mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Mimi sio mwoga wa manenoHahaha,ushaogopa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mwoga wa manenoHahaha,ushaogopa
Aida Ana kosa gani Hadi achukuliwe hatua? SEMA kosa la Aida acha Mambo ya wivu wa Mbowe.Labda hawaoni haki ikitendeka. Why Aida yupo Bungeni na Chama kimeshindwa kuchukua hatua stahiki? Double-standards!
Mwaka 2015 mliibiwa kura au hamkuibiwa. TOA jibu siyo ulete unyumbu hapa.Wakienda bungeni ndio watapoteza heshima yote waliyonayo kwenye jamii, watajitia doa ambalo halitafutika.
Watanzania wa sasa wanaelewa kila kitu, ole wao hao wanawake.
Bawacha imepeleka majina ya wabunge viti maalum.
Kwani lini chadema walikubaliana na matokeo ya uchaguzi?Mpango wowote wa kupeleka wabunge viti maalum bungeni,utaiathiri pakubwa chama kikuu CHADEMA kwa kuwa watakua wamekubali kuwa Uchaguzi ulikua huru, Chama kikuu kineyakataa matokeo ya uchaguzi wote kitendo cha kukubali kupeleka wabunge viti maalum Bungeni ni kukubaliana na dhulma zilizofanyika katika uchaguzi.
Ukisikia nyumbu ndo hao, kesho chadema wataenda bungeni chadema haohao watakuja hapa kushangilia wameshahau Jana walisema nini.Ulitaka akubali kisha uanze kumtukana?
Kataa uamini siku ikifika hamtakuja na kuuliza tena humu mtakuja na hija nani achaguliwe ili aende bungeni, au nani kaachwa wakati alistahili.
Kila mwana chadema atafute Beberu lake ndo waende ulaya.Tena na Tanzania wahame wakaanzishe chama ulaya kwenye siasa safi
Mwaka huu 2020 naona ndo wamekubali matokeo maana kamasi zinavyowatoka utadhani ndo Mara ya kwanza kushiriki uchaguzi.Mwaka gani chadema ilikubali matokeo?
Wanawapora kila mwaka na mnaenda bungeni, kwanini mwaka huu mnaweweseka wakati kila mwaka CCM wanawapora uchaguzi na mlishazoea kuporwa?Mwaka gani CCM haikupora uchaguzi?
Nyumbu walishasahau kwamba miaka yote wanakataa matokeo, yangekuwa na kumbukumbu yangepata akili yakatafuta sababu za kuchezea kichapo Cha shoga mwizi lkila mwaka na hayabadiliki.A very logical question.
Mwambie mnyika apeleke hayo majina ya WP bungeni aseme hao ndo wameteuliwa na mwenyekiti wa saccos uone Kama hawataapishwa.Kwanini wasipewe polisi hizo nafasi?
Mimi toka kina Sillinde wafanye mambo ya aibu simuamini mtu kabisa. najiamini mimi tuUlitaka akubali kisha uanze kumtukana?
Kataa uamini siku ikifika hamtakuja na kuuliza tena humu mtakuja na hija nani achaguliwe ili aende bungeni, au nani kaachwa wakati alistahili.
kama hiyo ni logical question jiulize mbona miaka yote kina Ndugai hawakulazimisha viti maalimu. wataalam wa logic wanakwabia two wrongs do not make a thing rightA very logical question.
amevurugwa anaekunyunyiziaKubwa jinga wewe na matusi yako nakuweka ignore list,naona umevurugwa mfyuuu, go to hell [emoji48] and byee
Member mzee humu JF hujiheshimu
Aksante kutujuza. Hii tayari imebuma. CCM wajaribu mbinu nyingine. Ninawaomba viongozi wa CDM wawafukuze uwanachama wasaliti wote. Heri kubaki na wanachama wachache walio "loyal" kuliko kuwa na kundi la wasaliti.Kuna habari zina-trend mitandaoni kuwa kuna kundi la wanawake wa CHADEMA lipo kwenye harakati za chini kwa chini kula njama za kwenda Dodoma kula kiapo cha kuingia bungeni kwa viti maalum.
Kundi hilo linajumuisha wanawake wenye majina makubwa makubwa ndani ya chama hicho, waliojijengea heshima huko zamani kutokana na misimamo yao nje na ndani ya Bunge.
Hata hivyo inasemwa kuna mkakati unaoratibiwa na katibu mkuu wa zamani "aliyeunga mkono juhudi" ambaye ndiye anayeongoza jitihada xa kuwashawishi na kuwaweka sawa ili wakubali kusaliti msimamo wa chama chao.
Mimi ningependa kumkumbusha Mwenyekiti wa BAWACHA Halima Mdee kuwa hili suala linakwenda kupasua taasisi ya akuna mama wa CHADEMA. Kwanza kitendo cha wanawake kadha wa kadha kujichagua wao wenyewe na bila ridhaa ya Chama kwenda bungeni ni kinyume cha sheria ya nchi juu ya utaratibu wa viti maalum.
Sheria inataka majina ya Viti Maalum yawasilishwe kwenye mamlaka husika na katibu mkuu wa chama na si mtu kujipeleka mwenyewe.
Pili kitendo cha mwanachama kujiteua mwenyewe na kwenda kula kiapo kinyume cha utaratibu wa chama ni kuvunja wazi katiba ya chama maana mwanachama anakuwa amejitwalia mamlaka ya vikao mbalimbali vya chama vyenye kuhusika na teuzi za viti maalum.
Iwapo akina mama wa CHADEMA watakwenda kuchukua nafasi hizi za viti maalum kinyume cha sheria itakuwa ni kuweka haramu nyingine ya kisheria juu ya haramu ya uchaguzi feki, na utakuwa ni uhuni mwingine wa Ndugai na serikali kama uhuni mwingine wowote tuliokwisha ushuhudia.
Kuna swali nataka Halima Mdee anijibu
1. Yeye kama Mwenyekiti wa BAWACHA na mwanachama mwandamizi wa CHADEMA amefanya nini kuisaidia CHADEMA ili utaratibu wote wa kuheshimu maamuzi ya Uongozi wa CHADEMA katika ishu hiyo ya viti maalum ufuatwe?
2. Yeye kama muathirika mkuu wa wizi wa kura wa waziwazi aliofanyiwa wizi ambao tulishuhudia video zake, Je yuko tayari kwenda bungeni kinyume cha utaratibu wa Chama chake cha CHADEMA na ili kuhalalisha bunge ambalo limepatikana kwa dhulma kubwa dhidi ya wananchi?
Wito kwa Uongozi wa CHADEMA
Namshauri Mwenyekiti na Katibu mkuu wa Chadema, Iwapo Kuna kundi la wanachama wa CHADEMA watajitwalia mamlaka ya kwenda bungeni kuapa kuchukua viti maalum kinyume cha utaratibu wa chama basi hao wamevunja katiba ya chama na watu hao washughulikiwe mara moja. Kwa sababu hata mkiwaacha watakuwa na Loyalty iliygawanyika, watajifanya kuwa upande wenu kujiegemeza kisiasa na kutafuta political standing mbele ya umma lakini watakuwa very Loyal kwa CCM na serikali yake kwa sababu ndo wanawapa kula.
Sasa ili kuondoa sintofahamu inayoweza kutokea huko mbele, Iwapo watajitokeza na kwenda kujiapisha bila ridhaa ya chama, basi Fukuza wote bila kujali jina la mtu.
Kama mkiwaacha, basi wapo wanawake mamilioni wa CHADEMA wanaofuatilia suala hili kwa nguvu zote na watakatishwa tamaa kwa chama kuwa selective kwenye kusimamia mambo ya msingi yenye manufaa kwa demokrasia ya Taifa.
Pili kwa kuwa CCM wamemessup kwa kuiba, kupora chaguzi na sasa wanatafuta legitimacy kwa kujaribu kuwanunua wapinzani kadhaa wa kuwaingiza bungeni, kitendo cha kuwatimua uanachama hawa kitawaondolea CCM ile legitimacy wanayoitaka ya uwepo wa wapinzani bungeni. Hapo mwanzo CCM waligeuza uwepo wa wapinzani bungeni kama rallying object ya kupeleka mashambulizi n. k, Sasa wamo mle peke yao, hawana excuse mbele ya wananchi ya kutodeliver. Sasa kukosekana kwa wapinzani wanajikuta wako peke yao, bunge limekuwa la chama kimoja, limekosa legitimacy, ndiyo maana wanahaha wapinzani wawemo!
Mwisho kabisa niwaombe akina mama wa CHADEMA wanaosumbuliwasumbuliwa na CCM ili wakahalalishe uharamu wa uchaguzi ule
1. Mkienda mle, mtahalalisha ile haramu, na itakuwa modus operandi ya CCM, yaani utskuwa ndo mchezo wao, kupora maamuzi ya wananchi kisha wawalambisha pipi wapinzani wachache mambo yao ya udhalimu yanaendelea. Je mko tayari kutusaidia sisi wananchi kwa kukataa michezo hii ya kihuni au mnataka kutuacha sisi wananchi kwenye mataa?
2. Je mko tayari kwa sababu ya vipande vya fedha kuwatupa na kuwasaliti viongozi wenu wa Chama na chama ambao kiukweli kabisa wanasimamia maslahi mapana ya wananchi na Chama kwa kukataa kulegitimize uharamu. Je nyie mnataka kukisaliti chama chenu kilichowatoa mbali?
3. Enyi wanamama wa CHADEMA hata mkiingia humo bungeni, hao CCM watawadharau, watawaona sellout.
Kikubwa zaidi sisi wananchi tutawadharau sana, maana mtakuwa hampo kwa ajili ya wananchi.
Wizi wa kura kama huu hapa chini, utakubalije uchaguzi wa aina hii?
View attachment 1633707
Mfyuuuuu Wala hajavurugwaamevurugwa anaekunyunyizia
shwain wewe