Hapana, sijapaniki. Hapo ndiyo nimetulia.Tulia basi uandike vizuri, mbona kama umepaniki.
Alafu Ni kama vile uelewi mantiki yangu. Ku-shift kutoka point "A" of lifestyle kwenda Point "B" of lifestyle si kosa kikatiba (ilimradi hauvunji Sheria za nchi).Kwa nini unafikiri mimi ndiye AY? Kwani mtu asiye AY hawezi kutetea hoja tu bila ya kuwa AY?
Mimi si AY. Mimi siipendi CCM, si mfuasi wa Samia. Lakini natetea uhuru wa AY kuchagua chama anachokitaka.
Simtetei AY. Natetea watu wote kutumia uhuru wao wa kisiasa, kikatiba, kiraia na kibinadamu wanavyotaka.
Uchawa ni haki ya kikatiba, hata wewe unarugusiwa juwa chawa wa ntu wako unayemtaka, tatizo liko wapi?
Mnampangia maisha mtu baki. Hamumuachii uhuri aishi anavyotaka yeye, mnataka kumpangia aishi mnavyitaka nyie.
Tena katika jambo ambalo ni la haki yake ya kikatiba.
Kwa nini?
AY hana haki ya kubadili maisha yake kutoka kuwa mtu ambaye hashiriki kwenye siasa kuwa mtu anayeshiriki kwenye siasa ku support chama anachokitaka?Alafu Ni kama vile uelewi mantiki yangu. Ku-shift kutoka point "A" of lifestyle kwenda Point "B" of lifestyle si kosa kikatiba (ilimradi hauvunji Sheria za nchi).
Lazima tushangae hizo changes zako kwa mtu ambaye tulizoea kukuona ukiwa na Aina flani hivi ya maisha. Upo hapo.
Leo hii lazima tutashangaa endapo Kiranga akaamua kuanza kuhubiri neno la Mungu kwa nguvu zote, Kiranga akaamua kuanza kumtetea Mungu kwa nguvu zote, hapo lazima tuanze kushangaa, japokuwa kazi yako hautakuwa umevunja katiba ya nchi. Simply, Kiranga tunayemfahamu hatujazoea kumuona akimtetea Mungu, kwa nini sasa hivi kaamua kuanza Kumtetea Mungu? Lazima tutashangaa.
Hizo passion na rapid fire logical rat-tat-tat-tat zako ndizo zinakuja kuharibu mtiririko mzuri WA hoja yako. Unakua haeleweki..
Ni wewe tu hujazoea kujibizana na watu wenye passion na rapid fire logical rat-tat-tat-tat.
Nimekujibu hapo juu.Hujajibu hata hoja moja.
Tusubiri tuone lengo lake na mwisho wake utakuwajeBahati tu sio kila mwenye cheo ana uwezo wengine ni bahati tu zimewaangukia basi
Hiyo pia ni haki yake ya kiraia, kisiasa, kikatiba na kibinadamu.Anautaka ubunge
Hujaelewa nini? Mimi ndiye sieleweki au wewe ndiye huelewi?Hizo passion na rapid fire logical rat-tat-tat-tat zako ndizo zinakuja kuharibu mtiririko mzuri WA hoja yako. Unakua haeleweki.
Nimekujibu hapo juu.
Alafu suala Siyo kubishana, siye wengine tunapenda kujifunza kwa mtiririko mzuri WA hoja mseto. Kama wewe nature yako Ni kubishana kila aspect ilimradi kulazimisha ushindi, hapo utanikosa.
Hutakiwi kushangaa nikianza kuhubiri Mungu.Alafu Ni kama vile uelewi mantiki yangu. Ku-shift kutoka point "A" of lifestyle kwenda Point "B" of lifestyle si kosa kikatiba (ilimradi hauvunji Sheria za nchi).
Lazima tushangae hizo changes zako kwa mtu ambaye tulizoea kukuona ukiwa na Aina flani hivi ya maisha. Upo hapo.
Leo hii lazima tutashangaa endapo Kiranga akaamua kuanza kuhubiri neno la Mungu kwa nguvu zote, Kiranga akaamua kuanza kumtetea Mungu kwa nguvu zote, hapo lazima tuanze kushangaa, japokuwa kazi yako hautakuwa umevunja katiba ya nchi. Simply, Kiranga tunayemfahamu hatujazoea kumuona akimtetea Mungu, kwa nini sasa hivi kaamua kuanza Kumtetea Mungu? Lazima tutashangaa.
We jamaa vipi! Hakuna anayempangia maisha. Elewa hilo. 🤭🤭🤗🤗Mbona kama mnataka kumpangia maisha na kujifanya mnamjua kuliko anavyojijua yeye mwenyewe?
Ukisema mtu asi support chama anachotaka yeye ku support, ukimnyanyapaa kwa kuwa ka support chama anachotaka yeye, tofauti na unachotaka wewe, hapo tayari ushampangia maisha.We jamaa vipi! Hakuna anayempangia maisha. Elewa hilo. 🤭🤭🤗🤗
a kukuHutakiwi kushangaa nikianza kuhubiri Mungu.
Unatakiwa kuniuliza sababu za kuhubiri Mungu na kuzipima sababu hizo kimantiki.
Inawezekana nikawa na sababu nzuri tu za kimantiki.
Tatizo mnashangaa shangaa kirahisi sana.Lazima tutashangaa kwanza, ndipo tutakuja kukuuliza.
Au we unatakaje? Tuanze kuuliza kwanza ndipo tuanze kukushangaa? Au tuanze kushangaa kwanza ndipo tuje tukuulize?
Binafsi nitashangaa kwanza kwa AY kugeukia kuwa chawa ndipo nitakwenda kumuuliza.
a kuku
Sawa mjanja WA Mjini. Ngoja niendelee na kilimo changu cha nyanyachungu huku shambani kwangu kijijini "Ikungulyabashashi".Tatizo mnashangaa shangaa kirahisi sana.
Hizo ni tabia za watu washamba washamba ambao hawana sophistication katika maisha.
Wengi wenu mna ji contradict.Sawa mjanja WA Mjini. Ngoja niendelee na kilimo changu cha nyanyachungu huku shambani kwangu kijijini "Ikungulyabashashi".
Kizazi hiki kinataka uhuru lakini hakiaminiHuyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Kizazi hiki kinapenda uhuru lakini hakiamini uhuru,iko siku mtahoji kwa nini fulani ni dhehebu fulani.Siasa ni chaguo la mtu kwa kuwa ni sehemu ya furaha yake.Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Ningewaona wanaomkosoa AY wana hoja kama wangeweza kuonesha AY kakosea nini specifically.Kizazi hiki kinataka uhuru lakini hakiamini
Kizazi hiki kinapenda uhuru lakini hakiamini uhuru,iko siku mtahoji kwa nini fulani ni dhehebu fulani.Siasa ni chaguo la mtu kwa kuwa ni sehemu ya furaha yake.
Hapo ndio watu wanapomshangaa kuwa anaona chama kina matatizo (sio kwa wanachama) ila bado anakishabikia kwa mapenzi makubwa kabisa.Na CCM, licha ya matatizo yake yote, kinarekebishika na ndiyo chama sahihi.
By the way hayo si maneno aliyoyasema yeye.Hapo ndio watu wanapomshangaa kuwa anaona chama kina matatizo (sio kwa wanachama) ila bado anakishabikia kwa mapenzi makubwa kabisa.
Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!