Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Tulia basi uandike vizuri, mbona kama umepaniki.
Hapana, sijapaniki. Hapo ndiyo nimetulia.

Ni wewe tu hujazoea kujibizana na watu wenye passion na rapid fire logical rat-tat-tat-tat.

Hujajibu hata hoja moja.
 
Kwa nini unafikiri mimi ndiye AY? Kwani mtu asiye AY hawezi kutetea hoja tu bila ya kuwa AY?

Mimi si AY. Mimi siipendi CCM, si mfuasi wa Samia. Lakini natetea uhuru wa AY kuchagua chama anachokitaka.

Simtetei AY. Natetea watu wote kutumia uhuru wao wa kisiasa, kikatiba, kiraia na kibinadamu wanavyotaka.

Uchawa ni haki ya kikatiba, hata wewe unarugusiwa juwa chawa wa ntu wako unayemtaka, tatizo liko wapi?

Mnampangia maisha mtu baki. Hamumuachii uhuri aishi anavyotaka yeye, mnataka kumpangia aishi mnavyitaka nyie.

Tena katika jambo ambalo ni la haki yake ya kikatiba.

Kwa nini?
Alafu Ni kama vile uelewi mantiki yangu. Ku-shift kutoka point "A" of lifestyle kwenda Point "B" of lifestyle si kosa kikatiba (ilimradi hauvunji Sheria za nchi).
Lazima tushangae hizo changes zako kwa mtu ambaye tulizoea kukuona ukiwa na Aina flani hivi ya maisha. Upo hapo.

Leo hii lazima tutashangaa endapo Kiranga akaamua kuanza kuhubiri neno la Mungu kwa nguvu zote, Kiranga akaamua kuanza kumtetea Mungu kwa nguvu zote, hapo lazima tuanze kushangaa, japokuwa kazi yako hautakuwa umevunja katiba ya nchi. Simply, Kiranga tunayemfahamu hatujazoea kumuona akimtetea Mungu, kwa nini sasa hivi kaamua kuanza Kumtetea Mungu? Lazima tutashangaa.
 
AY hana haki ya kubadili maisha yake kutoka kuwa mtu ambaye hashiriki kwenye siasa kuwa mtu anayeshiriki kwenye siasa ku support chama anachokitaka?

Mbona kama mnataka kumpangia maisha na kujifanya mnamjua kuliko anavyojijua yeye mwenyewe?
 
.

Ni wewe tu hujazoea kujibizana na watu wenye passion na rapid fire logical rat-tat-tat-tat.
Hizo passion na rapid fire logical rat-tat-tat-tat zako ndizo zinakuja kuharibu mtiririko mzuri WA hoja yako. Unakua haeleweki.
Hujajibu hata hoja moja.
Nimekujibu hapo juu.

Alafu suala Siyo kubishana, siye wengine tunapenda kujifunza kwa mtiririko mzuri WA hoja mseto. Kama wewe nature yako Ni kubishana kila aspect ilimradi kulazimisha ushindi, hapo utanikosa.
 
Hujaelewa nini? Mimi ndiye sieleweki au wewe ndiye huelewi?
 
Alafu Ni kama vile uelewi mantiki yangu. Ku-shift kutoka point "A" of lifestyle kwenda Point "B" of lifestyle si kosa kikatiba (ilimradi hauvunji Sheria za nchi).
Lazima tushangae hizo changes zako kwa mtu ambaye tulizoea kukuona ukiwa na Aina flani hivi ya maisha. Upo hapo.

Leo hii lazima tutashangaa endapo Kiranga akaamua kuanza kuhubiri neno la Mungu kwa nguvu zote, Kiranga akaamua kuanza kumtetea Mungu kwa nguvu zote, hapo lazima tuanze kushangaa, japokuwa kazi yako hautakuwa umevunja katiba ya nchi. Simply, Kiranga tunayemfahamu hatujazoea kumuona akimtetea Mungu, kwa nini sasa hivi kaamua kuanza Kumtetea Mungu? Lazima tutashangaa.
Hutakiwi kushangaa nikianza kuhubiri Mungu.

Unatakiwa kuniuliza sababu za kuhubiri Mungu na kuzipima sababu hizo kimantiki.

Inawezekana nikawa na sababu nzuri tu za kimantiki.
 
We jamaa vipi! Hakuna anayempangia maisha. Elewa hilo. 🤭🤭🤗🤗
Ukisema mtu asi support chama anachotaka yeye ku support, ukimnyanyapaa kwa kuwa ka support chama anachotaka yeye, tofauti na unachotaka wewe, hapo tayari ushampangia maisha.

Unampangia asi support CCM.
 
Lazima tutashangaa kwanza, ndipo tutakuja kukuuliza.
Au we unatakaje? Tuanze kuuliza kwanza ndipo tuanze kukushangaa? Au tuanze kushangaa kwanza ndipo tuje tukuulize?

Binafsi nitashangaa kwanza kwa AY kugeukia kuwa chawa ndipo nitakwenda kumuuliza.
Hutakiwi kushangaa nikianza kuhubiri Mungu.

Unatakiwa kuniuliza sababu za kuhubiri Mungu na kuzipima sababu hizo kimantiki.

Inawezekana nikawa na sababu nzuri tu za kimantiki.
a kuku
 
Lazima tutashangaa kwanza, ndipo tutakuja kukuuliza.
Au we unatakaje? Tuanze kuuliza kwanza ndipo tuanze kukushangaa? Au tuanze kushangaa kwanza ndipo tuje tukuulize?

Binafsi nitashangaa kwanza kwa AY kugeukia kuwa chawa ndipo nitakwenda kumuuliza.

a kuku
Tatizo mnashangaa shangaa kirahisi sana.

Hizo ni tabia za watu washamba washamba ambao hawana sophistication katika maisha.

Mtu anayeelewa uhuru wa mtu kujiamulia mambo yake, uhuru wa kuchagua falsafa na siasa za maisha ya mtu na demokrasia hawezi kushangaa AY akifagilia CCM.

Tatizo lenu hamuelewi mambo ya msingi.

Ironically hapa kuna watu wanaojiona wanaharakati wa demokrasia wanamshangaa AY kwa kutumia haki zake za kidemokrasia.

What a contradiction.
 
Tatizo mnashangaa shangaa kirahisi sana.

Hizo ni tabia za watu washamba washamba ambao hawana sophistication katika maisha.
Sawa mjanja WA Mjini. Ngoja niendelee na kilimo changu cha nyanyachungu huku shambani kwangu kijijini "Ikungulyabashashi".
 
Wengi wenu mna ji contradict.

Mnapigania demokrasia, halafu mtu akitumia haki zake za kidemokrasia ku support CCM mnamshambulia. Tena bora hata kama shambulio lingekuwa nuanced linalenga kuonesha maovu fulani specific ambayo yako far and above simple affiliation with CCM.

Mnamshambulia mtu kwa kutumia haki yake ya kikatiba kuchagua chama anachotaka ku support.

You are being simpletons and country bumpkins who are failing to see that without the right to self determination and right to political affiliation even your very own political affiliation is threatened.

Haki yako wewe ya kuchagua chama unachotaka ndiyo hiyo hiyo haki ya AY ya kuchagua chama anachokitaka.

Ukianza kuiminya haki ya AY kuchagua chama anachokitaka, unafungua mlango hata haki yako wewe nayo iminywe.
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Kizazi hiki kinataka uhuru lakini hakiamini

Kizazi hiki kinapenda uhuru lakini hakiamini uhuru,iko siku mtahoji kwa nini fulani ni dhehebu fulani.Siasa ni chaguo la mtu kwa kuwa ni sehemu ya furaha yake.
 
Ningewaona wanaomkosoa AY wana hoja kama wangeweza kuonesha AY kakosea nini specifically.

Kwa sababu ku support CCM/ Samia tu si kosa, ni haki ya kisiasa, kiraia, kikatiba na kibinadamu.

Na wanaharakati wa demokrasia wanaopiga kelele za "katiba mpya" kila siku wanatakiwa kuelewa jambo hili.
 
Na CCM, licha ya matatizo yake yote, kinarekebishika na ndiyo chama sahihi.
Hapo ndio watu wanapomshangaa kuwa anaona chama kina matatizo (sio kwa wanachama) ila bado anakishabikia kwa mapenzi makubwa kabisa.
 
By the way hayo si maneno aliyoyasema yeye.

Na point si chama kuwa na matatizo, point ni matatizo kuweza kurekebishika.

Hii ni point abstract, forward looking, dependent on many factors, and dependent on future factors.

The natter is argumentative, controversial, contentiius and even personal.

It is a philosophical point, that is to say, you can look at the same glass and say it is half empty while another can say it is half full.

Kimsingi hili ni suala la uamuzi wa mtu binafsi, ana uhuru wa kuamua ashabikie chama gani, na kumnyanyapaa mtu kwa kutumia uhuru huo tu, ni ujinga.

Unaweza kumsema kihalali AY kwa mambo mabaya specific anayoweza juwa kayafanya. Lakini itabidi uyataje hayo mambo soecific.

Ku support CCM tu ni haki yake ya kisiasa, kiraia, kikatiba na kibinadamu. Kumsema kwa hilo ni sawa na kumsema mtu kwa sababu kaamua kuwa na dini tofauti na yako.
 
Back
Top Bottom