pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Huna file Mirembe kweli wewe kiumbe?Mpango wenu CHADEMA kuiyumbisha serikali hautafanikiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna file Mirembe kweli wewe kiumbe?Mpango wenu CHADEMA kuiyumbisha serikali hautafanikiwa
Mpango upi ? Hivyo vifaa Thamani yake haifiki hata bilion moja wewe na boss zako mkaamua kuiba bilion 37 zote kwa visingizio feki Alafu mnasema chadema inayumbisha Serikali ? Acha hizo Kama wamekupa Rushwa uwatetee ni bora ubuni njia ingine ya kuwatetea lakini kutumia chadema kuwatetea boss zako ni Ujinga mkubwa.Mpango wenu CHADEMA kuiyumbisha serikali hautafanikiwa
Mkuu bei ya mashine na Thamani yake haifiki hata bilion 1 hizo mashine hazina bei kubwa , kilichofanyika ni Dili ilikuwa ni uchochoro wa kupitishia pesa za wizi Kwa kisingizio feki .Ukiwa na kumbukumbu kuwa kazi hiyo ili paswa kukamilika toka 2011 kwanini isinge kamilika mpaka sasa na pia ukijiuliza ni kiasi gani cha fedha kitakuwa kimesalia baada ya mgao, na je bei za mashine bado ni zile zile hapo ndio utajua kama kazi hiyo ya kufikirika ita weza kukamilika au laa.
sasa wewe unamfundisha awapuuze wananchi aamue kuwabebana Lugumi na kitwanga , inaelekea wewe ni mshauri mkuu wa Magufuli .Rais aliomba kazi anayoifahamu, hujamfundisha na wala hutoweza kumfundisha afanye kipi na aache kipi
List iliyotafuna pesa za Lugumi ni ndefu Hatari akiamua kuianika wazi kabsa itakuwa Aibu kubwa Kwa Serikali , Lugumi kapiga dili wizara zingine nyingi lakini huko bado hawajapavumbua Nadhani mda si mrefu utasikia kwingine aliyoyafanya huko.Unaweza kukuta Lugumi jana jioni amekunywa kahawa pale pale Magogoni na JPM. Magufuli yeye saizi yake ni watumishi wa serikali, hawa mafisadi wakubwa hawezi kuwagusa nchi itayumba. Na Lugumi ameishasema sio kila jipu ni la kutumbuliwa
moja wa watuhumiwa ni Said mwema IGP mstaafu unategemea nini ? Pili January Makamba kapewa tenda ya kuleta kamati za Ufundi toka Gambia na Utitiri wa wachakachuaji wa mikataba , Huku wenyewe Lugumi na kitwanga wakitembeza Rushwa Kwa kasi kubwa unategemea Haki itayendeka hapo ?Mh.rais ameishasema serikalini kuna mambo ya ajabu, fikiria imekuwaje walipwe pesa yote na huku kazi hawajamaliza ? Pili kwann pccb wako kimya hadi Leo ? Kwanini wizara yenyewe haijawahilalamika kuhusu hiyo Kampuni kwa kutotekeleza mkataba, 3 waziri mhusika mbona hatokei hadharani kulizungumzia ? Nafkri hapo tuunganishe dot tutapata majibu
Maisha ni possibilities badala ya ambitions ..List iliyotafuna pesa za Lugumi ni ndefu Hatari akiamua kuianika wazi kabsa itakuwa Aibu kubwa Kwa Serikali , Lugumi kapiga dili wizara zingine nyingi lakini huko bado hawajapavumbua Nadhani mda si mrefu utasikia kwingine aliyoyafanya huko.
Nina afiki Muungwana hakuna la ajabu lisilo weza kufanyika kwenye nchi yetu watu wanapo taka kujinufaisha.Mkuu bei ya mashine na Thamani yake haifiki hata bilion 1 hizo mashine hazina bei kubwa , kilichofanyika ni Dili ilikuwa ni uchochoro wa kupitishia pesa za wizi Kwa kisingizio feki .
VietnamUko dunia gani mkuu, sorry nchi gani?
Lumumba yatetea majipu! Ili iweje? Asibugudhiwe? Hela keshakula 99%, kazi ya 2011 hajamaliza bado anaonewa! Watz!Ukawa bana lugumi lugumi lugumi...mmekosa kazi ya kufanya mnashupalia tu tutumbua majipu lol!