Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

Huu ndio utakuwa msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA.

Walipoteza mtaji mkubwa sana baada ya kumpokea Lowassa, hili nalo likitokea, basi watakuwa hawana cha kusimamia tena. Watakuwa sawa na TLP tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umewambia ukweli kabisa!

Bawacha waende bungeni. Kule ndio watapata hata platform ya kusemea. Waache kuwasikiliza hawa kina lisu wanaokula baga kwa akina Amsterdam
 
Hawajapewa hzo nafasi kwa sababu wanapendwa sana,ni kwa sababu kijani wameona wana cha kupoteza na it's so huge..CDM wanatakiwa wawaache wapambane na msala wao walioutengeneza
 
Kama quorum ya bunge haiharibiki, basi bunge iendelee na shughuli zake tu kama kawaida hakuna aliyelikataza.

Kusikika kwa CHADEMA halafu kusikika huko ikifika uchaguzi waibiwe kura, kupigwa, kufanyiwa kila aina ya uonevu hakuwasaidii.

Si busara kwa Chadema kuhalalisha uchaguzi feki
 
Ambia mamako
 
Ingekuwa wanaume nao wanakwenda viti maalum ingekuwa wameshafika dodoma long time
Unajitekenya wewe..unajua baadhi ya wabunge wa Chadema walikataa sh ngapi kuunga mkono juhudi ..hiyo pesa ilitosha wewe na ukoo wako kula kwa miaka 50
 
Hakuna atakaekubalika bila kupata barua kutoka Halmashauri kuu ya chama
Kama wamepata Baraka za chama Wacha waende maana mimi naamini asilimia kubwa ya bunge la sasa hadi huyo Rais ni vitu maalumu hawafiki robo yao waliopo kwa ridhaa ya wananchi

Nasubiri kusikia halima mdee akisema
'' Asante muheshimiwa spika mabunge viti maalumu kongwa naomba kuunga hoja '
Kwani siri?
Spika. Waziri mkuu n, k ni viti MAALUM sio ridhaa ya wananchi
 
Hawajapewa hzo nafasi kwa sababu wanapendwa sana,ni kwa sababu kijani wameona wana cha kupoteza na it's so huge..CDM wanatakiwa wawaache wapambane na msala wao walioutengeneza
Hawapewi kama hisani bali afasi hizo zipo kisheria. Halafu usidhani kuwa kufanya hivyo ni kuikomoa serikali au ni kuikomoa CCM bali ni kufanya CHADEMA isahaulike haraka sana masikioni mwa wananchi. Wale wote wanaodhani kuwa kutakosekana wenyeviti wa zile kamati nyeti za bunge ambazo lazima ziongozwe na upinzani wanasahau kuwa tayari bunge lina wabunge saba wa upinzani ambapo kwa kiapo chao cha ubunge wanaweza kutumikia nafasi zozote ndani ya bunge; yeyote kati ya hao ambao walikwishaapa ataweza kuongoza katika nafasi hizo.
 
Nimetoa jibu hili hapa

 
Kwa mujibu wa sheria, majina ya viti maalumu yanatakuwa yapitishwe na Halmashauri kuu ya chama husika na kupelekewa tume ya uchaguzi
Msimshambulie halima mdee bure

Kama ni mwanachama kwenda mwenyewe Dodoma hata mimi ningemnunulia wife kadi ya CHADEMA halafu nimpeleke Dodoma
Haya mambo ya chama hayahusiani na mtu binafsi
 
Hata Mimi nawashauri waende vile wanaume wameshindwa wanataka wanawake eti wasiende bungeni wao wakipewa nafasi wanaenda
 
shwain wewe TUNAFUKUZA WOTE wajaribu kuingia...
 
Ingekuwa wanaume nao wanakwenda viti maalum ingekuwa wameshafika dodoma long time
CDM hawaheshimu wanawake Wana kimfumo dume kweli hzo nafasi ziko kisheria kabisa, kumbe wanatetea matumbo yao wenyewe
 
Hata Mimi nawashauri waende vile wanaume wameshindwa wanataka wanawake eti wasiende bungeni wao wakipewa nafasi wanaenda
Hivi kinachowafanya wanaume wawazuie hawa wanawake kwenda bungeni ni nini? Kwanza kwani ni wake zao???
 
Ka
1-Kama unadhani spirit ya upinzani kwa wananchi ni wabunge tu utakuwa upo nyuma ya historia,upinzani ni imani na hakuna serikali inaweza kuua spirit ya upinzani.
2.Mwenyekiti alisema mpaka 2020 upinzani utakuwa umeshafutika,ni upinzani upi unaouzungumzia wewe?
3.Kama ni sheria;Je,mbona sheria zinafatwa tu kwenye viti maalumu na siyo kwenye mchakato mzima wa uchaguzi?
4.Kama mmetimia bungeni,mnahangaika na viti maalumu vya kazi gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…