Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

Mama Samia hapa kahamua kucheza kamari ni either imlipe au isimlipe.... hawa wanaweza kuendelea na hayo mambo au wasiendelee... hakuna anayejua mioyo yao.

Hawa ni magaidi hata Samia mweyewe anajua hilo na dawa ya magaidi huwa ni kuwekwa kizuizini hadi kifo au kutwangwa risasi za kichwa kama majambazi.....

Tumuombe Mungu hawa Magaidi wasianze tena na hali iendelee kuwa shwari.
mimi naona gaidi kubwa ni pengo ndio aliye tufikisha hapa tulipo ni njaa tupu baada ya kuacha watu kuleta maendeleo yeye analeta ukanisa tu
 
wewe ni mpuuzi tu ivi kwa akili yako ya mavi kama kweli kuna kesi hapo si wengekuwa zamani washahukumiwa hao kosa lao kubwa ni kuutaja muungano lakini jambo lakusikitisha eti unaambiwa Tanzania ni nchi imepata huru mimi naona ni bora ukoloni ule wakizungu ulikuwa na haki kuliko huu ukuloni wa kiafrika unaitwa nchi huru ivi kweli wewe kwa akili zako za matope jaji vipi atasikiliza upuuzu huu mtu analetwa mahakamani halafu unaambia ushahidi hauja kamilika na wewe jaji unatizama tu miaka 9 hujaitupiliya mbali kesi hio halafu unasema kunasheria hapo halafu kwa sheria za ukandamizaji za kijinga serikali inaweza kukuweka ndani kwa muda wa miaka 100 halafu ikafuta hio kesi na hakuna kuulizwa wala hakuna fidia
Kwa vile inaonesha kabisa umekereka na kukasirika kwa kilichofanyika kuwaachilia wale Wazanzibar kwa DPP kutumia kifungu kinachompa mamlaka kikatiba kutoendelea na kesi pale anapoona inafaa kufanya hivyo, na umeumia sana kwa nilichoandika hapa, basi huna budi kujining'iniza utoke kwenye uso wa hii nchi yenye dhuluma.
 
Nafikiri mtoa mada kaliweka vizuri sana! Uenda Serikali iliamua isiwafunge kwa maslahi ya umma kuhofia kuwa yataibuka makundi mengine kwa kasi hivo ikaaamua iwaache tu ila ni kweli hawa jamaa walifanya mambo ya ovyo sana


Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali inakamata waharifu, wenye ushahidi, inakaa nao miaka tisa yote kisha inawaonea huruma au kuogopa na wanarudishwa uraiani.
Wao:
1: walioua
2: waliomwagia watu tindikali
3: waliowapa watu ulemavu
4: waliochoma majengo ya dini
..........

Ila serikali inashindwa kupeleka ushahidi mahakamani ndani ya hiyo miaka tisa na kuwaonea huruma au kuogopa yatakayofuata. Basi hiyo serikali inahitaji kujitafakari kwani walio gerezani wengu tu nao wapewe nafasi ya huruma na wapo wengi tu wanamiguvu yao na wako ndani. Ningesikia wameachiwa kwa masharti maalumu hapo sawa. Kuwa kuna tahadhali kama ukipatwa na kosa tena lakini ya kuondoa mashitaka?
 
Kwa hiyo Serikali haikuiona hii clip, wewe ndo unayo tu. Unaweza kumnyima mwanao hela ya chakula lakini unajua ukweli moyoni kuwa hela unayo na unawajibika kumpa.
Kwahiyo wakiwa nao ulitaka wafanye nini? Maana kama gerezani wameishakaa
 
Back
Top Bottom