Suala la kuwakopesha hela wanawake linaharibu urafiki/ukaribu

Wanatisha kama nini
Najua wewe unaweka na riba kabisa wakati wa kurudisha uteni na utwenti 🀣, huna pigo hizo, bana ila sijichanganyi πŸ˜‚πŸ˜‚ (joking Mis R)
 
Najua wewe unaweka na riba kabisa wakati wa kurudisha uteni na utwenti 🀣, huna pigo hizo, bana ila sijichanganyi πŸ˜‚πŸ˜‚ (joking Mis R)
Yaani mimi nafanya mara 5 ya ile ulonipaπŸ˜‚
 
Unaona watu hawajui tu, kuna watu bana na huwa unaleta mwenyeewe 🀣🀣🀣
We mbona kam unanifaham vizur sana,,uko wap nikuletee sasaivπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
 
Baada ya msimamo wako hakuendelea kujileta?
 
We mbona kam unanifaham vizur sana,,uko wap nikuletee sasaivπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸΎ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Ngoja nikirudi nakustua 🀣🀣🀣
 
Wanawake sijui wanatuona sisi wote ni matako zao, mwingine eti aliniambia, sijawahi kula pesa yako hata siku moja. Nikamwangaliaaa, sasa sijui alikuwa anafikiri mi ni muha
Ila wao ukiwaomba wakukopeshe mbususu zao wananuna hao 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mkuu jana kuna ex kanicheki, hello xxxx nina shida, nikajua hii ni hela nikamjibu shida ni za watu wote, akacheka kwa emoji halafu akakaa kimya namimi nikakaa kimya, akanitext tena nina shida nikamwambia nambie lkn isiwe ya hela , akajibu ni ya hela ,nikamjibu siwezi kukukopesha akajibu kwann, nikamwambia siwezi tu, akanijibu nakopa kwa riba, nikamjibu nenda microfinance wanakopesha misikopeshi, akajibu yuko mbali na home, nikamwambia aombee baba au mama ake akope kwa niaba yake akasema hataki kwao wajue ila anataka alipie ada ya mtihani next weeks wanatakiwa kufanya ,nikamwambia mmeo si yupo akasema ndiyo ,nikamwambia mwambie huyo akasema sawa akirudi atamwambia lkn naomba unikopee wewe hapo micro finance kwa niaba[emoji23][emoji23] nikapotea mazima sikumjibu.


Aisee kati ya ex wabahili huyu namba moja, kuna siku tumetoka safari na gari, nikaomba 4k yake nitumie sikuwa na hela ndogo akanipa, nilidaiwa hiyo hela hadi basi wakat mimi amekula zangu sana.

WANAWAKE WABAHILI, WANAWAKE WABINAFSI, HELA YA MWANAMKE INAUMA KULIKO UCHUNGU WANAOPATA WA KUJIFUNGUA
 
Kitu nilichojifunza hivi karibuni, ukitaka mwanamke asikuombe pesa acha ukaribu naye usio na maana, ukijiroga utupie na voko ,anakuingiza kwenye list ya vichuna wake.
 
Uko sahihi mkuu mi sijapata shida na masela, wanarudisha bila shida akichelewa kidogo atakwambia. Wenzetu hawa siku ya kukulipa ikifika kimya kama humdai yani
Kawaida yako kuna mmoja niliwai mkopa 30k wakati wa kulipa nikamwambia achana nayo, siku kupita akaja nikopa tena umefika wakati wa kulipa mara mikutumie kwa namba ipi nipo kwa wakala, mara oooh wakala kasema hana hela ntaenda badae, badae mara nliacha simu hostel nikaenda discussion . Lengo tu asikie baki nayo.

Ila nilimkomalia akalipa na ikawa mara ya mwisho kukopa kwangu
 
Ila wao ukiwaomba wakukopeshe mbususu zao wananuna hao 🀣🀣🀣🀣🀣

Watakukunja shati mbele ya watu utafikiri umeichukua unaondoka nayo.
 
Mimi nilichojifunza sikopeshi mtu yoyote, niliwahi kopesha mtu laki tatu ni mwanaume mpka leo sjamaliziwa kulipwa pesa yangu. Wakiwa na shida wanakuwa wanyonge ukiwasaidia wanasahau hata waliwahi omba msaada kutoka kwako. Kauli yangu ni moja kwa mja yoyote "siko vizuri kwa sasa" hata kama ninayo pesa sikopesh mtu ni heri nikupe tu kuliko kukopeshana watu si waaminifu, syo wanawake syo wanaume. Tunasaidiana si kwa kuwa tunayopesa saaana hapana ni ubinadamu tu kuoneshana.
 
Ole wako riba unayoweka ipungue...ndo natembea hivyo, si unajua nilikukopesha wewe akiba yotee 🀣🀣
usiogope punguza kujieleza ivoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…