byakunu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 583
- 1,318
Upo sahihi mkuu, ya Singapore haina hiyo badge ya XT ila ni turbo, pia nyingi 240kph... Zina majanga hizo acha kabisa... nina experience na moja ambayo ilikuwa ej25 with turbo.... miezi 6 ya mwanzo haikuwa na shida yeyote, baada ya hapo ilikuwa ni balaa...
Hapa ilizingua migori njia ya mtera na fundi alipiga spanner siku 4 bila mafanikio ikabidi niibebe tu... kabla ya hapo ilizingua Arusha, ikazingua mbeya yaani kwa kifupi ilikuwa ni michosho... ila ikiwa katika ubora wake ilikuwa ni moto balaaa... hizo 240kph kizifuta ilikuwa kawaida tu... now nimehamia kwenye 3GRView attachment 2392744
Dah pole sana man gari za singapore wengi sana zinawazingua nadhan ni handling ya gari yenyewe tangu inatumika huko haikua na historia nzuri ya service