Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?


apo sawa mkuu..
 
Are you serious??Jamani umekosa cha kuandika ili upewe 7000/-Kuna mwanaCCM mwenzako kila cooment ameandika kuwa hakuna sheria ya hivyo.Mimi ni mwanasheria nina elewa kuna sheria inayokataza kuingia na docoment yoyote kizimbani.
 
Halafu na wewe unajiita MSOMI WA CCM.Iko hivi Mahakama na Jaji wameamua kuwa beba kama dairy na simu vingekagugliwa muda ule ule ,huu utumbo ulioandika ilikufurahisha mabwana zako pale Lumumba usingefanya hivyo.Kwasasa waweza sema hivyo kwa kuwa yakufanyika yameshafanyika.Lakini nikukumbushe kuwa MUNGU ameamua kuanza kuwauumbua hata kama mtashinda hili pingamizi lakini yajayo ni mengi naya kufurahisha.
 
ACHA UPUMBAVU SHAHIDI HAJAHOJIWA BADO NA KIBATALA.ACHA MIHEMUKO YA KISIASA
 
STUPID ,HAJAHOJIWA NA MAWAKILI WA UTETEZI ILIKUWA WAKATI WA PINGAMIZI TU
 
Naona sasa kila mtu ni Judge humu ndani.....
 
Simu na diary binafsi zinahusikaje hapa?
Official documents kama vile maelezo yaliyoandikwa wakati na baada ya kukamatwa sawa.
Hiyo siyo kesi ya madai.
 
Simu na diary binafsi zinahusikaje hapa?
Official documents kama vile maelezo yaliyoandikwa wakati na baada ya kukamatwa sawa.
Hiyo siyo kesi ya madai.
wewe ndio hujui hata unachoongea.
 
STUPID ,HAJAHOJIWA NA MAWAKILI WA UTETEZI ILIKUWA WAKATI WA PINGAMIZI TU
kama wakati wa pingamizi, diary ingeathiri nini? unajua unachoongea? au unapanua tu miguu hapo.
 
hebu tuambie kilichojiri huko mzee wa diary, ehee, wamefikia wapi? mbururaaaa
 
Kesi za kutunga huwa zinalaana mkuu lazima uwe na kitete
 
๐‡๐ข
๐‡๐ข๐ฏ๐ข ๐ค๐ฐ๐š ๐ง๐ข๐ง๐ข ๐š๐ค๐ข๐ง๐š ๐Š๐ข๐›๐š๐ญ๐š๐ฅ๐š ๐ฐ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐ฎ๐›๐š๐ฅ๐ข ๐ฌ๐ข๐ฆ๐ฎ ๐ข๐จ๐ง๐๐จ๐ฅ๐ž๐ฐ๐ž ๐ข๐›๐š๐ค๐ข ๐๐ข๐š๐ซ๐ฒ ๐ฉ๐ž๐ค๐ž ๐ฒ๐š๐ค๐ž?
 
Are you serious??Jamani umekosa cha kuandika ili upewe 7000/-Kuna mwanaCCM mwenzako kila cooment ameandika kuwa hakuna sheria ya hivyo.Mimi ni mwanasheria nina elewa kuna sheria inayokataza kuingia na docoment yoyote kizimbani.
Wewe unaweza kuwa Mwanasheria wa kutengeneza Mikataba ila Mahakamani hujawahi kufika. Wapo wanasheria wengi tu hawana experience na mahakama kabisa kwahiyo siyo ajabu mkuu. Subiri ruling kesho.
 
Wakina Kibatala ni wababaishaji tu hata leo wameshindwa kuonyesha sheria ipi inamkataza shahidi kuingia na diary kizimbani wamebaki kuhangaika na kuomba kuikagua diary ya shahidi lakini last week walikuwa wanasema ni kosa kuingia na diary na simu kizimbani Jaji akawauliza kuna sheria yoyote inayomkataza shahidi kuingia na diary? Nilitegemea leo waje na sheria inayokataza shahidi kuingia na diary au simu kizimbani. Hawa jamaa ni wababaishaji tu ndiyo maana hata leo tena pingamizi lao limetupwa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ