha tatizo

Sasa vipi na mwingine akija kusema kuna uwezekano mtu asipewe cheti cha ukocha ila akatumia results slip yake kwasbabu tayari taarifa zake za kitaaluma zipo kwenye record ya CAF na kwamba CAF imetoa utatlratibu wa kuwaruhusu watambulike kama watu waliofuzu mafunzo?
Uhalali wa result slip unaisha pale tu matokeo yanapotangazwa na necta. Matokeo yakishatoka tunataka cheti na sio result slip
 
Fani yoyote inayohusisha Leseni hutambuliki bila Leseni, waulize madaktari watakwambia, waulize Engineer's watakwambia.

Nb; Tutusa Baba'ko, kolongwee wahed
Huku mitaani watu wameenda kukata leseni kwa ajili ya biashara wamepewa risit na wakaguzi wakipita wanaonesha hiyo risiti ya malipo na hakuna atayeleta shobo kuwa anataka leseni

Hilo limewezekana kimtaani tu na huo ni mfano tu wala sitaki kuutumia kama hoja

Lakini ambacho unakosea ni kwamba huna elimu ya kutosha kuhusiana na hayo mambo ya CAF. Unajaribu kuhoji kwa namna ambayo wewe unafikiri ni sahihi kwa kulinganisha na secta zingine jinsi mambo yanavyo operate
 
Taarifa ya TFF ndio hiyo, yani hapo ndio wametowa ufafanuzi Sasa ufafanuzi wao unazalisha maswali zaidi kuliko awali.

1. Kuna makocha wamehitimu mafunzo na wana Leseni class A ya CAF, halafu kuna orodha ya makocha 21 akiwemi Juma Mgunda wamehitimu mafunzo lakini hawana Leseni.

Sasa swali la msingi mtu aliyehitimu kozi ya udereva Vets au NIT anaruhusiwa kuendesha gari bila Leseni?

Kuna marubani wa ndege hivi hawa nao wanaruhusiwa kurusha ndege tu Kwa kuwa wamesomea kazi hiyo bila Leseni?

Swali la msingi kama TFF ni mwanachama wa CAF na iliendesha hizo kozi hizo tatizo liko wapi Kwa wahitimu kupatiwa Leseni?

Bila shaka TFF kuna kitu wanatuficha au kutudanganya, lakini nyeti za Kuku kikija kimbunga lazima zionekane, ujanja ujanja wa TFF unaelekea tamati yake muda si mrefu.

Walete walete Scars Tate Mkuu , Shadeeya
Mimi binafsi sijaona jina la Juma Mgumda kwenye orodha ya makocha 21 bali kuna Juma Mwambusi na Juma Nsanya
 
Wana mechi kesho ambayo wanacheza kimataifa hapo kwa Mkapa dhidi ya timu mbovu ya Zalan

Na mechi ya marudiano wanacheza hapo hapo kwa mkapa wakiwa wenyeji, hili wamelikalia kimya wala hawalizungumzi.

Ila trust me favour hii ingemkuta Simba saizi kila mtu angekuwa anahubiri kuwa Simba inapendelewa

Watu sheria za mpira tu hawazijui, ajabu wanataka kujadili level ambayo hawajawahi hata kujua ina operate kwa sheria zipi

Mtu anatumia vigezo vya udereva na ukondakta kutafuta justification kwenye ishu ya Mgunda.

Nyinyi madereva wa Uber na Bolt, zile sheria mlizokutana nazo pale Chang'ombe ni tofauti na CAF

Kule Chang'ombe ni cause ya siku mbili, siku ya tatu upo road unabeba abiria na ndio maana ajili zimekuwa nyingi.

Cheti cha Veta kinapatikana hata kwa connection ya 50k, kule CAF ni mpaka uingine darasani ufaulu viwango walivyoweka.

Mmeelewa?
Cha Veta kinasomewa kwa siku 2 na kinapatikana hata kwa connection ya 50k hujatuambia na cha udaktari na u pilot.
 
Wana mechi kesho ambayo wanacheza kimataifa hapo kwa Mkapa dhidi ya timu mbovu ya Zalan

Na mechi ya marudiano wanacheza hapo hapo kwa mkapa wakiwa wenyeji, hili wamelikalia kimya wala hawalizungumzi.

Ila trust me favour hii ingemkuta Simba saizi kila mtu angekuwa anahubiri kuwa Simba inapendelewa

Watu sheria za mpira tu hawazijui, ajabu wanataka kujadili level ambayo hawajawahi hata kujua ina operate kwa sheria zipi

Mtu anatumia vigezo vya udereva na ukondakta kutafuta justification kwenye ishu ya Mgunda.

Nyinyi madereva wa Uber na Bolt, zile sheria mlizokutana nazo pale Chang'ombe ni tofauti na CAF

Kule Chang'ombe ni cause ya siku mbili, siku ya tatu upo road unabeba abiria na ndio maana ajili zimekuwa nyingi.

Cheti cha Veta kinapatikana hata kwa connection ya 50k, kule CAF ni mpaka uingine darasani ufaulu viwango walivyoweka.

Mmeelewa?
Hiyo favour wameamua wenyewe Zalan na sio kitu cha ajabu kwasababu hata Namungo alipata hizo favour
 
Sasa swali la msingi mtu aliyehitimu kozi ya udereva Vets au NIT anaruhusiwa kuendesha gari bila Leseni?

Niliposoma tu hilo swala la udereva kuhusianishwa na soka, nikajua kuwa aliyeandika hapo ni TUTUSA.
Swali la Sekondari,
Je huwezi ukawa umehitimu lakini cheti kwa wakati huo huna labda kimepotea, hukuchukua, kiko mkoa mwengine tofauti na uliko, havijatoka, etc??
 
Na alivyo na akili ndogo haoni kuna hoja inafuata hapo, Kwa nini Taifa ka watu million 60 tuwe na makocha 42 tu wanaotambulika na CAF?
Jamaa anatia aibu kila kitu usimba na uyanga
 
Na mechi ya marudiano wanacheza hapo hapo kwa mkapa wakiwa wenyeji, hili wamelikalia kimya wala hawalizungumzi.

Ila trust me favour hii ingemkuta Simba saizi kila mtu angekuwa anahubiri kuwa Simba inapendelewa
Khaaaaaaaaaa!!!! Huyu jamaa nilikuwa Nampa salute nyingi Sana kumbe nilikuwa namheshimu mbumbumbu kiasi hiki? Kwani Yanga ndo imeomba Zolan atumie uwanja wa taifa Kwa mechi zake?

Koloboy mbumbumbu,kolowizard wa viwango vya juu.
 
Back
Top Bottom