Suala la kuwakopesha hela wanawake linaharibu urafiki/ukaribu

Suala la kuwakopesha hela wanawake linaharibu urafiki/ukaribu

A Strong Man of Your Own Version.

Mwanaume Halisi anailinda Brand yake Kwa Gharama.

Conguratulations.
kuna kijana mmoja amenitukana kutokana na hili, hajui experience zangu na Mungu zikoje, several times nilishawahi kushinda jaribu kama hizo. na ilitokana zamani nilipowahi kumkosea Mungu, garama niliyotumia kumpata tena Mungu inanikumbusha hadi leo.
 
Wewe ni gasho
umenitukana bila sababu yeyote, ningaliweza kukutamkia kitu kikatokea kama nitakavyotamka, lakini nakusamehe na Mungu akusamehe, akufungue macho ujue umuhimu wa kuishi maisha matakatifu ya kumhofu Mungu. maisha ya dunia hii yanapita, hivyo unavyojiona mjanja, hujakamatika tu, mtafute Mungu ungalipo na nafasi. Mungu akusaidie. nasema hivi kwa sababu I just felt it in my heart not to speak anything bad against you, kwa sababu kingekupata hakika, ndio maana nimeamua kukusamehe na kukutakia mema. ogopa watu waliookoka kuliko chochote, nakushauri.
 
jinsia ya kike ni wa kuwavumilia na kuwasaidia tu. binafsi haikuwa kumkopesha, kuna dada mmoja nadhani kwao alisoma peke yake na akawa tegemeo, mama na baba walishafariki hivyo ni yatima fulani na rundo la mzigo. nilimwonea huruma nikawa naye karibu. nilimpambania kama mdogo wangu, aliolewa na bado akaniona kama mtu wa muhimu kuliko wote ukiondoa mume wake. kumbe mimi sijui, amefanikiwa amepata cheo kikubwa, mwenzangu akawa anatafuta namna gani atanishukuru. awali nilijua utani tu kwa sababu hatujazidiana miaka mingi, though mi namwona kama mdogo wangu na nimeokoka anajua siwezi kuzini. alikuja kufunguka siku moja kwamba anatamani anipe zawadi, ipi? kumbe ya uzinzi, mimi nina mke na watoto anawajua. akahamishwa mkoa, nikaenda kibiashara kwenye mkoa wake, akajua nipo kwenye hotel fulani, aliuliza hadi nikaona anagonga chumbani kwangu, nilifungua tukakaaa tukaongea na hatukufanya kitu, hata baada ya kujibaraguzi mara oohh mi karibu naondoka, mara sijui nataka kurudi nyumbani nikamwambia mdogo wangu wewe unajua mimi nimeokoka, siwezi kuzini pamoja na kwamba nakupenda wewe kama mdogo wangu na upo karibu mno na mimi na ninajua unanipenda, tafadhali tuheshimiane ili mimi nisigombane na Mungu na wewe usigombane na mumeo, mumeo akikuacha mimi sitakuoa, pia mimi nikizini na wewe nitaingia kwenye mgogoro na Mungu utakaonigarimu, jambo ambalo sipo tayari. kwa msimamo wangu ule ndani ya miaka 5, sijawahi kuzini naye.

kitu nilichojiuliza, kwahiyo aliamini akizini na mimi ndio atakuwa amecompensate yale yoote niliyomsaidia maishani? na mumewe ni mtu wa maana tu Phd holder kabisa na wana maisha tu siku hizi wala hakuwa anahitaji pesa, ila penzi langu. shindwa shetani kwa Jina la Yesu.
Amen mtu wa Mungu.
 
Ulimkopesha ukiwa na akili zako timamu, au ndio ulikuwa unaonyesha u gentleman!?
Sio wanawake, hata ndugu hakopeshwi.
we ukitaka undugu na urafiki uvunjike, kopeshaneni
Mimi na my siblings huwa tunakopeshana pesa kiroho safi. Una bahati mbaya kupata siblings ambao sio waaminifu.
 
Psychologically, kutanguliza matusi kwenye mjadala ni manipulative tactic ya mtu ambae hana hoja yenye mantiki. Pia jifanyie introspection niamini afya yako ya akili haiko sawa ndio maana you go around kurusha matusi kwenye social media
Na asipopata msaada wa haraka hali itakuwa mbaya zaidi.
 
Habari za jioni wakuu

Napenda kuwapa taarifa kuwa sikopeshi mwanamke yoyote hela yangu tena. Kusema kweli sijawahi kukutana na shida ya kurudishiwa hela yangu kutoka kwa mwanaume mwenzangu (niliowakopesha mimi) ila kwa wanawake yamenifika kooni. Hadi uwe mkali ndo upewe hela yako.

Nimekopesha kama wanawake sita hivi kwa kujipa moyo huyu atakuwa tofauti. Huyu ananisumbua kulipa akija huyu najifariji kwamba wanawake wote hawafanani tabia natoa tena.

Kwa hawa niliokutana nao mimi nimeona katabia fulani common, unapimwa kwanza akuone utasikia anasema "na wewe nae mwanaume mzima unadai hadi hiyo jamani".

Hii ni dalili kwamba anayo ila kwa kuwa wewe ni mwanaume anaona uzito kurudisha.

Wanawake wenye hii tabia badilikeni bwana, hata sisi wanaume ni binadamu kama nyie tunafanya kazi za kutuchosha akili na mwili, vi hela vyetu tunavyopata ndio vipoozeo.

Pia, siku nyingine unaweza kuwa na shida genuine kabisa umekwama niko kwenye nafasi ya kukusaidia nikaishia tu kukwambia Niko vibaya.
Wee nawe...unamdaoje mwanamke? Wee ukikopesha mwanamke ujue hapo anataka umgegede tuu.
Sasa unaona mwanawane yaani wanawake siita wote umeambilia patupu baadala ya kujiongeza unngekuwa wote ume wagegeda na uzuri hamnaga mahusiano hapo ni kotomboz tuu
 
Mimi majuzi kuna manzi nilimtokea nilimwelewa, akaniambia ana mtu wake, nikasema poa, sasa jana niko zangu site ile jion nashangaa ananipigia simu, tukaonga kidgo nika kata, baadae km dk3 iv ana niandikia ivi
Dear nina jambo naomba unisaidieee kama hutojaliiii.
Naomba unisaidieeee elfu 20 ,, nina shida kdg ntairudixhaaa kama hutojaliiii.

Nikasikilizia nikaja mjibu night , tarehe mbaya,
Akaishia duu haya.

Sasa sijui alimaanisha au mind game
 
Back
Top Bottom