Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaaTumewapa watoto pipi ili walale, sasa bado tu mnasubiri chakula cha wakubwa!!!
Post hii ilikuwa hai kwa muda tulionao naona mods wameunganisha na dead post. Hii ya kuunganisha post inaboa sana. Post ya Lugumi ya mwezi April haifanani na post ya Leo. Kuna mambo mengi yamebadilika km kutenguliwa waziri Kitwanga, kuminya haki za kujieleza nk. Nawaombeni mods mbadilike mnakatisha tamaa. Hii forum imekuwa kama forum ya serikali haipo huru. Kwenu neno kilazaa tusi, jescah tusi, yaan hampo huru.Kabla ya Ufisadi wa Lugumi kuwekwa peupe watumbua majipu walikuwa wanaendelea vizuri kutumbua majipu yaliyoifisidi nchi.
Lakini sasa baada ya ufisadi wa Lugumi kuwekwa hadharani, watumbua majipu wakabwaga manyanga na zana zao chini.
Tulichoshuhudia ni yule aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani ambaye alihusishwa na Lugumi alitenguliwa uwaziri kwa ulevi. Tangu hapo hatujui huyu 'mlevi' yupo wapi.
Baada ya hapo serikali na bunge zikachachamaa kuminya Uhuru wa kujieleza ndani na nje ya bunge.
Hivi hili Lugumi lina nguvu kiasi gani?
weeeee........!! ishia hapo. muombe mod aufute huu uzi kwa hiari yako..Mheshimiwa Rais umejipambanua kama mtumbuaji majipu lakini Lugumi ni kashifa kubwa iliyo ibuka katika serikali yako mbona umekaa kimya.? Au wewe unashughulikia mafisadi wa utawala ulio pita? Kama lugumi ni propaganda serikali yako ikanushe RAIA tusiwe na hofu. Ni jambo la kushangaza kuona serikali inayopambana na ufisadi ikilinyamazia hili. Kama mengi umeyafanya kupambana na ufisadi sioni kwanini hili linakuwa gumu ?
Jieleze vizuri sijakuelewaLugumi namuogopa maana yeye ndiye mkuu wa gamboshi huko ninako abudia
kubwa la maadui..
mtumbua majipu naye ana jipu.. tena lipo mahali pabaya
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Fuata mambo yako kijana? Yanakuhusu nn bwana?
Suala la Lugumu wabunge ndio wanalivalia njuga, hawezi kulishughulikia atakuwa amekiuka mamlaka ya bunge, ile kamati ya bunge ilishakamilisha uchunguzi? mwenye hiyo report atuwekee hapa.Mheshimiwa Rais umejipambanua kama mtumbuaji majipu lakini Lugumi ni kashifa kubwa iliyo ibuka katika serikali yako mbona umekaa kimya.? Au wewe unashughulikia mafisadi wa utawala ulio pita? Kama lugumi ni propaganda serikali yako ikanushe RAIA tusiwe na hofu. Ni jambo la kushangaza kuona serikali inayopambana na ufisadi ikilinyamazia hili. Kama mengi umeyafanya kupambana na ufisadi sioni kwanini hili linakuwa gumu ?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]