Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

Tuchekeche mbongo zetu Ni Bora zile billion zaidi ya 200
MAANA zilitumika ku empower watu wetu sio kupewa misaada ya chakula
(kupewa chakula Ni kututukana Tena matusi ya viungo vya uzazi wa wamama zetu)

Ni sawa sawa na Mimi nije kuilisha familia yako mkuu mwisho wa siku ntakugongea mkeo..

""THERE'S NO FREE LUNCH IN AMERICA""

Tuna ardhi nzuri tuna Man power tuna everything sisi sio wa kusaidiwa Michele, mafuta ya alizeti BIG NO

Sisi sio maskini wa kushindwa kujilisha na kulisha watoto wetu

WE MUST BRAIN OUR EYE'S🧠🧠
 
Wewe ni mjinga sana miaka ya 1980's mwanzon watanzania walikula sana mahindi ya njano a.k.a ya yanga kutoka marekani mbona hawakua mashoga
 
ARVs pia wanatoa bure sio tu chakula vitu kibao nchi inapewa bure
Fahamu ukiwa maskin huna ujanja wowote ule
 
Na kundi hilo ndiyo mtaji mkubwa kwa chama dola kongwe CCM kubakia madarakani
 
Dokta kumbe na wewe unashabikia machanjo ya mwendokasi ya uviko?
 
Vous avez réussi, merci
 
usisahau asilimia 90 ya raia ni wapunbavu
 
Bashe mjanja mjanja
 
Waambie hao.....
 
Ushaambiwa kuxaa watoto wengi kunachangia kuzorota uchumi wa Duniaaa

Alafuhaohao leo wanakupa.mchele kulen mzaeeetripple
 
Siasa ilichukua nafasi ya taaluma enzi zile.
 
Kuna jamaa alipandisha uzi juzi tu, comment ya kwanza baada ya thread ndio inadefine mtiririko mzima wa comments.

We're not critical I bet!
 
Viongozi wetu wa kisiasa ni wanafiki sana, kwa zaidi ya miaka 10 USAID imekuwa ikifadhili miradi ya kuongeza virutubishi kwenye nafaka mpaka huko vijijini. Maonyesho ya nane nane 2015 pale Morogoro walikuwa na mabanda yao na wakihamasisha matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi kukabiliana na utapiamlo + udumavu, nk. Hawa akina Bashe sijui SSH amewaokota wapi. Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndio wanafikiria kila kitu ni ushoga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…