Suala la mchele imeonesha wazi kuwa nchi yetu ina hazina kubwa ya watu wenye akili ndogo

Tuchekeche mbongo zetu Ni Bora zile billion zaidi ya 200
MAANA zilitumika ku empower watu wetu sio kupewa misaada ya chakula
(kupewa chakula Ni kututukana Tena matusi ya viungo vya uzazi wa wamama zetu)

Ni sawa sawa na Mimi nije kuilisha familia yako mkuu mwisho wa siku ntakugongea mkeo..

""THERE'S NO FREE LUNCH IN AMERICA""

Tuna ardhi nzuri tuna Man power tuna everything sisi sio wa kusaidiwa Michele, mafuta ya alizeti BIG NO

Sisi sio maskini wa kushindwa kujilisha na kulisha watoto wetu

WE MUST BRAIN OUR EYE'S🧠🧠
 
Mkuu tuwe tu realistic . Nchi hii shule za bweni wengi tumesoma hata kama wewe hujasoma boarding. Tunakula wali , uji , nyamaa , samaki na mboga za majani vgote hivi vinalimwa hapa hapa Tanzania. Ni lini shuleni tumekula vyakula vya msaada vilivyoongezewa virutubisho?
Wewe ni mjinga sana miaka ya 1980's mwanzon watanzania walikula sana mahindi ya njano a.k.a ya yanga kutoka marekani mbona hawakua mashoga
 
Tuchekeche mbongo zetu Ni Bora zile billion zaidi ya 200
MAANA zilitumika ku empower watu wetu sio kupewa misaada ya chakula
(kupewa chakula Ni kututukana Tena matusi ya viungo vya uzazi wa wamama zetu)

Ni sawa sawa na Mimi nije kuilisha familia yako mkuu mwisho wa siku ntakugongea mkeo..

""THERE'S NO FREE LUNCH IN AMERICA""

Tuna ardhi nzuri tuna Man power tuna everything sisi sio wa kusaidiwa Michele, mafuta ya alizeti BIG NO

Sisi sio maskini wa kushindwa kujilisha na kulisha watoto wetu

WE MUST BRAIN OUR EYE'S🧠🧠
ARVs pia wanatoa bure sio tu chakula vitu kibao nchi inapewa bure
Fahamu ukiwa maskin huna ujanja wowote ule
 
Na kundi hilo ndiyo mtaji mkubwa kwa chama dola kongwe CCM kubakia madarakani
 
Usisahau Ishu ya Covid ilimkuta Waziri Dkt Gwajima akiwa waziri wa Afya..
na Dkt Gwajima ni Daktari na amefanya kazi kama DMO,RMO singida na mikoa Mingi sana mpaka naibu katibu wizara ya afya..

Na yeye alikuwa wa kwanza kuagiza Mashine ya kujifukiza pale muhimbili..
Sasa Hapo ni kosa la nani???
Dokta kumbe na wewe unashabikia machanjo ya mwendokasi ya uviko?
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Vous avez réussi, merci
 
usisahau asilimia 90 ya raia ni wapunbavu
 
M

Mataahira nimengii sana!!! yaani mtu apike Mchele agonge ubwabwa wake eti atamani ushoga... wewe umeskia wapi??
Hayo MAVIongozi yanayopinga yanaendaga ulaya yanakula huo ubwabwa mbona si mabwabwa au??
Serikali iongozwe na watu timamu tutajakosa misaada tujifie njaa kwakiburi Cha kisomali chamtu mmoja!!
Wanipe mm gunia zangu tano nijilie ubwabwa MWAKA mzima tusileteane upuuzi hapa
Bashe mjanja mjanja
 
Tangu huu Mchele ulipotolewa na Marekani nimewaona Watanzania kuwa wana akili ndogo sana.

Ikiwa mnashindwa kuwapa watoto wenu chakula bora huko shuleni na wanakonda na kupata utapiamlo, then ghafla mnapata msaada mnakimbilia katika kichaka cha ushoga!

Hizi nchi za watu wenye low minded people ni ngumu kuziongoza, ndio maana watu wenye akili zinazowaza vyema hujitenga na siasa.

Mnasahau kuwa hii nchi ni masikini kwa kila kitu.

Ajenda ya ushoga ni kichaka cha watu wajinga kujificha.

Waswahili wengi pamoja na kuwa wamesoma Ila hawapo logically Ila wapo emotionally.

Hupenda kuongea bila kuhusisha ufahamu hivyo hata ushoga wenyewe asilimia kubwa wanaouzungumzia hawauelewi ni nini na hawajui unasababishwa na nini.
Waambie hao.....
 
Ushaambiwa kuxaa watoto wengi kunachangia kuzorota uchumi wa Duniaaa

Alafuhaohao leo wanakupa.mchele kulen mzaeeetripple
 
Usisahau Ishu ya Covid ilimkuta Waziri Dkt Gwajima akiwa waziri wa Afya..
na Dkt Gwajima ni Daktari na amefanya kazi kama DMO,RMO singida na mikoa Mingi sana mpaka naibu katibu wizara ya afya..

Na yeye alikuwa wa kwanza kuagiza Mashine ya kujifukiza pale muhimbili..
Sasa Hapo ni kosa la nani???
Siasa ilichukua nafasi ya taaluma enzi zile.
 
Kuna jamaa alipandisha uzi juzi tu, comment ya kwanza baada ya thread ndio inadefine mtiririko mzima wa comments.

We're not critical I bet!
 
Maskini huwa ana uwanja mdogo sana wa kuchagua vitu vizuri ijapokuwa anaweza kujsa ujeuri na kiburi katika kuvipokea. Watu wa Marekani wameombwa msaada, hali wakitambua lishe duni na umaskini uliokithiri kwa Watanzania, kwa moyo mmoja walijitolea mchele wenye virutubisho, ili vijana wapate lishe bora.

Shirika la viwango, TBS, limethibitisha kuwa chakula hicho ni kizuri na kinafaa kwa matumizi ya binadamu. Sasa kelele za watu jeuri zinaanza kupazwa na kushutumu msaada uliotolewa, na kutafutwa sababu zisizokuwa na mashiko ili kuhalalisha lawama zao.

Marekani ni taifa kubwa sana na lililoendelea sana kisayansi na kiuchumi. Bajeti yetu tegemezi huitegemea nchi hii, na hata shirika lao la USAID huisaidia nchi yetu kwa mambo mbalimbali. Sasa inakuwaje msaada huu tu ndio ulete kelele zote hizo!? Ni lazima tukumbuke kuwa baniani mbaya kiatu chake dawa
Viongozi wetu wa kisiasa ni wanafiki sana, kwa zaidi ya miaka 10 USAID imekuwa ikifadhili miradi ya kuongeza virutubishi kwenye nafaka mpaka huko vijijini. Maonyesho ya nane nane 2015 pale Morogoro walikuwa na mabanda yao na wakihamasisha matumizi ya vyakula vilivyoongezewa virutubishi kukabiliana na utapiamlo + udumavu, nk. Hawa akina Bashe sijui SSH amewaokota wapi. Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri ndio wanafikiria kila kitu ni ushoga.
 
Back
Top Bottom