Suala la LUGUMI ni mtihani mgumu kwa Rais Magufuli, akiiweza hii basi tena

Suala la LUGUMI ni mtihani mgumu kwa Rais Magufuli, akiiweza hii basi tena

Suala la Lugumu wabunge ndio wanalivalia njuga, hawezi kulishughulikia atakuwa amekiuka mamlaka ya bunge, ile kamati ya bunge ilishakamilisha uchunguzi? mwenye hiyo report atuwekee hapa.
No sense
 
Mh.Magufuli atalitumbua tu jipu la Lugumi kama ameweza kumgusa fisadi lao Bulembo na Simba roho yangu kwatu Lugumi ajipange
 
Mheshimiwa Rais umejipambanua kama mtumbuaji majipu lakini Lugumi ni kashifa kubwa iliyoibuka katika serikali yako mbona umekaa kimya?

Au wewe unashughulikia mafisadi wa utawala uliopita? Kama lugumi ni propaganda serikali yako ikanushe raia tusiwe na hofu. Ni jambo la kushangaza kuona serikali inayopambana na ufisadi ikilinyamazia hili. Kama mengi umeyafanya kupambana na ufisadi sioni kwanini hili linakuwa gumu ?
Serikali hii haitaki uchochezi,achana kabisa na suala LA Lugumi
Serikali
 
Lugumi na tender ya uniform za polisi za 60bil! Hizo anaziogopa!! Atawalinda wastaafu walale usingizi!!! Na yeye anayo yake....Meli MV Bagamoyo na report ya CAG!! Atakufa nayo hayo ma 4....!!!!
 
Sio kila jipu linahitaji kutumbuliwa!!
#Huu mchezo hauhitaji hasira...teh teh mtachonga sana!!!
 
Mheshimiwa Rais umejipambanua kama mtumbuaji majipu lakini Lugumi ni kashifa kubwa iliyoibuka katika serikali yako mbona umekaa kimya?

Au wewe unashughulikia mafisadi wa utawala uliopita? Kama lugumi ni propaganda serikali yako ikanushe raia tusiwe na hofu. Ni jambo la kushangaza kuona serikali inayopambana na ufisadi ikilinyamazia hili. Kama mengi umeyafanya kupambana na ufisadi sioni kwanini hili linakuwa gumu ?
Kuwa makini pale unapoongelea issue ya lugumi na uuzwaji wa nyumba za serkal. Watu wamefukuzwa bungeni kisa kuuliza kuuliza ovyo juu ya hyo masuala.
 
ATUMBUE LUGUMI hahahah labda mmiliki abadilike lkn akiwa yule yule haiwezkn
 
Mi Tanzania bhna sijui huwa tukoje....suala LA Lugumi lishafanyiwa uchunguzi na kazi ambayo alipewa lugumi ameshaifanya katika kila kituo cha polisi....sasa kelele za nini???!
 
Mi Tanzania bhna sijui huwa tukoje....suala LA Lugumi lishafanyiwa uchunguzi na kazi ambayo alipewa lugumi ameshaifanya katika kila kituo cha polisi....sasa kelele za nini???!
Na Tanzania ni nchi pekee duniani ambayo mijizi na mafisadi wakishaiba na dili kustukiwa wanaombwa kuweka mambo sawa.
 
Wewe usijidanganye. Kuna majipu yaliyokaa pabaya. Ni bora kwenda kwa paroko kumwomba akuombee kwa Mams Maria amwombe mungu lipotee hivihivi. Nikijidai kulipasua usaa wake utarukia mpaka machoni na nitakuwa kipofu. Si bora hivi vichunusi vya vijana walioanza kub*****??Hap vichunusi vyao ninaviweza
 
Back
Top Bottom