Suala la kuwakopesha hela wanawake linaharibu urafiki/ukaribu

Suala la kuwakopesha hela wanawake linaharibu urafiki/ukaribu

Mimi majuzi kuna manzi nilimtokea nilimwelewa, akaniambia ana mtu wake, nikasema poa, sasa jana niko zangu site ile jion nashangaa ananipigia simu, tukaonga kidgo nika kata, baadae km dk3 iv ana niandikia ivi
Dear nina jambo naomba unisaidieee kama hutojaliiii.
Naomba unisaidieeee elfu 20 ,, nina shida kdg ntairudixhaaa kama hutojaliiii.

Nikasikilizia nikaja mjibu night , tarehe mbaya,
Akaishia duu haya.

Sasa sijui alimaanisha au mind game
Anakupima Simamie msimamo wako ,
 
jinsia ya kike ni wa kuwavumilia na kuwasaidia tu. binafsi haikuwa kumkopesha, kuna dada mmoja nadhani kwao alisoma peke yake na akawa tegemeo, mama na baba walishafariki hivyo ni yatima fulani na rundo la mzigo. nilimwonea huruma nikawa naye karibu. nilimpambania kama mdogo wangu, aliolewa na bado akaniona kama mtu wa muhimu kuliko wote ukiondoa mume wake. kumbe mimi sijui, amefanikiwa amepata cheo kikubwa, mwenzangu akawa anatafuta namna gani atanishukuru. awali nilijua utani tu kwa sababu hatujazidiana miaka mingi, though mi namwona kama mdogo wangu na nimeokoka anajua siwezi kuzini. alikuja kufunguka siku moja kwamba anatamani anipe zawadi, ipi? kumbe ya uzinzi, mimi nina mke na watoto anawajua. akahamishwa mkoa, nikaenda kibiashara kwenye mkoa wake, akajua nipo kwenye hotel fulani, aliuliza hadi nikaona anagonga chumbani kwangu, nilifungua tukakaaa tukaongea na hatukufanya kitu, hata baada ya kujibaraguzi mara oohh mi karibu naondoka, mara sijui nataka kurudi nyumbani nikamwambia mdogo wangu wewe unajua mimi nimeokoka, siwezi kuzini pamoja na kwamba nakupenda wewe kama mdogo wangu na upo karibu mno na mimi na ninajua unanipenda, tafadhali tuheshimiane ili mimi nisigombane na Mungu na wewe usigombane na mumeo, mumeo akikuacha mimi sitakuoa, pia mimi nikizini na wewe nitaingia kwenye mgogoro na Mungu utakaonigarimu, jambo ambalo sipo tayari. kwa msimamo wangu ule ndani ya miaka 5, sijawahi kuzini naye.

kitu nilichojiuliza, kwahiyo aliamini akizini na mimi ndio atakuwa amecompensate yale yoote niliyomsaidia maishani? na mumewe ni mtu wa maana tu Phd holder kabisa na wana maisha tu siku hizi wala hakuwa anahitaji pesa, ila penzi langu. shindwa shetani kwa Jina la Yesu.
Lamomy Mzigua90 cutelove Miss Natafuta kadogo2 Ms R Njooni muone wanaume wenye misimamo yao
 
Nakazia "Shindwa pepo "
 
kumkopesha mwanamke ni kuchoma pesa, lazima iungue. bora umpe msaada kama dada yako tu. potelea mbali au umnyime kabisa, vinginevyo atakulipa kwa njia ya kukupa UKE wake. baaass! ndio tayari ivo ushalipwa!
Na hili ndio tatizo wengine tunataka hela yetu tu irudi mbunye yako kaa nayo. Naona ni kaujanja fulani sasa hivi wakiona we mgumu kwenye kutoa hela yako hovyo hovyo wanakuja na gia ya kukopa halafu anakusumbua kulipa sijui ili umuombe mbunye mmalizane. Tatizo sana aisee.
 
Habari za jioni wakuu

Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu (niliowakopesha mimi) ila kwa wanawake yamenifika kooni. Hadi uwe mkali ndo upewe hela yako.

Nimekopesha kama wanawake sita hivi kwa kujipa moyo huyu atakuwa tofauti. Huyu ananisumbua kulipa akija huyu najifariji kwamba wanawake wote hawafanani tabia natoa tena.

Kwa hawa niliokutana nao mimi nimeona katabia fulani common, unapimwa kwanza akuone utasikia anasema "na wewe nae mwanaume mzima unadai hadi hiyo jamani".

Hii ni dalili kwamba anayo ila kwa kuwa wewe ni mwanaume anaona uzito kurudisha.

Wanawake wenye hii tabia badilikeni bwana, hata sisi wanaume ni binadamu kama nyie tunafanya kazi za kutuchosha akili na mwili, vi hela vyetu tunavyopata ndio vipoozeo.

Pia, siku nyingine unaweza kuwa na shida genuine kabisa umekwama niko kwenye nafasi ya kukusaidia nikaishia tu kukwambia Niko vibaya.
Wewe ndio mshamba mwanamke kama ni ndugu yako unampa,kama sio ndugu kabla ya kupewa hela lazima apigwe miti
 
Wewe ndio mshamba mwanamke kama ni ndugu yako unampa,kama sio ndugu anapigwa kabla ya kupewa hela lazima apigwe miti
Kwa hiyo ukishapiga hela yako ndo imeenda hivyo. Kila mwanamke anaekuja ukifanya hivyo kipato chako si kinaweza kuishia kwenye mbunye.
 
Kwa hiyo ukishapiga hela yako ndo imeenda hivyo. Kila mwanamke anaekuja ukifanya hivyo kipato chako si kinaweza kuishia kwenye mbunye.
Yes!,Ndio logic inakuja hapo,mwanamke anayejiheshimu hawezi kubali kupigwa miti,utapoteza pesa,utapoteza mwanamke,
Yule Malaya unamuwekea dau dogo,akisema akukope laki,unamwambia nakugonga kwa elfu 20,........
In the long run,utajikuta unasave pesa na kuwapoteza wanaoweza kupoteza pesa zako
 
Wanawake wengine wanakopa sio kama wanashida na pesa, wanawake hua wanaona haya kumtongoza mwanaume anaempenda hivyo anakutongoza kwa njia ya kukuomba umkopeshe, maana wanajua pesa ya mwanaume hua hailiwi kizembe, kivyovyote mkopeshaji atahitaji kufidia pesa yake kupitia mwili wake.
 
Back
Top Bottom