jonaleemanson
Member
- Sep 21, 2010
- 73
- 70
Mercedes ni gari nzuri sana, iko poa sana. kutoka Windhoek mpaka Livingstone zambia nilikuwa natembea kwa usiku mmoja, border ya sesheke wanafungua saa 11 asubuhi. nikishavuka zambezi bridge, fasta niko Livingstone.Hongera sana mkuu, don't regret to donate it to the important person like him, hope you'll get another one!
Naziheshimu sana Mercedes Benz ingawa sijawahi kumiliki!
pole mkuu kwa picha kutofunguka, hiyo ni Volkswagen GTI 2.0T S 4-Door FWDDah bahati mbaya kila nikijaribu kufungua picha hizi zinagoma!
In short mm magari Ndio hobby yangu kubwa, ni km wengine wanavopenda pombe, mpira, movies nk.
Napenda sana mashindano ya magari na huwa nashiriki ingawa sijaweza kushiriki Yale makubwa
Em nisaidie average consumption yake ya mafuta mkuu yenye turbo..apa najua utatoa data za uhakika sbb unaimiliki..Mimi natumia Subaru nakushauri uchukue Subaru tho ningeshauri yenye Turbo kwa safari ndefu uhakika popote tho fuel consumption yake pia nikubwa
Hahaha mkuu hii ni gari, Ziko vizuri sana hasa kwa,Safari ndefupole mkuu kwa picha kutofunguka, hiyo ni Volkswagen GTI 2.0T S 4-Door FWD
Yaani Ww na Hiyo mbolea (Forester) yako unayodai inakimbia utatoka nayo Dar Unafika Segera mm wakati huo Ndio naanza kutoka Dar ila nitakukuta hata Arusha hujafika na nitakupita utanikuta Arusha nimeshafanya mambo yangu kibao napumzika na mtoto mkalii![emoji1]Me pia nna mpango tu wa kuvuta forester ila model ya 2004 yenye turbo..napenda gari zenye mwendo na nimefanya research kubwa sana kwa hilo..
Apa najivutia kasi ila mtu akija na forester yenye bei ya mjomba nachukua fasta..
Nilishawahi kupanda harrier mpya safari ndefu ila ni four cylinder aisee ni ya hovyo kabisa hii gari inapiga makelele tu ndani hamna mwendo nusu itupe ajali kwenye overtaking..majuzi nilikwea rav 4 kilityme ya IT mpyaa ina performance nzuri sana ila nikamuuliza jamaa vipi ukicompare na subaru akasema subaru huwezi compare na huu ushenzi,ningekua na subaru apa ningekua nimeshafika safari na kupumzika juu ..for nao natumia old model benz C220..ila imeanza kuchoka inazingua sana adi ntaipak karibuni..
Kawaida ni 8klm to 9klm per lt kwa speed ya mpaka 160. Lakini kiukweli Subaru yenye Turbo utafurahia safari popote na speed yakufa mtu. Huwazi ku over take ukiwa na Subaru. Ukipata cross spot uta enjoy zaidi. Alikua mtu Arusha tumempa Subaru akafuata mzigo dar na kuupeleka Dom kwa mama makinda the same day.Em nisaidie average consumption yake ya mafuta mkuu yenye turbo..apa najua utatoa data za uhakika sbb unaimiliki..
Kumbe ulaji wa kawaida tu kama altezza..ill go for cross sport kama ndio hivyo..i need fun..'LOVE' subaru,confidence in motion..Kawaida ni 8klm to 9klm per lt kwa speed ya mpaka 160. Lakini kiukweli Subaru yenye Turbo utafurahia safari popote na speed yakufa mtu. Huwazi ku over take ukiwa na Subaru. Ukipata cross spot uta enjoy zaidi. Alikua mtu Arusha tumempa Subaru akafuata mzigo dar na kuupeleka Dom kwa mama makinda the same day.
Nna experience na gari zenye miendo mkuu..benz nnayotumia ina 240 mkuu..mwisho wa speed nliofika nilikua nashindana na prado v8 new model nikaigaragaza kweupee na nilifika 200 km/hr tu.apo yenyewe ulikua uoga wa mama watoto pembeni. Nikaona nisiendeleze ligi.Yaani Ww na Hiyo mbolea (Forester) yako unayodai inakimbia utatoka nayo Dar Unafika Segera mm wakati huo Ndio naanza kutoka Dar ila nitakukuta hata Arusha hujafika na nitakupita utanikuta Arusha nimeshafanya mambo yangu kibao napumzika na mtoto mkalii![emoji1]
Mkuu acha kuidhalilisha Benz, Ww ni muoga kuendesha au huna uzoefu!Nna experience na gari zenye miendo mkuu..benz nnayotumia ina 240 mkuu..mwisho wa speed nliofika nilikua nashindana na prado v8 new model nikaigaragaza kweupee na nilifika 200 km/hr tu.apo yenyewe ulikua uoga wa mama watoto pembeni. Nikaona nisiendeleze ligi.
Kwenda kwenye toyota siwezi enjoy..vw mafundi wachache town siziamini ingawa so sbr in future niungane na vijana wenzangu tu..
Mkuu siidhalilishi benz..benz ni gari ya kawaida sana kwangu nilipewa zawadi na mzazi wangu kuanzia naingia chuo mwaka wa kwanza nnayo.na tangu nimemaliza chuo nakata mwaka na nne sasa bado ipo fresh sema ina maudhi tu madogo madogo ata mtu akija na mil 4 nampa.haikua mpya by the way na ni benz old model C220..mda mwingi napenda ikimbiza nikiwa peke yangu maana ligi ndogo ndogo izi vijana wanakuja na altezza so nakua sina mda nao..kusafiri nayo mara chache sana haijawahig kupata bahati ya safari ndefu zaidi ya hiyo niliokuwa na mama watoto kama unavyojua wanawake na kuogopa kufa..Mkuu acha kuidhalilisha Benz, Ww ni muoga kuendesha au huna uzoefu!
Mm kulaza 250 ni kawaida sana tu.
Ila unanishangaza sana kutoka kwny Mercedes Benz hadi kurudi kwny Subaru, labda uniambie Hiyo Benz sio yako!
Kuhusu mafundi wa Volkswagen Hapo umedanganya mchana kweupee, mafundi na spare zipo nyingi sana, Kuna garage zaidi ya 10 hapa Mjini najua wame-specialize kwny Audi na Vw tu!
We mwanangu inaonekana unapenda sana mbio na gari yako unaiamini..we upo dar mafundi wapo..me nipo mkoani mkuu.Mkuu acha kuidhalilisha Benz, Ww ni muoga kuendesha au huna uzoefu!
Mm kulaza 250 ni kawaida sana tu.
Ila unanishangaza sana kutoka kwny Mercedes Benz hadi kurudi kwny Subaru, labda uniambie Hiyo Benz sio yako!
Kuhusu mafundi wa Volkswagen Hapo umedanganya mchana kweupee, mafundi na spare zipo nyingi sana, Kuna garage zaidi ya 10 hapa Mjini najua wame-specialize kwny Audi na Vw tu!
Shida ni barabara zetu hapa kuzungusha hiyo speed ningum. Hebu nambie ulifuta 250 ukiwa barabara ipoMkuu acha kuidhalilisha Benz, Ww ni muoga kuendesha au huna uzoefu!
Mm kulaza 250 ni kawaida sana tu.
Ila unanishangaza sana kutoka kwny Mercedes Benz hadi kurudi kwny Subaru, labda uniambie Hiyo Benz sio yako!
Kuhusu mafundi wa Volkswagen Hapo umedanganya mchana kweupee, mafundi na spare zipo nyingi sana, Kuna garage zaidi ya 10 hapa Mjini najua wame-specialize kwny Audi na Vw tu!
Mkuu Tanzania tumebahatika tuna barabara Nzuri sana (hongera kwa serikali-).Shida ni barabara zetu hapa kuzungusha hiyo speed ningum. Hebu nambie ulifuta 250 ukiwa barabara ipo
Ushauri; do not sell your first car! hata ukienda ulaya, watakuambia hivyo. bless upMkuu siidhalilishi benz..benz ni gari ya kawaida sana kwangu nilipewa zawadi na mzazi wangu kuanzia naingia chuo mwaka wa kwanza nnayo.na tangu nimemaliza chuo nakata mwaka na nne sasa bado ipo fresh sema ina maudhi tu madogo madogo ata mtu akija na mil 4 nampa.haikua mpya by the way na ni benz old model C220..mda mwingi napenda ikimbiza nikiwa peke yangu maana ligi ndogo ndogo izi vijana wanakuja na altezza so nakua sina mda nao..kusafiri nayo mara chache sana haijawahig kupata bahati ya safari ndefu zaidi ya hiyo niliokuwa na mama watoto kama unavyojua wanawake na kuogopa kufa..
Hahaha mkuu, I Don't hate them, ila sizikubali tu kwa sababu sio durable na pia hazikimbii,
Tafuta Audi hata A3 hutajutia, tena nakupa siri moja ila usimwambie mtu, Audi na Vw kodi yake Iko chini sana, jaribu kuingia kwny TRA calculator utaona.