Suala la Polepole linadhihirisha hata Rais afanye nini ni vigumu kuwavutia team Magufuli

Yalishasemwa wakimalizana na upinzani wataanza kulana wenyewe , sasa huwezi amini huyu jamaa ndio alikuwa anawafokea hadi mawaziri enzi za mwendazake yaani leo Kenani naye anamfokea , hahaaaa muosha kuoshwa ni jambo la kawaida sana , alijitamba sana na Ma V 8 sasa anapigwa spana
 
Na si lazia kuwavutia
 
Nadhani na wewe uliyeleta maada ya kumtuhumu Polepole unachuki nae binafsi! Mbona Polepole kaongea mambo mazuri ya msingi, waulize watu aliowahutubia kama kila alichosema sio point

Safi kabisa Polepole una ufahamu mkubwa sana
Kama kasema tofauti na Raisi wake NI wazi amekusudia kuwaambia watu Raisi wao muongo
 
Mwacheni mama kajiokotea dodo chini ya mnazi. Ulaisi wa kulisi hauna plesha
 
kaka mtu, Josephine mushumbusi alipoteleaga wapi.
 
Polepole katumia Haki yake Kikatiba Ibara ya 18. Kwa nini unataka naye awe likondoo kama wewe? Duniani huwezi pendwa na watu wote sababu hata Magufuli alipingwa na watu wa awamu ya 4. Ni kawaida. Tu concentrate kwenye yanayofaa na ya msingi

 
Yeye ni kiongozi akibaki na msimamo wake ndani na mke wake na watoto wake kuna shida kuliko kujitokeza kifua mbele kwenye jamiii hebu aheshimu utawala huu kama alivyokuwa anasheshimu uliopita.
NO Hoja zote acha zisemwe hadharani..kuchanja vs kutochanja.

Watu waamue kwa yao hiari.

Kwani uhuru wa maoni si ndio huuu.au umeshawakinai tena.
 
We mama kama ulikuwa unamchukia magufuli sio wote .ila juwa kuwa mko wachache sana ,ona aibu basi marehemu unamuonea wivu!!!!!
 
Jiwe alikuwa Boya, Huyu mpemba ndio Nazi mbovu kuliko koroma, Polepole ana yakumbuka Ma V8 tu hana jipya ni mpinzani wa serikali ya kipuuzi kwa kutetea upuuzi uliopita
Tumpe pole. Huyo ni yatima. Kila mara anamuwaza na kumuota baba. Kamuacha kwenye baridi.
 
Ndenda wewe Bungeni ukapiganie maswala ya kitaifa
 
ulicholeta hapa niajungu .hatujaona wapi polepole kaongea na kaongea Nini! Acha majungu lete hoja!
 
Hizi zitakuwa dharau, mbona hakuthubutu kukinzana mawazo na mwenyekiti aliyepita?
Hadi kudundika na kupiga magoti alikuwa anamfuatilizia mwenyekiti.
Kamanda, haya mambo ya kukubali kila kitu ndiyo ninyi mnayapigia kelele kila siku kuwa hayafai, sasa kwenye suala ambalo liko wazi kwa mjadala au mawazo tofauti na ya mwenyekiti, nilitegemea watu kama wewe muwe frontline kuyasimamia.
Kuwa na mawazo kinzani na kukubali kutofautiana ndiyo dalili za kukua kwa demokrasia yetu. Tuisaidie demokrasia yetu kukua badala ya kuijengea mazingira ya kutaka kuidumaza.
 
Mleta mada ni sehemu ya wanasiasa Malaya. Wanasiasa wenye tabia za kinyonga, hamueleweki mnaunga au kupinga Nini, kazi yenu ni kufuata upepo. Watu wa aina yako hamna faida kwenye nchi. Ndio mnaogopa kushauri kwa sababu Mkubwa kasema.
 
Polepole katumia Haki yake Kikatiba Ibara ya 18. Kwa nini unataka naye awe likondoo kama wewe? Duniani huwezi pendwa na watu wote sababu hata Magufuli alipingwa na watu wa awamu ya 4. Ni kawaida. Tu concentrate kwenye yanayofaa na ya msingi
Angefanya hivyo kwa maswala muhimu mengine sio la chanjo. Tena kwa swala la ujumla sio kuwa kinyume na Kampeni ya Mwenyekiti wake
 
Angefanya hivyo kwa maswala muhimu mengine sio la chanjo. Tena kwa swala la ujumla sio kuwa kinyume na Kampeni ya Mwenyekiti wake
Mwenyekiti si kasema ni Hiyari? Unafahamu maana ya hiyari? Kama kwenda kufanya jambo flani ni hiyari maana yake unaweza kufanya au kutofanya.

Lakini huwezi mchagulia maamuzi.ametimiza jambo la muhimu kwake kusema yeye hatochanja. Wewe kama unataka nenda kachanje hajakukataza. Msimpangie mtu maisha. Ni wendawazimu kutaka kila mtu awaze kama wewe. Acha watu wawe huru.mwenyekiti wake siyo Mungu
 
Ombi la mkubwa wako wa Kazi NI amri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…