Alafu Ni kama vile uelewi mantiki yangu. Ku-shift kutoka point "A" of lifestyle kwenda Point "B" of lifestyle si kosa kikatiba (ilimradi hauvunji Sheria za nchi).
Lazima tushangae hizo changes zako kwa mtu ambaye tulizoea kukuona ukiwa na Aina flani hivi ya maisha. Upo hapo.
Leo hii lazima tutashangaa endapo
Kiranga akaamua kuanza kuhubiri neno la
Mungu kwa nguvu zote,
Kiranga akaamua kuanza kumtetea
Mungu kwa nguvu zote, hapo lazima tuanze kushangaa, japokuwa kazi yako hautakuwa umevunja katiba ya nchi. Simply,
Kiranga tunayemfahamu hatujazoea kumuona akimtetea
Mungu, kwa nini sasa hivi kaamua kuanza Kumtetea Mungu? Lazima tutashangaa.