Songoro
JF-Expert Member
- May 27, 2009
- 4,122
- 1,021
huo mdomo dawa yake ni ' speak english plizzzz'Mpeni ushauri basi acheni maneno mengi.wa tz tumejaaliwa mdomo dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huo mdomo dawa yake ni ' speak english plizzzz'Mpeni ushauri basi acheni maneno mengi.wa tz tumejaaliwa mdomo dah
Shemeji yenu kaninunia kisa anataka Hii Subaru.
Anadai kaipenda sana, na vile ni 4WD basi simuelezi kitu. Anadai mafuta atajua mbele kwa mbele jinsi ya kuyapata, lakini kwanza Subaru kwanza ije nchini ndio amani irudi.
Uwezo wa kununua upo, maana hesabu za haraka haraka 10Mil ni tosha kabisa kwa hii gari, Ushauri wenu please unahitajika maana huo mnuno nliopewa na hii baridi ni balaa!!

SUBBY! I LOVE IT! HAKUNA GARI YA KAWAIDA INAWEZA KUIFUATA HATA KAMA HAINA TURBO YAANI BASE. FUEL EFFICIENCY INATEGEMEA INATUMIWA WAPI NA VIPI. HAINA MATUMIZI TOFAUTI NA RAV4 AU HATA GARI ZINGINE ZA SIZE YAKE. NGOMA IKO KWENYE PARTS. ZIPO BUT EXPENSIVE SANA JAPO HAZIHARIBIKI MAPEMA. MAFUTA NI 1LT KM 10 JAPO ZILE MANUAL 2.0X INAKWENDA HADI 13 KM PER LT HIGHWAY. NI GARI NZURI ILA KAMA NILIVYOSEMA, BEI ZA PARTS. ShiOCK 1 YA NYUMAINAUZWA HADI 1.2 M. KWA ZILE ZA 2004. I LOVE THEM FOR SURE. MBIO KWA SANA NAYAMETULIA KWA ROAD.
Ukiona hivyo yupo mwingine wa kukusaidia kujaza mafuta na service
Mwenzio kilomita 350 natumia lita 20 tu na vitz yangu sina presha hata kidogo. Nunua vitz mkuu mambo iko huku.Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Mwenzio kilomita 350 natumia lita 20 tu na vitz yangu sina presha hata kidogo. Nunua vitz mkuu mambo iko huku.

Ahhhaaa! Vitz nayo gari ? Hata kibaha hufiki ,hata kama ni uchumi siyo Vitz bora Subaru .!
Nunua vitz lita 1 kwa 15 km
.Shemeji yenu kaninunia kisa anataka Hii Subaru.