Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

 
Vijana wa Tanzania mnahojigi vitu vyepesi sana huku vigumu mnaviona vya kawaida! Hivi mlishahoji kuhusu katiba mpya? Mlishahoji ufisadi uaofanywa na viongozi mbalimbali katika idara za serikali? Hivi kwa akili yako ndogo unaamin Rais hana bajeti ya kutimiza hayo? Hivi hujui kama matumizi ya Ikulu hayakaguliwi? Rais yuko sahihi!
 
Ni motisha kutokana na kazi nzuri waliyoifanya Yanga kwa kuibrand Tanzania. Tusiwe na maswali mengi kwa mambo ambayo ni mazuri tu kwa nchi. 🙏🙏🙏
 
mradi wa mto msimbazi umemshinda.kazi kuwabeba utopolo
 
Mbumbumbu wewe, Rais ana mfuko wake unaitwa consolidated fund.
 
Ukitaka kila kitu kukichukulia serious kwenye hii nchi, utakufa kabla ya siku zako.

Ni kweli una hoja ya msingi! Ila usisahau kuna mabilioni ya shilingi kila siku yanatapanywa hovyo na serikali ya ccm, lakini hatuoni ukilalamika?
Fact...
 
Fact....
 
Hapa utakuwa umeanzisha ligi ya Yanga na Simba bila kukusudia !! Subiri makombora kutoka Wananchiii !!
 
yaani kila kitu kwenu ni maneno na manung'uniko tu! Hivi hao Yanga huwa wanachezea nchi gani
 
Watanzania wanashangilia kodi zinavyochezewa hovyo ikulu eti kuipongeza Yanga na blah blah zisizoeleweka.

Jana tumechezea kodi eti kupokea ndege ya mizigo kwa serikali zote SMZ na GOT wote kujazana hapo kushuhudia wazungu wawili kutoa Boeng wakituletea ndege, Leo tena tumejazana ikulu kula kunywa hovyo hovyo huku nchi ikiwa na maeneo kibao yanahitaji hizo hela.
 
Rais anafanya hivyo kwa sababu Yanga kama timu ya Wananchi ni Nembo ya nchi kwa hiyo kaa kwa kutulia, fanya kazi lipa Kodi kwa maendeleo ya taifa[emoji848]
 
Kesho sijuwi kuna shuguli gani tena

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…