mimi naona gaidi kubwa ni pengo ndio aliye tufikisha hapa tulipo ni njaa tupu baada ya kuacha watu kuleta maendeleo yeye analeta ukanisa tuMama Samia hapa kahamua kucheza kamari ni either imlipe au isimlipe.... hawa wanaweza kuendelea na hayo mambo au wasiendelee... hakuna anayejua mioyo yao.
Hawa ni magaidi hata Samia mweyewe anajua hilo na dawa ya magaidi huwa ni kuwekwa kizuizini hadi kifo au kutwangwa risasi za kichwa kama majambazi.....
Tumuombe Mungu hawa Magaidi wasianze tena na hali iendelee kuwa shwari.