Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Itakuwa njaa imemuuma!...inasikitisha sana
 
Hiyo hesabu ya 2 kwa 300 unaona ipo sana mkuu
 
Kabisa, wasanii nao wana haki ya kushabikia wakipendacho.
 
Maisha ya Marekani yamemshinda, sanaa hailipi kivile, kamwona ndugu yake Mwana FA Kawa mbunge na pesa zipo nje nje Kawa tajiri kaamua Sasa na yeye awe chawa ili angalau ifikapo oktoba aweze kupata hata ka ubunge
 
Kwanini asimsapoti rafiki yake?nothing to argue!
 
Duuuuh jamani!!!! Pole zake kaka yetu..... Imekua kama flavy matata baada ya picha ya ndoa tu hakuwahi teeena kuonekana na mme jini mkata kamba hakulala.

Pole zao
Dah

Nampenda FLAVIANA aisee

I wish ningepata japo kiss ya shavu tu

She is thr best woman on earth
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…