Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

Chifu, una INFERIORITY COMPLEX moja ya ajabu sana aisee, kifupi unahitaji msaada. Unautukanaje Uafrika na kuutukuza Uzungu kwa jambo jepesi kama hili!?
Hii tabia ya binadamu mmoja kufuatilia maisha ya binadamu mwingine ni tabia ambayo haina uhusiano wowote na rangi ya ngozi (UAFRIKA/UZUNGU).
Hata hao Wazungu unaowatukuza hii tabia wanayo, kama ni mtumiaji mzuri wa mitandao ya kijamii lazima utakuwa unalifahamu jambo hili.

Tutake radhi WAAFRIKA aisee!
 
Mbona kama hajahamia, anatangaza kipindi gani? Sio alialikwa tu kwenye uzinduzi wao wa studio mpya.
 
Mimi sina inferiority complex na wala situkuzi uzungu lakini naeleza Uhalisia wa waafrika ulivyo...

Mambo haya ya kufuatilia maisha ya watu sana sana yapo kwa waafrika kwa vile hawanaga kazi za kufanya zaidi ya umbea umbea tu...

Kama umewahi ishi ughaibuni utaelewa ninacho kwambia.

Wazungu muda mwingi wako busy na kazi hawana time ya kuanza kufuatilia maisha ya watu.

Waafrika wanataka mjuane hadi ulilala wapi, unakula nini, mshahara wako ni kiasi gani, umevaa nguo gani,mkeo anaitwa nani, na umbea umbea tu kwa kila namna.
 
ukiwa bbc nadhani hauwezi kuwa na chanel yako binafsi...lakini kikeke akiwa hapo efm anaweza kuwa na online tv yake matata sana maka miladi na akapata maokoto ambayo si rahisi kuyapata akiwa bbc..kuna namna nyingi ya kutumia umaarufu wako kwenye fani yako kuingiza fedha..ukiwa bbc huwezi ukawa balozi wa mambo nyingine nafikiri kama bet au kinywaji...huku kwengine anaweza kutanua wigo wa ajira kwa vijana na kuishi haply..watu wengi watz akili zao zimewaza kwenye kutumikishwa (ajira)kuliko kujituma (kujiajiri) full uoga na umaskini+pro max mindset...
 
Analipwa kiasi gani hapo efm?
inaweza kuwa:-
  1. wakati mwingine sio wote pesa ndio kipimo chao cha malipo.
  2. wengine hawawezi kufadheheka kwa ajili ya fedha!
  3. inawezekana anatafuta peace of mind.
  4. lakini pia kipo kitu anatamani kutumia taaluma yake zaidi kukifanya huwenda alikokuwa hakuna fursa hiyo ya mabadiliko.
  5. inawezekana amekuwa mmoja wa wamiliki wa station hii kwa kununua hisa au kupewa kwa kadri ya taaluma yake au alikuwa ni mmoja wa wamiliki toka mwanzo.
  6. mwisho ni haki yake kwa kadri aonavyo yeye inafaa.
 
Ndio maana kwenye uswahili kuna msemo kama "aliye juu, mngoje chini", na si kwamba "aliye juu, mfuate juu"
siku zote huu usemi nausema kama ulivyoandika lakini leo umenigusa tofauti na hasa uliposema waswahili wanatabia ya kumshusha mtu na hapa ndipo shule kubwa ulionipa
 
Toka hapa, E-media Ni kituo Cha ovyo.
 
wengi hamuelew efm mmiliki sio majizo peke ake Bali ni shareholder kama ilivo wasafi na dangote..kikeke amerudi kwenye station yake.
 
Tena utakuta mwingine ni apeche alolo!
 
H
Halafu ndio useme haobwatubwana uelewa na katiba enyi acheni masihara bana
 
DuuhπŸ™„
Yaani ameacha BBC kwa ajili ya kuingia EFM?!!!
Mkuu tujaribu kufikiria kidogo kuna muda unatafta kazi yenye maslahi na kuna muda unatafta kazi kwa ajili ya kupumzika inshort umestaafu ila ukaamua usikae bure ,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…