Suala la Mkuu wa Nchi kutoa mkeka nusu nusu unaohusu uteuzi wa nafasi za Uwaziri na Manaibu lipo vipi?

Kwa upande wangu Nape alistahili huyo mtoto wa wazuri hawafi pia tuone Baba ake atakufanya nini maana ana mikwara sana bado Mwigulu,Jenista,Chalamila na yule mjinga Bomboko juzi Odemba anamuuliza maswali ya msingi anatuletea madharau na huyo mteuzi awe makini na suala la uchimbaji madini pale Serengeti.
Na mimi ninaomba kuuliza swali ni kweli lango kuu la Nchi inaongozwa na DPW kutokea Rwanda?
Ndiyo maana mashindano ya CECAFA yakaitwa "DAR PORT KAGAME CECAFA CUP"??
 
Habari ndugu zetu!

Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!

Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?

Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?

Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?

Britanicca
Eeeee kwa hiyo kuna episodes ya pili ambayo January na Nape watakuwa wamepelekwa wizara nyingine?

Vipi yule wa Vunjo si ampe wizara ya fedha?

Vipi Eric Shigongo kuwa naibu wizara ya michezo anafaa, Ummy bado anafaa kwani?

Mbalawa je aliyehusika na kudalalia bandari yetu huku ya kwao wakiacha.
 
Wewe sasa hivi ukisema jambo juu ya uteuzi na utenguzi,Mimi nakuamini neno kwa neno.
 
Eeeee kwa hiyo kuna episodes ya pili ambayo January na Nape watakuwa wamepelekwa wizara nyingine?

Vipi yule wa Vunjo si ampe wizara ya fedha?

Vipi Eric Shigongo kuwa naibu wizara ya michezo anafaa, Ummy bado anafaa kwani?

Mbalawa je aliyehusika na kudalalia bandari yetu huku ya kwao wakiacha.
Hao hawawezi Pewa chochote
 
Back
Top Bottom