CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Kafanyaje tena wa kunyumba?Jeneister
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafanyaje tena wa kunyumba?Jeneister
Ndiyo maana mashindano ya CECAFA yakaitwa "DAR PORT KAGAME CECAFA CUP"??Kwa upande wangu Nape alistahili huyo mtoto wa wazuri hawafi pia tuone Baba ake atakufanya nini maana ana mikwara sana bado Mwigulu,Jenista,Chalamila na yule mjinga Bomboko juzi Odemba anamuuliza maswali ya msingi anatuletea madharau na huyo mteuzi awe makini na suala la uchimbaji madini pale Serengeti.
Na mimi ninaomba kuuliza swali ni kweli lango kuu la Nchi inaongozwa na DPW kutokea Rwanda?
Ooh wanagawa virindaMlete benchi Ummy mwalimu ,walete benchi wagawa virinda tumewamiss kijiweni kwetu tupige nao story
DuhNdiyo maana mashindano ya CECAFA yakaitwa "DAR PORT KAGAME CECAFA CUP"??
Sasa hivi "utatukusanya". Baada ya yoga kututelekeza.Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Eeeee kwa hiyo kuna episodes ya pili ambayo January na Nape watakuwa wamepelekwa wizara nyingine?Habari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Wewe sasa hivi ukisema jambo juu ya uteuzi na utenguzi,Mimi nakuamini neno kwa neno.Habari ndugu zetu!
Hivi kwa hali ya uongozi ilivyo katika nchi pendwa yetu!
Je, ni kosa Mkuu wa nchi akatengua na kuteua kwa siku mbili au Tatu mfululizo kwenye nafasi za uwaziri na unaibu?
Mfano unasikia leo au Kesho anatoa ka mkeka kengine ka mawaziri wengine kuteuliwa na kutenguliwa? Au manaibu Wengine kuteuliwa na kutenguliwa?
Yaani Manaibu wengine wanapigwa chini na Mawaziri wengine kama watatu wakatolewa yaan mikeka inakuja Nusu nusu?
Britanicca
Hao hawawezi Pewa chochoteEeeee kwa hiyo kuna episodes ya pili ambayo January na Nape watakuwa wamepelekwa wizara nyingine?
Vipi yule wa Vunjo si ampe wizara ya fedha?
Vipi Eric Shigongo kuwa naibu wizara ya michezo anafaa, Ummy bado anafaa kwani?
Mbalawa je aliyehusika na kudalalia bandari yetu huku ya kwao wakiacha.
Kaka yake na February pamoja na mzee wa goal la Maradona?Hao hawawezi Pewa chochote
We Burita wee please don't!Nauliza tu mfano ukaambiwa yule Ummy mwalimu kapigwa chini je watasubiri waapishwe pamoja na wajana au ?
NimenyamazaWe Burita wee please don't!
P
Duh ... ila we mtu wewe...!, zamani tuliaminishwa the best wa intel ni Jews, lakini kumbe Warusi nao ni noma, mkeka haujatoka jf tayari tunao!, utakuja kusababisha printer ihamishiwe chumbani!Nimenyamaza
B