Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!

SUBBY! I LOVE IT! HAKUNA GARI YA KAWAIDA INAWEZA KUIFUATA HATA KAMA HAINA TURBO YAANI BASE. FUEL EFFICIENCY INATEGEMEA INATUMIWA WAPI NA VIPI. HAINA MATUMIZI TOFAUTI NA RAV4 AU HATA GARI ZINGINE ZA SIZE YAKE. NGOMA IKO KWENYE PARTS. ZIPO BUT EXPENSIVE SANA JAPO HAZIHARIBIKI MAPEMA. MAFUTA NI 1LT KM 10 JAPO ZILE MANUAL 2.0X INAKWENDA HADI 13 KM PER LT HIGHWAY. NI GARI NZURI ILA KAMA NILIVYOSEMA, BEI ZA PARTS. ShiOCK 1 YA NYUMAINAUZWA HADI 1.2 M. KWA ZILE ZA 2004. I LOVE THEM FOR SURE. MBIO KWA SANA NAYAMETULIA KWA ROAD.
 

Mdogowangu anayo Forester, ni gari nzuri sana, mafuta inakula kweli lakini siyo kivile, mimi naweza kusema inakula "kawaida", kwani sasa hivi anatumia gari gani? kwa mtu anayetumia gx110 ulaji wake wa mafuta zinakaribiana tu, wala isikutie hofu kiviiile! Ila kama anatumia Vitz, IST au hata Premio lazima ataiona tofauti.
 
Subaru ipi unazungumzia mkuu...RSK, WRX, STi, GT kama unazungumzia Boxer engines, tena yenye twin turbo (turbocharged) RSK hii kitu ni balaa kwa performance. I love SUBARUs regardeless of its poor fuel consumption. Ukiwa muoga kuingia kwenye vituo vya mafuta huwezi kuimiliki SUBARU japokuwa zipo ambazo hazina turbo na ulaji wako wa mfuta ni wa kawaida
 

Ukiona hivyo yupo mwingine wa kukusaidia kujaza mafuta na service
 

nimeikubl mkuu
 
jamaa angu kanunua subaru fotester. ameendesha wiki tu akaipaki. amerudia carrina yake
 
Mimi nimetumia Subaru naenda mwaka wa tatu sasa.Katika magari mengi ambayo nimeshaendesha Subaru nalikubali hasa uwezo wa Engine yake na huwa aliharibiki mara kwa mara kama magari mengine ambayo nimewahi kuwa nayo.Spea ni gali ila once ukiweka inakaa mpaka unasahau kwani haichakachuliwi kama magari ya Toyota.Subaru kwa kijapani ni STAR.Mafuta inaenda one litre kwa mpaka 10 to 13 km na ni FWD.
 
siakaa niangalie unywaji wa mafuta wa gari kama naipenda napipenda tu.

Ushauri mkuu hakuna jinsi ya kufanya kwenye hiyo gai na asityokee fundi yoyote akakushauri eti anaweza itune itakuletea balaa ya miss utachukia gari maisha yako yote.

Kitu wawezafanya ni kupaki uwe unatumia kwa trip ambazo ni lazima au uza nunua gari nyingine na kabla hujanunua fanya utafiti wa kutosha pia ujue kuwa unywaji wa mafuta kwa gari manual na auto ni tofauti hivyo unaweza zingatia yote haya wakati wa kununua gari nyingine.


sikuzipenda sana subaru kwa vile nilisikia ni gari zilizopendwa sana na mashoga hiyo iliniathiri sana
 
Mwenzio kilomita 350 natumia lita 20 tu na vitz yangu sina presha hata kidogo. Nunua vitz mkuu mambo iko huku.

We mdanganye wakati kwao ni Kigoma, Vitz kwenda manyovu ataibeba mgongoni!
 
siyo kweli hata kidogo nimerumia subaru forester miaka 8 good car robust economy
 
Mwenzio kilomita 350 natumia lita 20 tu na vitz yangu sina presha hata kidogo. Nunua vitz mkuu mambo iko huku.

Ahhhaaa! Vitz nayo gari ? Hata kibaha hufiki ,hata kama ni uchumi siyo Vitz bora Subaru .!
 
Ahhhaaa! Vitz nayo gari ? Hata kibaha hufiki ,hata kama ni uchumi siyo Vitz bora Subaru .!

Vits unaoshea kwenye karo; vits kwa hao wametoka chuo juzi ndio first car
 
.
Daaaaa! Inaonyesha ni jinsi gani hamna mawazo yakinifu hamkai na kupanga maisha kwa pamoja unaendeshwa na upepo , halafu unasema uwezo wa kununua upo , leo 10 m unaiona ndogo ipo siku utaiona ni kubwa. Na ipo siku atakwambia sitaki kumuona Mama yako hapo nyumbani .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…