Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Kwa kweli inasikitisha kuona watu wanawaingilia wenzao katika haki zao za kikatiba na kibinadamu.

Kwani msanii hatakiwi kushabikia CCM?

Mimi si mpenzi, mwanachama wala mshabiki wa CCM.

Lakini, kifalsafa, kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachokitaka.

Tuwapinge watu kwa hoja, sio kwa sababu wameamua kushabikia chama fulani.

Kushabikia chama chochote anachoamua mtu, au mwanasiasa yeyote, ni haki ya uraia, ni haki ya kikatiba, ni haki ya kibinadamu.

Kwa nini watu wanaodai demokrasia wao wenyewe wanashindwa kuheshimu uamuzi wa watu wengine kushabikia vyama fulani au wanasiasa fulani, kitu ambacho ni sehemu ya demokrasia?
Hapo issue sio ushabiki mwenzetu yupo hapo kimaslahi zaidi ...hana mapenzi na ccm kiasi hicho mpaka kujitoa akili
 
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Mkuu unachuma dhambi kijinga mno. Ulimpima Dotto ukajua ni kichaa? Halafu kuna sheria ya jamhuri au ya Mungu imevunjwa na AY kushabikia CCM? Haki mnazopigania ndo mnatakiwa mziheshimu na sio kuwanyooshea vidole wengine walioamua kuwa tofauti na nyie.
 
Hapo issue sio ushabiki mwenzetu yupo hapo kimaslahi zaidi ...hana mapenzi na ccm kiasi hicho mpaka kujitoa akili
Kwanza suala la maslahi linahitaji ushahidi. Hata kama ni kweli, ushahidi unahitajika ili tujue ni kweli.

Unajuaje kikichopo kwenye kichwa cha AY kuweza kusema hana mapenzi na CCM hivyo?

Pili, mwanachama au mshabiki wa chama kushabikia kwa maslahi si ajabu. Kila mtu ana haki ya kuwa mwanachama au mshabiki wa chama kwa kuangalia maslahi yake.

Hata unapopigia kura chama unatakiwa kuangalia chama gani kitaboresha maisha yako. Hayo ni maslahi pia.

Tatizo liko wapi?

Mpaka sasa hujanionesha tatizo la AY kuishabikia CCM au kumshabikia Samia liko wapi.

Naelewa kunaweza kuwa na tofauti za kisiasa, lakini hilo halifanyi AY kuwa kakosea. Kwa sababu, kifalsafa, AY kushabikia CCM au kumshabikia Samia ni haki yake ya kiraia, ya kikatiba, ya kibinadamu.

Kosa la AY kushabikia CCM au kumshabikia Samia (ukiondoa mambo ya tofauti za kisiasa, hizo hazina mashiko kwenye hoja yangu, kwa sababu zinakubakiwa
Jata mimi mwenyewe siikubali CCM, simkubali Samia )

Kosa la AY ni lipi hasa?
 
Kwanza suala la maslahi linahitaji ushahidi. Hata kama ni kweli, ushahidi inahitajika ili tujue ni kweli.

Pili, mwanachama au mshabiki wa chama kushabikia jwa maslahi si ajabu. Kila mtu ana haki ya kuwa mwanachama au mshabiki wa chama kwa kuangakia maslahi yake.

Hata unapopigia kura chama unatakiwa kuangalia chama gani kitaboresha maisha yako. Hayo ni maslahi pia.

Tatizo liko wapi?

Mpaka sasa hujanionesha tatizo oa AY kuishabikia CCM au kumshabikia Samia liko wapi.

Naelewa kunaweza kuwa na tofauti za kisiasa, lakini hilo halifanyi AY kuwa kakosea. Kwa sababu, kifalsafa, AY kushabikia CCM au kunshabikia Samia ni haki yake ya kiraia, ya kikatiba, ya kibinadamu.

Kosa la AY kushabikia CCM au kumshabikia Samia (ukiondoa mambo ya tofauti za kisiasa, hizo hazina mashiko kwenye hoja yangu, kwa sababu zinakubakiwa
Jata mimi mwenyewe siikubali CCM, simkubali Samia )

Kosa la AY ni lipi hasa?
Nitoke vipi sasa AY nani anamjua kwa kizazi hiki cha genz,asipouza sura atajulikanaje asife njaa
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Mkuu he has the family to feed and not the society to impress.

Usifanye masikhara na njaa ,kama inakupa hela pita nayo...yupo kazini hapo.
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Maisha magumu
 
Back
Top Bottom