Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Kwa mujibu wa katiba kila mtu ana haki ya kuchagua chama anachokitaka.....So AY hajavunja katiba kushabikia CCM na pia kumfagilia Mama Kizimkazi.
Naam,

Sio katiba tu, hata haki za binadamu zinampa uhuru huo.

Pia, AY hajawahi hata kuji identify kama activist wa upinzani, hivyo hata issue ya consistency au unafiki (ambayo hata nayo inaweza kujibiwa kirahisi kwamba watu wanabadiki mawazo) huwezi kumuangushia.
 
Kwa kweli inasikitisha kuona watu wanawaingilia wenzao katika haki zao za kikatiba na kibinadamu.

Kwani msanii hatakiwi kushabikia CCM?

Mimi si mpenzi, mwanachama wala mshabiki wa CCM.

Lakini, kifalsafa, kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachokitaka.

Tuwapinge watu kwa hoja, sio kwa sababu wameamua kushabikia chama fulani.

Kushabikia chama chochote anachoamua mtu, au mwanasiasa yeyote, ni haki ya uraia, ni haki ya kikatiba, ni haki ya kibinadamu.

Kwa nini watu wanaodai demokrasia wao wenyewe wanashindwa kuheshimu uamuzi wa watu wengine kushabikia vyama fulani au wanasiasa fulani, kitu ambacho ni sehemu ya demokrasia?
They got the right, no doubt, Mkuu. But peep this—these artists got a huge following of young people who look up to them. Now, if all these big-name artists with major influence start backing those CCM crooks, man, we got a long-ass road ahead in this country full of clueless folks who spend their whole day talking about Simba and Yanga.

For real, it’s like TZ only got four real artists who keep it a buck—Ney wa Mitego, Prof J, Roma, and Sugu.
 
Naam,

Sio katiba tu, hata haki za binadamu zinampa uhuru huo.

Pia, AY hajawahi hata kuji identify kama activist wa upinzani, hivyo hata issue ya consistency au unafiki (ambayo hata nayo inaweza kujibiwa kirahisi kwamba watu wanabadiki mawazo) huwezi kumuangushia.
Yeah ,AY yupo sawa ,kila mtu ana haki ya kuchagua akipendacho.
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Wacheni wasanii wapige pesa ndio muda wao huu.
 
They got the right, no doubt, Mkuu. But peep this—these artists got a huge following of young people who look up to them. Now, if all these big-name artists with major influence start backing those CCM crooks, man, we got a long-ass road ahead in this country full of clueless folks who spend their whole day talking about Simba and Yanga.

For real, it’s like TZ only got four real artists who keep it a buck—Ney wa Mitego, Prof J, Roma, and Sugu.
Artists have no obligation to see things your way. They are artists after all, they are supposed to be creative and not necessarily straightforward.

They can argue that - I am not making this argument, I am against CCM- but they can argue that the best hope for this country lies within CCM and as bad as it is, it can be reformed.

That is a political and philosophical view.

Are we censoring our artists from having their own political and philosophical views now?
 
Are we censoring our artists from having their own political and philosophical views now?
On the contrary, there is no coercion whatsoever. Artists retain the autonomy to endorse any political party of their preference, exercising their inherent freedom of expression without external constraint.
 
So what is this thread about?

To me, the thread is infringing on AY's rights and castigating him, for exercising his constitutional and human rights.

It's like people cannot debate issues, they are flinging ad hominem attacks on non issues.
 
Wakina Beyonce, Jay Z, Cardi B, Mariah Carey... Ngoja niishie hapa kutaja majina maana ukurasa hautoshi. Wao macelebu wengineo lukuki ni mashabiki wa Democratic Party kule kwao Marekani na wote hao wana pesa kuliko AY. Sema hapa Bongo mpaka ushabikie CHADEMA ndio wakione unajua siasa.
 
Back
Top Bottom