Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

Ndiyo maana mashindano ya CECAFA yakaitwa "DAR PORT KAGAME CECAFA CUP"??
 
Una maana mkeka, umekatikia njiani. Wasigonge cheer's ndiyo kwanza alfajiri. Yule mwenye uso wa bumunda, atatangulia yeye Burundi. Mhagama apumzishwe hakuna anachokifanya, ni kati ya Mawaziri mizigo.
 
Eeeee kwa hiyo kuna episodes ya pili ambayo January na Nape watakuwa wamepelekwa wizara nyingine?

Vipi yule wa Vunjo si ampe wizara ya fedha?

Vipi Eric Shigongo kuwa naibu wizara ya michezo anafaa, Ummy bado anafaa kwani?

Mbalawa je aliyehusika na kudalalia bandari yetu huku ya kwao wakiacha.
 
Wewe sasa hivi ukisema jambo juu ya uteuzi na utenguzi,Mimi nakuamini neno kwa neno.
 
Hao hawawezi Pewa chochote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…