Subaru forester XT yenye Turbo Vs isiyo na turbo


Dah pole sana man gari za singapore wengi sana zinawazingua nadhan ni handling ya gari yenyewe tangu inatumika huko haikua na historia nzuri ya service
 
Singapore kuna uhuni wanafanya, wanatoa parts nzima wanaweka parts vimeo ndio wanauza gari, walizochomoa wanaziuza kama used parts

Most of cars in Singapore are owned by car rentals zile ni gari unakodi unafanya mishe yako unarudisha anakodi mwingine na mwingine, kwa hiyo gari ya hivo bro, wear and tear ni kubwa sana na hazifanyiwi service. At a certain mileage or years gari hizo zinauzwa na wananunua zingine kuendelea na renting business yao, sasa ukipata gari kama hiyo bro utatengeneza maisha yako yote na haitapona. Gari za SG Ni sawa na mwanamke anae gongwa gongwa na kila mtu lazima achoke sana.

Picha lina anza ukiitoa bandarini hiyo gari ukaikagua physically utakuta kwenye engine na gearbox ina leakage za kufa mtu na ukilala chini unaweza lia. kwenye picha za mtandao hutaona kakuwekea picha za uvungu wa chini ya engine wanajua wanachokifanya.
 
Et unaweza lia [emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na speed yake mara nyingi ni 240 tofauti na Japan nyingi ni 180
 
Hizo gari za Singapore miyeyusho sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…