Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

Sijawahi kuona popote duniani, hata Tanzania kabla ya 2023, Mkuu wa nchi anaamua kutumia pesa za walipa kodi kwa timu binafsi za mpira wa miguu ambazo zipo kibiashara kwa asilimia 100. Hamna mfano hata kwa Tanzania kabla ya 2023.
 
Unahoji fedha anatoa wapi Rais? Hujui mamlaka ya Rais?
Hujui Rais hahojiwi?
Hivi unasema kweli au unatania? Kasome vizuri katiba yetu kuhisu mamlaka ya Rais,hata Leo hii hapo Rais anaweza akakuundia cheo akakuteua hata kama hakipo kwenye katiba na ukapangiwa na mshahara na mambo yakasonga tu.
 
Sijawahi kuona popote duniani, hata Tanzania kabla ya 2023, Mkuu wa nchi anaamua kutumia pesa za walipa kodi kwa timu binafsi za mpira wa miguu ambazo zipo kibiashara kwa asilimia 100. Hamna mfano hata kwa Tanzania kabla ya 2023.
Kwa hiyo mambo ya nchi zooted duniani unayajua? Acha kuandika mambo usiyo yajua,Kuna wakati kocha wa Brazil alimuacha romario,Rais alitoa ndege impeleke romario kwenye mashindano ilikua kombe la Dunia,sijui kama unakumbuka,inawezekana ulikua dogo sana.
 
Wewe unaijua mshahara wa Rais? Unajua per diem anazolipwa? Au mnataka danganya watu tu hapa
 
Nchi imepata rahisi bomu kuwahi kutokea tangu dunia iubwe. Tanzania inayo safari kubwa sana kimaendeleo.
 
Hasara za ATCL kwenye reports za CAG itakuwa pamoja na hizi routes!

Tena hii ya mizigo iliyotua jana itafuata hadi maiti za wanasiasa watakaofia nje.

Gharama utazibeba wewe mlipa kodi.
 
Yanga ilichangia sana uhuru wa nji hii hebu tulizeni vichwa KoloNduka!
 
Hiyo ndiyo nguvu ya hii katiba inayomfanya rais kuwa mungu mtu.
 
Vote 20
 
Mbumbumbu wewe, Rais ana mfuko wake unaitwa consolidated fund.
Ndiyo ule mfuko ambao CAG haruhusiwi kuukagua?

Naona furaha ya Futari ya Ikulu imekunogea Utupolo, hakikisheni Mwakani mnafika walau robo fainali ya Klabu Bingwa
 
Ni sawa tu kwa alivyofanya!
 
Asante blood angalau umenieewa vyema
 
Aisee hii ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…