Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

Suala la Notebook na Simu mahakamani: Kuna uwezekano Mawakili wa Serikali waliamua kuharibu ushahidi kwa makusudi?

Mkuu hakuna sheria inayokataza shahidi kuingia na diary wala simu tena kuna wakati shahidi anaweza kuiomba mahakama kujikumbusha vitu mbalimbali kama vile namba au akaunti. Subiri kesho utaona uamuzi utakavyokuwa. Kinachokatazwa ni kutoa ushahidi ukisoma moja kwa moja toka kwenye kumbukumbu yoyote bila idhini ya Mahakama.

apo sawa mkuu..
 
Are you serious??Jamani umekosa cha kuandika ili upewe 7000/-Kuna mwanaCCM mwenzako kila cooment ameandika kuwa hakuna sheria ya hivyo.Mimi ni mwanasheria nina elewa kuna sheria inayokataza kuingia na docoment yoyote kizimbani.
 
jambo ambalo halijathibitishwa ni kwamba, hata kama alikuwa navyo mkononi au mfukoni, hizo ni mali zake ametoka nazo nyumbani kwake, hakuna uthibitisho kwamba wakati akitoa ushahidi alikuwa anasoma, na kusoma haikataliwi kama ataiomba mahakama ili arefresh, huwa inaruhusiwa, sema hakuomba kurefresh na hakusoma. kwahiyo kuishika tu wakati huwa kunakuwa na nafasi ya kuomba kurefresh kama atakubaliwa, sio kosa. sasa ninyi wanasheria wa dcm msio jua kitu mnaona kama ndio mmeshashinda kesi, na mawakili wenu hawawaelekezi vizuri wanaendesha kesi kisiasa. kushika tu diary kuna kosa gani? pale ni open court, kuna watazamaji kibao, makarani, wafuasi wa chadema, waandishi wa habari, point of focus muda wote ipo kwa shahidi watu wote macho kodoo kw a shahidi kwasababu ndiye anayeulizwa maswali na kuyajibu, pia mawakili wa utetezi wapo wanamwangalia muda wote ili wapate wapi pa kumwuliza, hawajamwona anasoma diary wala kusoma msg za simu....uutasema kuna kosa gani limetendeka hapo?

halafu, shahidi yeyote, awe wa jamhuri au shahidi wa mshitakiwa, kabla hajaingia pale kizimbani huwa kuna nafasi ya kwenda kuendaliwa. hata mashahidi wa mbowe kabal hawajaingia kizimbani watachukuliwa na kina kibatala kwenda kwenye chumba cha siri wakamwandae pre-trial, kwa hiyo kwa akili zenu mnafikiri kwa ushaidi wa askari polisi kutakuwa na kitu kama walikuwa na nia ya kumfundisha watakuwa hawakumfundisha hadi aingie kizimbani? mbona mna akili finyu sana ninyi?
Halafu na wewe unajiita MSOMI WA CCM.Iko hivi Mahakama na Jaji wameamua kuwa beba kama dairy na simu vingekagugliwa muda ule ule ,huu utumbo ulioandika ilikufurahisha mabwana zako pale Lumumba usingefanya hivyo.Kwasasa waweza sema hivyo kwa kuwa yakufanyika yameshafanyika.Lakini nikukumbushe kuwa MUNGU ameamua kuanza kuwauumbua hata kama mtashinda hili pingamizi lakini yajayo ni mengi naya kufurahisha.
 
yaani yeye anayemhoji ambaye ndio lazima amuangalie shahidi usoni hajamuona, halafu aliyeko nyuma kule ndo amuone, na msg hiyo kibatala aliisoma saa ngapi wakati alikua anahoji shahidi? wakili wa utetezi anayemhoji asimwone alafu prof j asiye mhoji ndio amwone? hamuoni uongo wa mchana? na huyo prof j ana ushahidi huo kama akiambiwa autoe pale mahakamani, hata amuone yeye tu wengine wote wasimwona hata wale wanaoichukia sana serikali pale ndani?
ACHA UPUMBAVU SHAHIDI HAJAHOJIWA BADO NA KIBATALA.ACHA MIHEMUKO YA KISIASA
 
HAKUTUMIA, hata mawakili wa utetezi waliokuwa wanamhoji hawakumwona, hakuna uthibitisho kuwa alitumia hata jaji aliuliza hilo na jaji mwenyewe hakumwona akitumia. kwahiyo sio tatizo. kama wewe ni mwanasheria usiargue kama sio learned brother. soma sheria uwe tofauti nao.
STUPID ,HAJAHOJIWA NA MAWAKILI WA UTETEZI ILIKUWA WAKATI WA PINGAMIZI TU
 
Naona sasa kila mtu ni Judge humu ndani.....
 
section 168 na 169 vya TEA.

168 na 169 hapo c hini, ya Tanzania Evidence Act, kama una akili utaelewa.

168.-(1) A witness may, while under examination, refresh
his memory by referring to any writing made by himself at the
time of the transaction concerning which he is questioned or so
soon afterwards that the court considers it likely that the
transaction was at that time fresh in his memory.

169. Whenever a witness may refresh his memory by
reference to any writing he may, if the court is satisfied that there
is sufficient reason for the non-production of the original and
with the permission of the court, refer to a copy of such writing.
Simu na diary binafsi zinahusikaje hapa?
Official documents kama vile maelezo yaliyoandikwa wakati na baada ya kukamatwa sawa.
Hiyo siyo kesi ya madai.
 
Halafu na wewe unajiita MSOMI WA CCM.Iko hivi Mahakama na Jaji wameamua kuwa beba kama dairy na simu vingekagugliwa muda ule ule ,huu utumbo ulioandika ilikufurahisha mabwana zako pale Lumumba usingefanya hivyo.Kwasasa waweza sema hivyo kwa kuwa yakufanyika yameshafanyika.Lakini nikukumbushe kuwa MUNGU ameamua kuanza kuwauumbua hata kama mtashinda hili pingamizi lakini yajayo ni mengi naya kufurahisha.
hebu tuambie kilichojiri huko mzee wa diary, ehee, wamefikia wapi? mbururaaaa
 
Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu.

1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua kabisa kwa Sasa kila mtu lazima anasimu ya mikononi. Kwanini wasingemuuliza alipoiacha simu au kumuomba simu kabla hajapanda Kizimbani.

2. Je, waliamini kbs shahidi hakuja mahakamani na simu.

3. Simu NI kitu kinachoonekana kirahisi mfukoni. Kwa shaidi uliyekuwa nae huwezi kuona kuwa anaingia na simu kwa kuona upana wa mifuko. Yani upana wa mifuko.

Je, waliacha haya yatokee makusudi ili kesi iharibike.
Kesi za kutunga huwa zinalaana mkuu lazima uwe na kitete
 
𝐇𝐢

𝐇𝐢𝐯𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐚𝐤𝐢𝐧𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐚𝐭𝐚𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐢𝐨𝐧𝐝𝐨𝐥𝐞𝐰𝐞 𝐢𝐛𝐚𝐤𝐢 𝐝𝐢𝐚𝐫𝐲 𝐩𝐞𝐤𝐞 𝐲𝐚𝐤𝐞?
 
Are you serious??Jamani umekosa cha kuandika ili upewe 7000/-Kuna mwanaCCM mwenzako kila cooment ameandika kuwa hakuna sheria ya hivyo.Mimi ni mwanasheria nina elewa kuna sheria inayokataza kuingia na docoment yoyote kizimbani.
Wewe unaweza kuwa Mwanasheria wa kutengeneza Mikataba ila Mahakamani hujawahi kufika. Wapo wanasheria wengi tu hawana experience na mahakama kabisa kwahiyo siyo ajabu mkuu. Subiri ruling kesho.
 
𝐇𝐢

𝐇𝐢𝐯𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐧𝐢𝐧𝐢 𝐚𝐤𝐢𝐧𝐚 𝐊𝐢𝐛𝐚𝐭𝐚𝐥𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐤𝐮𝐛𝐚𝐥𝐢 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐢𝐨𝐧𝐝𝐨𝐥𝐞𝐰𝐞 𝐢𝐛𝐚𝐤𝐢 𝐝𝐢𝐚𝐫𝐲 𝐩𝐞𝐤𝐞 𝐲𝐚𝐤𝐞?
Wakina Kibatala ni wababaishaji tu hata leo wameshindwa kuonyesha sheria ipi inamkataza shahidi kuingia na diary kizimbani wamebaki kuhangaika na kuomba kuikagua diary ya shahidi lakini last week walikuwa wanasema ni kosa kuingia na diary na simu kizimbani Jaji akawauliza kuna sheria yoyote inayomkataza shahidi kuingia na diary? Nilitegemea leo waje na sheria inayokataza shahidi kuingia na diary au simu kizimbani. Hawa jamaa ni wababaishaji tu ndiyo maana hata leo tena pingamizi lao limetupwa!!
 
Back
Top Bottom