Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Trubo ipo vzr mm pia naitumiaTurbo inapiga kazi 😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trubo ipo vzr mm pia naitumiaTurbo inapiga kazi 😂😂
Hiyo VPN ungetupa jina kwani TCRA wangekumania mbona umeachia hewani.Ilishanishinda kutumia, natumia nyingine.
Hata VPN nao siku hizi wameanza kubana ilikuwa Droid wakaipiga pin ila sasa hivi nipo kwenye vpn matata japo spid siyo nzuri kivile naweza pakua hata 2GB.
WhatsApp, Telegram JF na kuperuzi website zingine siwazi.
Hata hii comment, nimetumia vpn
lakini pia kuna watu ndani ya hii nchi wanafikiri watalalamika milele! Kisa tu kutoridhika kwao, na uchu wa kunung'unika kuliko pitiliza.Kuna watu ndani ya hii nchi wanafikiri watatawala milele! Kisa tu ni ubinafsi wao, na tamaa iliyopitiliza ya madaraka.
Wamesahau kuna siku wao na watoto wao, marafiki zao, shemeji zao, vimada wao, wakwe zao, mwabwana zao, nk watakufa! Na nchi ndiyo itaendelea kubakia milele.
Kwahiyo hamtaki kutupa Siri 😅Trubo ipo vzr mm pia naitumia
Kuwa mpoleKwahiyo hamtaki kutupa Siri 😅
Binafsi naona Trubo sio kwa ajili ya kusave bundle lakoMsaada wa hii turbo ndo nimeidownload hapa nikajaribu kuingia you tube na kabundle kamekatika as if sina turbo, jamani tupeni siri tupambanage na fine za tcra. Au nimekosea kuna settings zinatakiwa? Au natatikwa niiwashe nnapokua najiunga? Maana matumizi yangu ya bundle ni makubwa sana
Hakuna vpn itakayokusaidia kutumia internet bure vpn ipo kwaajili ya kuzifungua zile site zinazokuwa zimefungwa na serikaliWadau tunahitaji mbinu /maelekezo zaidi ili tuweze kusave bundle
Hii ya sites zilizofungwa inafahamika mkuu, lakini inaonekana kuna wadau wana utaalam wa hili la bundle piaHakuna vpn itakayokusaidia kutumia internet bure vpn ipo kwaajili ya kuzifungua zile site zinazokuwa zimefungwa na serikali
Kama unazungumzia mtandao wa rangi ya alizeti laini zao niliendaga ofisi za kijito-meat zilikuwepo ingawa mtaani ni adimu. Nilishawahi endaga ofisi za UDSM wakasema Magomeni ambako nilikosa pia, nikaamua niende huko.Ule mtandao wa Tanzania yetu VPN yake bado inapiga kazi?
Nilitafuta laini zao mpk nikachoka, nikaamua niachane nao tu.
Bwana yule alitangulia ila waliobakia hai bado wanajitia upofu,kipindi cha utawala wake zilipitishwa sana sheria nyingi za hovyo ikiwemo hii ya kuwaminya watumiaji wa VPN.Kuna watu ndani ya hii nchi wanafikiri watatawala milele! Kisa tu ni ubinafsi wao, na tamaa iliyopitiliza ya madaraka.
Wamesahau kuna siku wao na watoto wao, marafiki zao, shemeji zao, vimada wao, wakwe zao, mwabwana zao, nk watakufa! Na nchi ndiyo itaendelea kubakia milele.
Hiyo mitandao iliyojaa wizi hawezi kupata hasaraDah Bora wazipige pin Aisee mkuu mnaharibu biahsra za mitaandao 😅😅
Kabisa.Hiyo mitandao iliyojaa wizi hawezi kupata hasara
Yaani wametutaiti sana ni vile hatuna option nyingine tu. Yaani siku hizi najibana kweli lakini bando ya 5000 haikati siku 3.Kabisa.
10GB uwe na 30,000. Ni wizi huo
Hawa sasa ndio TRA wanawatafuta, wanapunguza ukusanyaji wa mapatoKuna vpn kama Ha tunnel na V2ray huwa zinatumika kutumia internet bure, kuna mwanafunzi nilikuwa namuona anajisomea sana kwa video tutorials nikaja gundua anatumia bure, hana uwezo wa kulipia bando kusomea mtandaoni.
Shida watu wanavujisha utelezi mpk kwa bwana shamba. Sisi huku utelezi unakata.Watu mna siri, wengine tunalimwa gharama za bundle watu wametulia tu mbinu zao
Kutumia vpn kunaongizaje hasara kampuni za simu wakati data zao zinakuwa hazijatumika?Mkuu Me sana kuna mtu alinielewesha aisee kumbekuna hizi Tunnel VPn mtu anatumia Mtandao bure kabisa na zote ziko playstore sikuwahi kuwaza Aisee 🤣🤣
Kuna Ha tunnel plus ,AM TUNNEL PLUS, AM TUNNEL PRO..AM nikambiwa kwa wateja wa Tigo..
Kumbe ni bora wazifungie Aisee zinaingiza hasara kubwa sana kwenye soko la internet kwa mitandao ya simu
Jana ishu ya vpn imenifunza mengi sana kumbe sio kilio cha vijana wa hovyo na wanasiasa pia ni kilio cha wale wasio kuwa na bando za kununua....
Niliwakimbia airtel hapo unapata 14 gb na natoboa mwezi.Gb 10 elf 30 voda 🤣
Hawana aibu kabisa
Mkuu una ufahamu wowote kuhusu VPN. Tunnel ?Kutumia vpn kunaongizaje hasara kampuni za simu wakati data zao zinakuwa hazijatumika?
Kumbe ndio maana serikali ilikataa Musk kuweka internet mbadala kuondoa ukiritimba wa hii mitandao.
Ishapigwa pini. Ilikuwa inanisaidia kwa 300mb kila siku ila sasa haifanyi kazi ndiyo maana nimeiweka tu.Hiyo VPN ungetupa jina kwani TCRA wangekumania mbona umeachia hewani.