Suala la kuomba unyumba na kunyimwa linaumiza sana

😅😅Haiombwi ivyo mkuu ongeza ubunifu
 
😂😂Chululu
 
Waaaambieeee haooo...wanadhani wameoaa marobot😏😏
 
Umetisha Sana mkuu 😂
 
Mletee mwenzie kaka stress za nn. .hela utafute kwa jasho mbususu nayo changamoto halafu mkeo. ..cku inayofuata tu atajua kuna mwenzie
 
Ongeza mke kaka ataheshimu zamu yako ,wanawake wanahitaji mapumziko lakini kimaumbile mwanume anahitaji tendo kila anaposhiba chakula ...so utateseka sana mwisho utumbukie kwenye michepuko .....mwanaume bila matara ni sawa na gari lenye tairi moja...safari itakuwa ngumu mzigo utakushinda kuubeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…