Zamani walikuwa wakishindwa au kutoridhika wale mawakala wao walikuwa hawasignHizo propaganda za wapishi wa propaganda!
Ukweli hadi tunamaliza kupiga kura mambo yalikuwa shwari.
Kwa ujumla waangalizi wa uchaguzi wamethibitisha hilo.
Wagombea na viongozi wa upinzani walithibitisha hilo, rejea kukiri kwa Lissu na Zitto kwamba uchaguzi kiujumla umeendeshwa vizuri. Ila baada ya matokeo na kuona wameshindwa ndiyo wakaja na hadithi za alfu lela ulela!
Jiulize kwa nini wameshindwa kukusanya ushahidi unaoeleweka na wenye uzito na kuwasilisha mahakamani hata kwa chaguzi za wabunge na madiwani wakati chaguzi zilizopita walifanya hivyo? Au hata kuwasilisha kwa umma.
Achana na michezo ya kuigiza ya kuchapisha kura feki kisha ku stage kumkamata mtu na kura feki, alafu unazichoma mwenyewe hizo kura na kurusha vi clip!
Hahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.
Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
Wameshaenda sasa. Hivyo tu!Hahaha hakuna wa kwenda bungeni, sharti lazima wathibitishwe kwa barua kutoka kwa katibu mkuu Chadema, kwenda NEC kisha wao waiwasilishe kwa spika.
Nje ya utaratibu huo hakuna wa kwenda kuapishwa.
Watakuwa siyo viti maalum wa chadema bali ccm.Wameshaenda sasa. Hivyo tu!
Watakuwa siyo wa chadema bali wa ccm.Halafu kama hivi wameapishwa watu kama wewe bado mtamwona JPM mbaya, kumbe kuna mambo ya nyie kurekebisha kwanza
Are you still in denial? Chama kimescrutinize pros and cons za kukaa nje ya Bunge na kimefanya maaumuzi yakeWatakuwa siyo viti maalum wa chadema bali ccm.
Hao wa ccm sio wa chadema.Wako wanaapishwa muda huu mkuu
Kwa upendo upi Mama? Wa lijambazi na aliekabwa na kuporwa vilivyo vyake? Yanatoka moyoni mwako kweli?πππππππ
Tukubali au tukatae watanzania tunapendana. Nendeni bungeni tujenge nchi
Hoja nyingine bado ni za kitoto sana. Watia huruma kwa kufilisika cha kuchangiaPili, kaa ukijua CHADEMA lazima wapeleke Viti Maalum Bungeni hawawezi kuachia hiyo fursa ipite hivi hivi labda kama hicho chama hakiongozwi na wachaga.
Huu ni Upendo ulio mkuu huuππKwa upendo upi Mama? Wa lijambazi na aliekabwa na kuporwa vilivyo vyake? Yanatoka moyoni mwako kweli?
Wenye udugu wa kweli huwa hawana wala hawafanyiani HILA, Mama, kwani wana upendo wa kweli. Amen.Huu ni Upendo ulio mkuu huuππ
Wacha ndugu tukae pamoja
Muda utaongea. Ntakukumbusha na hii hoja ya kitotoHoja nyingine bado ni za kitoto sana. Watia huruma kwa kufilisika cha kuchangia
Kama hoja zenyewe ndio hizo MFU za ukabila sitahitaji kukumbushwa nawe, wala mwingine yeyote wa aina yako.Muda utaongea. Ntakukumbusha na hii hoja ya kitoto