Tetesi: Suala la Viti Maalum kuna usaliti unaotaka kufanywa na Wanawake wa CHADEMA

Kusema uchaguzi haukufanyika ni jaribio la kutaka kusema kwamba waliokuwa wabunge bunge la 11 waendelee mpaka uchaguzi mpya utakapofanyika ikimaaanisha kuwa Mbowe et al watarudi bungeni- jamani kushindwa kubaya
Unafikiri, si unaona Trump alivyozeeka baada ya siku 3 tu ya kushindwa uchaguzi? Ukimuona hivi sasa hutoamini kama ni yeye Trump kweli, mgongo umepinda, matako yamezama ndani, yaani limekaa tu kama gogo fulani hivi. I can't wait kuwaona kina Mbowe, Lissu, Zitto kwa hivi sasa.
 
Bungeni lazima uende na barua ya utambulisho kutoka NEC na NEC wanapata Kwanza mawasiliano kutoka kwenye chama
So mtu hawezi akajiendea tu kienyeji akapokelewa
 
Maamuzi magumu ni yapi?
Ukiwaruhusu hao Beijing utakuwa ushindi kwa CCM.Kuna uwezekano wa kukigawa chama.
Ukiwakatalia Beijing hao watasema ni ukandamizaji wa haki zao.Kuna uwezekano wa kukigawa Chama.
Hili jambo linahitaji umakini wa hali ya juu.
 
Bungeni lazima uende na barua ya utambulisho kutoka NEC na NEC wanapata Kwanza mawasiliano kutoka kwenye chama
So mtu hawezi akajiendea tu kienyeji akapokelewa
Labda watumie mazingaombwe ya Ndugai/Mwambe.
 
Umeandika vizuri sana but umesahau kitu kimoja njaa haina rafiki.....
 

Hesabu zako ni za kutongoza ebu tuangalie mbunge mmoja anapata 11ml @ mwezi
Anachangia chama makao makuu
Ni mlezi wa chama jimboni kwake
Anasomesha watoto na kusaidia watu
Anafanya harambee jimboni kwake na kutoa misaada mbali mbali
Anahudumia familia na ndugu zake
Matumizi yake binafsi
Anabaki na sh ngapi?
Baada ya bunge anapata 250ml
Fikiria kampeni yake atafanya kwa sh ngapi? Akiwa na tamaa ya kurudi
Kiasi kilichobaki bila kuzalisha kwa miaka 5 atabaki na ngapi?
2025 akitaka kujaribu tena kiasi kilchobaki kitatosha?
Kwa awamu hii akiwa ni mpizani atapata wapi kazi au biashara
TRA unadhani ni ndugu yao? Kwa awamu hii? Mapato yake yooote ukitoa kodi ya mzee zitabaki ngapi
Hayo ndio yanayowafikirisha sana na hata kutaka kufanya uamuzi saliti neno muheshimiwa ni kibali cha kuingia popote
 
Kumbe kuna njia mbadala,sasa mahangaiko ya nini?.Si wawatumie hao saba?
 
TETESI!!!
 
Ujinga tu na ubinafsi. Ingekua kwa mfano mbowe na labda lema sugu na wale walimbwende wa chadema mdee bulaya na matiko peke yao tu wameshinda ubunge chadema wasingesusia ubunge wangeingia na kundi lao la viti maalum. ...

Amazing! Hapo ndipo wazee wa CCM walipokosea mkakati wa wizi. Inabidi huko mbeleni wapate mawazo ya genius kama wewe.

Jazba za kinazi pembeni, umeleta wazo fikirishi sana. Wale wazee wangekuwa wametulia, wakaruhusu ushindi wa hao uliowataja pekee: Mbowe, Lema, Sugu, Mdee, Bulaya na Matiko. Halafu wakaiba kwa wengine wote. Hakika tungepata fursa njema sana ya kuifahamu the real CHADEMA. Sijui lengo la kuruhusu ushindi wa Nkasi pekee lilikuwa nini hasa?

Bahati mbaya sana kwamba sasa hivi CCM inaongozwa na watu wenye jazba isiyopimika lakini IQ kiduchu. Walichofanya ni big mess up. Ni kama mwalimu aibe mtihani wa kuandika insha, halafu majibu ya wanafunzi wake yafanane sentensi kwa sentensi, neno kwa neno, nukta kwa nukta!
 
Sawa....

Umeorodhesha CHANGAMOTO za matumizi baada ya MAPATO YAO....

Wabunge wanapewa MFUKO WA JIMBO 200M(kwa ajili ya hayo matumizi juu ya watu wake).

Hakuna mbunge anayetoa PESA yake nyingi juu ya hao watu...kwani hata WALIMU na Watumishi wengine wana WAHITAJI JUU YAO(japo si wengi).

Mbunge HAWAJIBIKI "kuwalisha pesa watu wake)...hii si KAZI YAKE NA HAKUNA MBUNGE YEYOYE POPOTE anayefanya jambo hilo....

Bado KAZI YA UBUNGE ina privileges nyingi kushinda MTUMISHI WA UMMA wa kada za kati hata majeshini.....

Kama UBUNGE ungekuwa una hasara basi usingetegemea MAKAMANDA WAKUBWA wa Jeshi na polisi kuutaka PALE WANAPOSTAAFU utumishi wao wa UMMA....

Kwa hiyo hoja ya kusema wabunge wako na STRESS ECONOMICALLY zaidi ya wananchi wengine ni "kuwaumiza kihisia wavuja jasho wa nchi hii".
 
Wewe dada mbona unahangaika sana? Vipi wewe hawajakupa nafasi ya viti maalum nini? Waombe wakupatie hata nafasi moja tu.
 
Kama uongozi wa chama haujaridhia, wakienda Dodoma wafukuzwe uanachama.
Hata wakifukuzwa hawana cha kupoteza zaidi ya ile pata potea ya kujiteua.

Tatizo Chadema kila mtu ni papa na TUNDU keshavuruga mshikamano kwenye chama kisha akakimbia kesi zake mahakamani kwa kisingizio cha kutishiwa usalama
 
Hata kwa masilahi binafsi siyo dhambi ndugu yangu, hata mimi na wewe tuna fanya kazi fulani, kwa masilahi binafsi na familia zetu! Ajira hizi 19, kwa hali hii ya maisha, mimi naona waende tu! Kuna maelfu ya wanawake hawana ajira, kuna maelfu ni ma-housegirls, kuna ma-barmed! Nakuhakikishia wengi wa hao wanafanya kazi hizo kwa vile basi tu, na hawana nia ya kuhalalisha chochote, inabidi tu wafanye kazi!
Lakini pia, Halima Mdee na Esther Bulaya, wana uwezo mkubwa kuliko wanawake wote wa viti maalumu ccm, kuwa ndani mle itasaidia sana upinzani. tukikataa ‘majembe’ kama hawa wasiende, ccm itachagua mamluki iwapeleke, na hatuwezi kuwa fanya kitu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…