Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

Yaani upewe taarifa kuwa unateuliwa ?

Yaani ukatae uteuzi wa Rais na pia unahoji ?

Uhuru unazidi.

hii nchi ina matope tope kibao sababu ya akili kama hzi
Kazi za utumishi au kisiasa sio amri ya kijeshi ,
 
Hawa mawaziri wakiteuliwa wanatakiwa majina yaende Bungeni (bunge kamil sio hili la ccm) kwa ajili ya kupigiwa kura kwani wengine ni kituko kitupu!
 
Yaani upewe taarifa kuwa unateuliwa ?

Yaani ukatae uteuzi wa Rais na pia unahoji ?

Uhuru unazidi.
Mara nyingi kitu kinachoitwa haki kina gharama zake! Huwezi kupangiwa majukumu mengine na boss wako ukatae, halafu useme una haki ya kukubali au kukataa! Me naunga mkono hoja yako.
Hao ndg zetu naamini hapo walipo wanasema kama tungelijua
 
Huu ni uteuzi wa ubambikizaji.
Serikalini watu hawateuliwi kama unachagua fungu la nyanya.
Mwisho wa siku utakuta siri za nchi zinaishia kwa majirani.
 
Back
Top Bottom