linazua gumzo ni kuingiza wanajeshi "uraiani" kama vile nchi inaongozwa kijeshi.
Maslahi ya watumishi wa umma yamepuuzwa sana. Ipo dhana ya uhusiano ksti ya mwajiri na mwajiriwa. Mshahara wa mfanyakazi utosheleze mahitaji yake tu ili aendeler na ajira yake.
Kwa dhana hiyo mwajiri katili atalipa mishahara isiotosha hata kuganga njaa aendelee kumtumikiwa bila kujali shida za watumishi wake.
Promotion & upgrading, annual salary increments, salary adjustments, annual leave allowance, travelling allowance, etc, ni haki za watumishi wa umma. Wakinyimwa maslahi yao na kupeleka fedha husika kwenye miradi ya maendeleo au matumizi mengine si sawa.