Suala la LUGUMI ni mtihani mgumu kwa Rais Magufuli, akiiweza hii basi tena

Tumewapa watoto pipi ili walale, sasa bado tu mnasubiri chakula cha wakubwa!!!
 
Post hii ilikuwa hai kwa muda tulionao naona mods wameunganisha na dead post. Hii ya kuunganisha post inaboa sana. Post ya Lugumi ya mwezi April haifanani na post ya Leo. Kuna mambo mengi yamebadilika km kutenguliwa waziri Kitwanga, kuminya haki za kujieleza nk. Nawaombeni mods mbadilike mnakatisha tamaa. Hii forum imekuwa kama forum ya serikali haipo huru. Kwenu neno kilazaa tusi, jescah tusi, yaan hampo huru.
 
Mheshimiwa Rais umejipambanua kama mtumbuaji majipu lakini Lugumi ni kashifa kubwa iliyoibuka katika serikali yako mbona umekaa kimya?

Au wewe unashughulikia mafisadi wa utawala uliopita? Kama lugumi ni propaganda serikali yako ikanushe raia tusiwe na hofu. Ni jambo la kushangaza kuona serikali inayopambana na ufisadi ikilinyamazia hili. Kama mengi umeyafanya kupambana na ufisadi sioni kwanini hili linakuwa gumu ?
 
weeeee........!! ishia hapo. muombe mod aufute huu uzi kwa hiari yako..
 
Unamjaribu eeh! Hataki hayo mambo ya kujaribiana maana akichukia anaweza kugeuka mhehe mara moja na kuchukua hatua
 
Suala la Lugumu wabunge ndio wanalivalia njuga, hawezi kulishughulikia atakuwa amekiuka mamlaka ya bunge, ile kamati ya bunge ilishakamilisha uchunguzi? mwenye hiyo report atuwekee hapa.
 
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Unakuta haka kajamaa Kama Tabu zake nyingi halafu kanakuja hapa lugumi lugumi, upinzani wameshindwa wewe ndo utaweza? Mwishowe wanapigwa 7m au kifungo then wanakuja kutusumbua tuchangie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…