Suala la kuudha dhahabu harikubaliki Samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa

Suala la kuudha dhahabu harikubaliki Samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Suala la kuudha dhahabu harikubaliki samia na serikali yake ni haramu na hawana mamlaka hayo watalipa.

Najuq hana uchungu wowote na anaweza kuuza hata mbuga za wanyama hana mamlaka hayo ametwaa madaraka kinyume cha sheria kwa kuuwa watanzania.

Tutakuja na mpango wa kurudisha rasilimali zetu onyo kwa wanunuaji wa rasilimali zinazouzwa na serikali haramu hatutambui biashara yoyote kutoka kwa watu haramu na wezi.

Sisi tuna akili sana tutarudisha na hili muache aendelee kujiongezea kesi za kujibu. tupo nae sana huyu mpumbavu
 
Watu wanazani sisi tunapo simama kidete kupinga kupuuzwa kwa katiba wanazani sisi ni wapumbavu, ona sasa rasilimali za nchi zinauzwa zote kwaajili ya upumbavu na ujinga wako wewe askari mbumbumbu.
 
uuzaji wa dhahabu ulikuwa kama vile mtu binafsi anauza dhahabu zake haukuwa na ushirikiwaji wa wananchi zile ni mali za Tanzania sio za mtu mmoja
 
uuzaji wa dhahabu ulikuwa kama vile mtu binafsi anauza dhahabu zake haukuwa na ushirikiwaji wa wananchi zile ni mali za Tanzania sio za mtu mmoja
Mwigulu anasema "Wanaohoji hawajui zilipatikanaje?"
 
Back
Top Bottom