Suala la kuwakopesha hela wanawake linaharibu urafiki/ukaribu

mwake 2020 nikiwa mkoa fulani, nilikuwa na jirani ameolewa na kijana fulani anafanyia NIDA, anaishi mkoa mwingine,pale anakuja kila Ijumaa. yule mama nadhani kuna siku alitingwa vikoba, akaja kunikopa pesa akalipe kikoba (mama mwenyewe ana salon ya kike ndogo tu naona jamaa alimfungulia), nilimpa pesa kiasi, kwenye kurudisha nikaona ananilengesha ili tumalizane, utani umevuka mpaka, na mimi kama mtu mzima najua anachokitaka. NIliamua kuweka mpaka nikamwachia na deni kuliko kuzini naye mumewe akiwa mkoa mwingine. ukiona una mke ana vikoba, mkalishe chini, mwambie siku ya kikoba uniambie lejesho bei gani nikupe, wakikosa lejesho hawa viumbe, utavuna mabua na ni wadhaifu sana.
Inaogopesha
 
Usimp unahusika kwa sababu unawakopesha malaya watatu hawakulipi hapo ulitakiwa ujifunze

Ulivyo msenge bado unaendelea mpaka wanafika malaya 6 na wote wanakuchinjia baharini hiyo ni akili ya masculine au simp?
Ulisoma heading ya mada. At the end wanakulipa baada ya ugomvi na uhusiano/urafiki wa karibu unapotea. Kama ningekuwa namuacha tu aende na hela yangu ningekuelewa
 
Wewe ni mpumbavu hata kama ni mpaka ugomvi ulitakiwa ujifunze tangu wale malaya zako wa mwanzoni
 
jinsia ya kike ni wa kuwavumilia na kuwasaidia tu. binafsi haikuwa kumkopesha, kuna dada mmoja nadhani kwao alisoma peke yake na akawa tegemeo, mama na baba walishafariki hivyo ni yatima fulani na rundo la mzigo. nilimwonea huruma nikawa naye karibu. nilimpambania kama mdogo wangu, aliolewa na bado akaniona kama mtu wa muhimu kuliko wote ukiondoa mume wake. kumbe mimi sijui, amefanikiwa amepata cheo kikubwa, mwenzangu akawa anatafuta namna gani atanishukuru. awali nilijua utani tu kwa sababu hatujazidiana miaka mingi, though mi namwona kama mdogo wangu na nimeokoka anajua siwezi kuzini. alikuja kufunguka siku moja kwamba anatamani anipe zawadi, ipi? kumbe ya uzinzi, mimi nina mke na watoto anawajua. akahamishwa mkoa, nikaenda kibiashara kwenye mkoa wake, akajua nipo kwenye hotel fulani, aliuliza hadi nikaona anagonga chumbani kwangu, nilifungua tukakaaa tukaongea na hatukufanya kitu, hata baada ya kujibaraguzi mara oohh mi karibu naondoka, mara sijui nataka kurudi nyumbani nikamwambia mdogo wangu wewe unajua mimi nimeokoka, siwezi kuzini pamoja na kwamba nakupenda wewe kama mdogo wangu na upo karibu mno na mimi na ninajua unanipenda, tafadhali tuheshimiane ili mimi nisigombane na Mungu na wewe usigombane na mumeo, mumeo akikuacha mimi sitakuoa, pia mimi nikizini na wewe nitaingia kwenye mgogoro na Mungu utakaonigarimu, jambo ambalo sipo tayari. kwa msimamo wangu ule ndani ya miaka 5, sijawahi kuzini naye.

kitu nilichojiuliza, kwahiyo aliamini akizini na mimi ndio atakuwa amecompensate yale yoote niliyomsaidia maishani? na mumewe ni mtu wa maana tu Phd holder kabisa na wana maisha tu siku hizi wala hakuwa anahitaji pesa, ila penzi langu. shindwa shetani kwa Jina la Yesu.
A Strong Man of Your Own Version.

Mwanaume Halisi anailinda Brand yake Kwa Gharama.

Conguratulations.
 
Habari za jioni wakuu

Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu (niliowakopesha mimi) ila kwa wanawake yamenifika kooni. Hadi uwe mkali ndo upewe hela yako.

Nimekopesha kama wanawake sita hivi kwa kujipa moyo huyu atakuwa tofauti. Huyu ananisumbua kulipa akija huyu najifariji kwamba wanawake wote hawafanani tabia natoa tena.

Kwa hawa niliokutana nao mimi nimeona katabia fulani common, unapimwa kwanza akuone utasikia anasema "na wewe nae mwanaume mzima unadai hadi hiyo jamani".

Hii ni dalili kwamba anayo ila kwa kuwa wewe ni mwanaume anaona uzito kurudisha.

Wanawake wenye hii tabia badilikeni bwana, hata sisi wanaume ni binadamu kama nyie tunafanya kazi za kutuchosha akili na mwili, vi hela vyetu tunavyopata ndio vipoozeo.

Pia, siku nyingine unaweza kuwa na shida genuine kabisa umekwama niko kwenye nafasi ya kukusaidia nikaishia tu kukwambia Niko vibaya.
Acha ujinga wewe, watafune.
 
jinsia ya kike ni wa kuwavumilia na kuwasaidia tu. binafsi haikuwa kumkopesha, kuna dada mmoja nadhani kwao alisoma peke yake na akawa tegemeo, mama na baba walishafariki hivyo ni yatima fulani na rundo la mzigo. nilimwonea huruma nikawa naye karibu. nilimpambania kama mdogo wangu, aliolewa na bado akaniona kama mtu wa muhimu kuliko wote ukiondoa mume wake. kumbe mimi sijui, amefanikiwa amepata cheo kikubwa, mwenzangu akawa anatafuta namna gani atanishukuru. awali nilijua utani tu kwa sababu hatujazidiana miaka mingi, though mi namwona kama mdogo wangu na nimeokoka anajua siwezi kuzini. alikuja kufunguka siku moja kwamba anatamani anipe zawadi, ipi? kumbe ya uzinzi, mimi nina mke na watoto anawajua. akahamishwa mkoa, nikaenda kibiashara kwenye mkoa wake, akajua nipo kwenye hotel fulani, aliuliza hadi nikaona anagonga chumbani kwangu, nilifungua tukakaaa tukaongea na hatukufanya kitu, hata baada ya kujibaraguzi mara oohh mi karibu naondoka, mara sijui nataka kurudi nyumbani nikamwambia mdogo wangu wewe unajua mimi nimeokoka, siwezi kuzini pamoja na kwamba nakupenda wewe kama mdogo wangu na upo karibu mno na mimi na ninajua unanipenda, tafadhali tuheshimiane ili mimi nisigombane na Mungu na wewe usigombane na mumeo, mumeo akikuacha mimi sitakuoa, pia mimi nikizini na wewe nitaingia kwenye mgogoro na Mungu utakaonigarimu, jambo ambalo sipo tayari. kwa msimamo wangu ule ndani ya miaka 5, sijawahi kuzini naye.

kitu nilichojiuliza, kwahiyo aliamini akizini na mimi ndio atakuwa amecompensate yale yoote niliyomsaidia maishani? na mumewe ni mtu wa maana tu Phd holder kabisa na wana maisha tu siku hizi wala hakuwa anahitaji pesa, ila penzi langu. shindwa shetani kwa Jina la Yesu.
Wewe ni gasho
 
Wewe ni mpumbavu hata kama ni mpaka ugomvi ulitakiwa ujifunze tangu wale malaya zako wa mwanzoni
Psychologically, kutanguliza matusi kwenye mjadala ni manipulative tactic ya mtu ambae hana hoja yenye mantiki. Pia jifanyie introspection niamini afya yako ya akili haiko sawa ndio maana you go around kurusha matusi kwenye social media
 
Usimp unahusika kwa sababu unawakopesha malaya watatu hawakulipi hapo ulitakiwa ujifunze

Ulivyo msenge bado unaendelea mpaka wanafika malaya 6 na wote wanakuchinjia baharini hiyo ni akili ya masculine au simp
Ume define masculinity yangu Kwa kuwakopesha wanawake sita wakasumbua kulipa?

Kitu ambacho hata experts wa gender studies wanatoa working definitions tofauti kila mara kwenye tafiti zao
 
wanawake hawakopeshwi na sio wa kuwasaidia kama marafiki maana wao hawasaidii labda uwe kama umetoa sadaka tu.

Kila demu ana jamaa yake, hela akaombe au kukopa anakotoa mzigo.

Mara buku umkopeshe mchizi huwa wanarudisha, hata asiporudisha ukiwa na shida iliyondani ya uwezo wake ukimsanua tu anachinja.
 
Psychologically, kutanguliza matusi kwenye mjadala ni manipulative tactic ya mtu ambae hana hoja yenye mantiki. Pia jifanyie introspection niamini afya yako ya akili haiko sawa ndio maana you go around kurusha matusi kwenye social media
Lazima nikutukane kwa sababu wewe ni mjinga
 
wanawake hawakopeshwi na sio wa kuwasaidia kama marafiki maana wao hawasaidii labda uwe kama umetoa sadaka tu.

Kila demu ana jamaa yake, hela akaombe au kukopa anakotoa mzigo.

Mara buku umkopeshe mchizi huwa wanarudisha, hata asiporudisha ukiwa na shida iliyondani ya uwezo wake ukimsanua tu anachinja.
Uko sahihi mkuu mi sijapata shida na masela, wanarudisha bila shida akichelewa kidogo atakwambia. Wenzetu hawa siku ya kukulipa ikifika kimya kama humdai yani
 
Hii ni kama prediction fulani ningeichukulia serious, lakini siwezi kwasababu YOU ARE NOT WISE, japo sikujui ila believe me hata kwenye maisha yako nina uhakika uko troubled sana
Wewe ndio uko troubled ndio maana umetuletea matatizo yako humo ya kudhulumiwa na malaya
 
Pitia comments zetu kutoka juu hadi hapa halafu judge objectively who sounds stupid and who sounds wise kati yetu
 
Back
Top Bottom