Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

Aida Ana kosa gani Hadi achukuliwe hatua? SEMA kosa la Aida acha Mambo ya wivu wa Mbowe.
Wewe hata huelewi. Point ni hii: huwezi kuzuia akina mama kwenda bungeni ila ukamuacha Aida aliyepatikana kwa uchaguzi huohuo umeokuwa termed kuwa batili. You cant eat ur cake and still have it!
 
Hahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.

Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
 
1.Inaelekea hujui kuwa zaidi ya asilimia 70 ya mawakala wa upinzani walizuiwa kuingia vituoni
2.Inaelekea hujaona kura feki za lumbesa kwenye mabegi na vikapu zikitafutiwa namna ya kujazwa kwenye masanduku
3.Inaelekea hujui jinsi polisi ilivyogoma kupokea malamiko na ushahidi wa kura feki zilizokamatwa kwa madai kuwa polisi haijihusishi na malamiko ya uchaguzi (Muulize Jacob Boniface)
4. Inaelekea wewe unaamini Hussein Mwinyi kapata 76% na Maalim kapata below 20%
5. Inaelekea wewe hujui kuwa Mawakala wa vyama vya upinzani walipingwa zengwe kwenye kupewa nakala ya majumuisho ya kura
6.Inaelekea wewe hujui kuna vituo hewa kibao ambavyo havikuwemo kwenye nakala ya vituo vya NEC
7.Inaelekea wewe hujaona harrassment dhidi ya wapinzani kulikokuwa kukifanywa na jeshi la polisi kuelekea kwenye uchaguzi, kuwavamia, kudisturb ratiba zao za uchaguzi hadi kufikia hatua polisi inawaambia wapinzani hawatashinda (mfano kule Hai)
 
Hii habari hata haiingii akilini yaani hata mtoto mdogo hawezi kuiamini. Haiwezekani tu mtu ajipeleke kuapishwa kuwa mbuge wa vitu maalum bila ya kupitishwa na chama anachotokea. Engelikuwa hiyo inakubalika basi hata wanawake wa CCM wengi tu wangelijipeleka bila kugoja kuteuliwa. Pia bunge haliwezi kumuapisha mtu yeyote yule tu kwa kuwa tu ana kadi ya chama fulani. Pia Watanzania mkumbuke kuwa kwa mwanamke kuwa katika bunge kwa viti maalum kwa tiketi ya chama chechote kile ni lazima awe mwanachama wa chama fulani, kwa hivyo viongozi wa CHADEMA na CAT wameshika mpini hapa, yeyote yule atakaeapishwa kwa tiketi ya vyama vyao wanatamtoa kiurahisi bungeni kwa kumfukuza uanachama wa chama chao. Huwezi kuwa mbunge bila ya kuwa mwanachama wa chama cha kisiasa, hiyo ndio sheria ya bunge la Tanzania.
 
Hahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.

Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
Wako wanaapishwa muda huu mkuu
 
Wanaapishwa muda huu.
 
Unataka kusema halima mdee ambae ni mwenyekiti wa bawacha taifa na mjumbe wa kamati kuu hajui hizo taratibu??
Au utasema mdee nae kanunuliwa?
 
Kama uongozi wa chama haujaridhia, wakienda Dodoma wafukuzwe uanachama.
Nyie mnaropoka hovyo hamjui jinsi njaa ilivyo mbaya.....waacheni wakagannge njaa..nasikia wameshaapishwa.....wakigoma kuingia bungeni watakula nini ndani ya nchi ya chama kimoja? hebu jifikirieni.......hata wakifukuzwa uanachama , spika atawalinda kama kawa
 
Hahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.

Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
Wanaapishwa


Mnaongea mno
 
Hizo propaganda za wapishi wa propaganda!

Ukweli hadi tunamaliza kupiga kura mambo yalikuwa shwari.

Kwa ujumla waangalizi wa uchaguzi wamethibitisha hilo.
Wagombea na viongozi wa upinzani walithibitisha hilo, rejea kukiri kwa Lissu na Zitto kwamba uchaguzi kiujumla umeendeshwa vizuri. Ila baada ya matokeo na kuona wameshindwa ndiyo wakaja na hadithi za alfu lela ulela!

Jiulize kwa nini wameshindwa kukusanya ushahidi unaoeleweka na wenye uzito na kuwasilisha mahakamani hata kwa chaguzi za wabunge na madiwani wakati chaguzi zilizopita walifanya hivyo? Au hata kuwasilisha kwa umma.

Achana na michezo ya kuigiza ya kuchapisha kura feki kisha ku stage kumkamata mtu na kura feki, alafu unazichoma mwenyewe hizo kura na kurusha vi clip!
 
Yako wwpi

Nadhan unaendelea kujifunza ila kwa uchungu mno


Hauijui chadema wewe!!!
 
Hahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.

Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
Ngoja uone yatakayotokea ... we kalia utaratibu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…