Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Suala la msanii AY kutoka kuwa wa Kimataifa mpaka kugeuka “Chawa mwandamizi” linahitaji mjadala fikirishi

Kwanza kabisa hilo la kumnafikia mtu kwa sababu ya njaa ni vigumu kuliprove.

This is a contentious, argumentative and controversial claim.

Unaposema njaa una maana gani? Unaweza kuthibitisha AY ana njaa hivyo?

Pia, kumuita mtu mnafiki ni judgement call. Unafiki wa AY uko wapi? Kuna siku AY aliwahi kujitambulisha kuwa yeye ni msanii activist wa upinzani useme sasa kawageuka wapinzani kinafiki? AY mbona hata kwenye muziki amejitambulisha yeye ni "Mzee wa Commercial"?

Na hata kama kageuka, utajuaje kwamba kageuka kinafiki na si kwa kuona kweli kuwa matumaini ya maendeleo ya Tanzania yapo CCM?

Unaposema huyu chawa mnafiki, unahakikishaje huyu ni chawa mnafiki na si mtu tu ambaye kaona CCM, pengine pamoja na mapungufu yake yote, bado ndiyo chama sahihi kwake kuongoza nchi?

Mimi si mwanachama wala shabiki wa CCM au Samia, lakini naona kama mnaingilia uhuru wa watu kuamua wanataka ku support chama na mwanasiasa gani.

Hii ni haki yao ya msingi ya kiraia, kikatiba na kibinadamu. Na kwa kuwa ni haki ya msingi hivyo, hamna haki kuwaingilia watu katika haki hiyo.
Jitu unaliheshimu Toka zamani halafu unakuja kuona linatuma post ya kikuda kama hili li Kiranga
 
AY ni
Chawa dingi.
Chawa senior.
Chawa mwandamizi.
Chawa Mzee.
Chawa retiree.
 
Mtu umejenga brand Yako kubwa hivyo halafu unakuja kuidogosha kisa visenti. Yani namuona dully Sykes anaakili kuliko huyo mnyakyusa.
 
Uchawa ni tatizo kubwa tu.
Uchawa unatatiza mfumo wa jamii inayozingatia merits kufanikiwa.
Uchawa unachelewesha maendeleo ya jamii kwa ujumla.
Hapana, tatizo ni watu kukosa elimu.

Kama watu wana elimu uchawa wa kijinga hautawezekana, na chawa wataona aibu wenyewe kuchekesha.

Unaangalia dalili za ugonjwa badala ya ugonjwa wenyewe.

Watu wakiwa na elimu hata uchawa watafanya kisomi.

Tatizo si uchawa, tatizo ni ujinga.
 
Me pia nimeshangaa sana, kweli maisha yanabadilika
 
Hiyo hesabu ya 2 kwa 300 unaona ipo sana mkuu
Nimeshakueleza suala la haki za mtu binafsi halina hesabu, hata ingekuwa 1 kwa milioni 65. Huyo mmoja haki yake haiondoki kwa sababu anapingana na wengine milioni 65.

Ujue vilevile wewe usivyopenda kulazimishwa upande gani uchague kuupa support kisiasa na wenzako wana haki hiyo hiyo.

Ukielewa point hiyo utaona suala la wangapi wako upande gani ni logical fallacy tu, inaitwa argument from popularity.

Kitu muhimu ni kila mtu aachiwe uhuru wake wa kuamua ana support upande gani. Habari ya upande gani una watu wangapi si muhimu.

Na kama kuna tatizo lingine, nfano rushwa za kutumia pesa za umma vibaya, mlitaje hilo tatizo.

Lakini msimsakame msanii kwa sababu kaamua ku support CCM.

Msanii kuamua ku support CCM ni haki yake ya kiraia, kikatiba, kisiasa na kibinadamu.
 
Kabisa, wasanii nao wana haki ya kushabikia wakipendacho.
Kuna wimbi la watu kutaka kupinga mambo ya siasa, lakini kukosa point za kujieleza vizuri.

Kwa hiyo wanabakia kuwashambulia watu personally kwa ad hominem attacks. Wakati watu wanatumia haki zao za kisiasa, kiraia, kikatiba na kibinadamu tu.

Mpaka sasa sijaelewa kosa la AY ni lipi.

Granted, Samia is a crappy president, CCM is a shitty party, but hey, I can hold that view and allow other people to see things differently.

It's not like everybody has to think like me.
 
Chawa ni wewe unaefuatilia maisha yake badala ya kufanya yako,kenge wewe kwani chawa unawalisha wewe??amekuomba msaada?
 
Another long neck rope type carrying empty skull.
Another ad hominem logical fallacy.

I am placing you in my ignore list, from here onwards I will no longer see what you write.
 
Kwanza kabisa hilo la kumnafikia mtu kwa sababu ya njaa ni vigumu kuliprove.

This is a contentious, argumentative and controversial claim.

Unaposema njaa una maana gani? Unaweza kuthibitisha AY ana njaa hivyo?

Pia, kumuita mtu mnafiki ni judgement call. Unafiki wa AY uko wapi? Kuna siku AY aliwahi kujitambulisha kuwa yeye ni msanii activist wa upinzani useme sasa kawageuka wapinzani kinafiki? AY mbona hata kwenye muziki amejitambulisha yeye ni "Mzee wa Commercial"?

Na hata kama kageuka, utajuaje kwamba kageuka kinafiki na si kwa kuona kweli kuwa matumaini ya maendeleo ya Tanzania yapo CCM?

Unaposema huyu chawa mnafiki, unahakikishaje huyu ni chawa mnafiki na si mtu tu ambaye kaona CCM, pengine pamoja na mapungufu yake yote, bado ndiyo chama sahihi kwake kuongoza nchi?

Mimi si mwanachama wala shabiki wa CCM au Samia, lakini naona kama mnaingilia uhuru wa watu kuamua wanataka ku support chama na mwanasiasa gani.

Hii ni haki yao ya msingi ya kiraia, kikatiba na kibinadamu. Na kwa kuwa ni haki ya msingi hivyo, hamna haki kuwaingilia watu katika haki hiyo.
Wewe ndiye AY? Unamtetea Sana.
Kwa uelewa Wangu! AY kuingia ktk siasa Siyo Tatizo, Tatizo Ni Aina ya mtu (AY) kugeukia tasnia ya uchawa kitu ambacho hakitarajiwi na mtu yoyote Yule. Japokuwa hatumpangii maisha lakini Aina ya harakati zake za kuelekea kuwa chawa "mwandamizi" ndipo panashangaza kwa mtu kama AY ambaye, hapo kabla, hajawahi kuonekana ktk majukwaa ya siasa.

NB: personalities Ni determinants Nzuri kwa mtu kafanya kazi za Aina flani. Kwa siasa sishangai kila mtu kujipachika huko, kwa kuwa siasa Ni kama kokolo, linasomba kila personality ilimradi kupata mkate WA kila siku.
 
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.

Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!

Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.

Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.

Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Asiyethamini kwao ni mtumwa
 
Ona taahira huyu anaandika eti "KIFALSAFA"
Acha kuwa zuzu. Unaandika risala ndefu yote upumbavu mtupu
 
Kwa kweli inasikitisha kuona watu wanawaingilia wenzao katika haki zao za kikatiba na kibinadamu.

Kwani msanii hatakiwi kushabikia CCM?

Mimi si mpenzi, mwanachama wala mshabiki wa CCM.

Lakini, kifalsafa, kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachokitaka.

Tuwapinge watu kwa hoja, sio kwa sababu wameamua kushabikia chama fulani.

Kushabikia chama chochote anachoamua mtu, au mwanasiasa yeyote, ni haki ya uraia, ni haki ya kikatiba, ni haki ya kibinadamu.

Kwa nini watu wanaodai demokrasia wao wenyewe wanashindwa kuheshimu uamuzi wa watu wengine kushabikia vyama fulani au wanasiasa fulani, kitu ambacho ni sehemu ya demokrasia?
Una UBONGO finyu sana.
 
Wewe ndiye AY? Unamtetea Sana.
Kwa uelewa Wangu! AY kuingia ktk siasa Siyo Tatizo, Tatizo Ni Aina ya mtu (AY) kugeukia tasnia ya uchawa kitu ambacho hakitarajiwi na mtu yoyote Yule. Japokuwa hatumpangii maisha lakini Aina ya harakati zake za kuelekea kuwa chawa "mwandamizi" ndipo panashangaza kwa mtu kama AY ambaye, hapo kabla, hajawahi kuonekana ktk majukwaa ya siasa.

NB: personalities Ni determinants Nzuri kwa mtu kafanya kazi za Aina flani. Kwa siasa sishangai kila mtu kujipachika huko, kwa kuwa siasa Ni kama kokolo, linasomba kila personality ilimradi kupata mkate WA kila siku.

Kwa nini unafikiri mimi ndiye AY? Kwani mtu asiye AY hawezi kutetea hoja tu bila ya kuwa AY?

Mimi si AY. Mimi siipendi CCM, si mfuasi wa Samia. Lakini natetea uhuru wa AY kuchagua chama anachokitaka.

Simtetei AY. Natetea watu wote kutumia uhuru wao wa kisiasa, kikatiba, kiraia na kibinadamu wanavyotaka.

Uchawa ni haki ya kikatiba, hata wewe unarugusiwa juwa chawa wa ntu wako unayemtaka, tatizo liko wapi?

Mnampangia maisha mtu baki. Hamumuachii uhuri aishi anavyotaka yeye, mnataka kumpangia aishi mnavyitaka nyie.

Tena katika jambo ambalo ni la haki yake ya kikatiba.

Kwa nini?
 
Tulia basi uandike vizuri, mbona kama umepaniki.
 
Back
Top Bottom