Suala la kuachiwa Mashehe wa Uamsho ni vema wanasiasa wakaliacha kando

mimi naona gaidi kubwa ni pengo ndio aliye tufikisha hapa tulipo ni njaa tupu baada ya kuacha watu kuleta maendeleo yeye analeta ukanisa tu
 
Kwa vile inaonesha kabisa umekereka na kukasirika kwa kilichofanyika kuwaachilia wale Wazanzibar kwa DPP kutumia kifungu kinachompa mamlaka kikatiba kutoendelea na kesi pale anapoona inafaa kufanya hivyo, na umeumia sana kwa nilichoandika hapa, basi huna budi kujining'iniza utoke kwenye uso wa hii nchi yenye dhuluma.
 
Serikali inakamata waharifu, wenye ushahidi, inakaa nao miaka tisa yote kisha inawaonea huruma au kuogopa na wanarudishwa uraiani.
Wao:
1: walioua
2: waliomwagia watu tindikali
3: waliowapa watu ulemavu
4: waliochoma majengo ya dini
..........

Ila serikali inashindwa kupeleka ushahidi mahakamani ndani ya hiyo miaka tisa na kuwaonea huruma au kuogopa yatakayofuata. Basi hiyo serikali inahitaji kujitafakari kwani walio gerezani wengu tu nao wapewe nafasi ya huruma na wapo wengi tu wanamiguvu yao na wako ndani. Ningesikia wameachiwa kwa masharti maalumu hapo sawa. Kuwa kuna tahadhali kama ukipatwa na kosa tena lakini ya kuondoa mashitaka?
 
Kwa hiyo Serikali haikuiona hii clip, wewe ndo unayo tu. Unaweza kumnyima mwanao hela ya chakula lakini unajua ukweli moyoni kuwa hela unayo na unawajibika kumpa.
Kwahiyo wakiwa nao ulitaka wafanye nini? Maana kama gerezani wameishakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…